Search results

  1. D

    Changes changes changes changes changes

    unaweza badili kutoka course yyte kwenda education,lakini kwa course nyingine sahau.hii ni kwa udsm pekee
  2. D

    sina hamu na tcu

    pole kaka.jamani kama kuna mtu mwenye namba ya tcu inayo pokelewa anisaidie.namba yangu ni 0765838849
  3. D

    tcu wananinyonya nguvu

    jina langu lilitoka kwenye second selection, na mm nikaomba tena fasta st joseph nikaambiwa nipo admitted.sasa leo mist wametoa majina na mm jina langu naliona huko, nikiwapigia tcu kwa msaada zaidi simu haipokelewi sasa sijui nifanyaje naomba msaada wenu.au kama kuna mtu mwenye namba ya tcu...
  4. D

    loan allocation kwa wanafunzi wa second selection

    jamani kwa anae jua kama wanafunzi wa second selection wanaweza pata mkopo au hawawezi pata atoe taarifa au viewz zake kwa people
  5. D

    tumsaidie huyu mwenzetu kuhusu tcu

    jamani wadau mwenzetu huyu katika kuomba vyuo akaweka na open university .na bahati mbaya kachaguliwa huko.yeye ni form six liver.sasa afanyaje jinsi ya kupata chuo kingine
Back
Top Bottom