Search results

  1. Me370

    Kiutani utani tu

    Jana kama utani katika akaunt yangu ya Facebook nimetuma status"Asante Mungu nimepata mshahara wangu". Baada ya dk3 baba mwenye nyumba aka like��.
  2. Me370

    Jamani natafuta mke wa kuoa mwaka huu

    Maisha yamesha kupiga sasa unatafuta mtu wa kukufariji. Anza kwa kutoka hapo kwa wazazi kwanza alafu ndio uanze kusaka mke.
  3. Me370

    I know its not right, still nimekosa willpower kumuacha mke wa mtu

    Huko unakoelekea unavunja familia na kama ana watoto mda si mrefu utatenganisha na kuwakatili watoto mapenzi ya baba na mama. Mbaya zaidi unaweza hata kuwakosesha elimu watoto hao maana Baba yao anaweza kuwakana.
  4. Me370

    At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

    Kaka mimi nakubaliana na wewe kwa 100%. Unajua hata hao wanaojitia tough kuwa mume hana kazi kwake na kujaribu kuwapotosha wengine deep down in their hearts they wish they chose a right man. Hakuna mwanamke asiyetamani Mume. Hilo napinga. Kweli unafikiri wanavyolala peke yao siku baada ya...
  5. Me370

    Daftari langu la bajeti ya kuhonga limenyakwa na mpenzi

    sasa unaandika ili iweje? au fix unataka mademu Wa jf waku pm kwa kuwa wewe mhongaji mashuhuri?
  6. Me370

    Kwanini usindikizwe unapoenda kukutana na mpenzi wako?

    Ushamba TU na kutojiamini hakuna Lolote. Demu anayesindikizwa ujue hataki kukupa mambo lakini anakuja kwa kuwa kuna kitu anafuata iwe offer Ya msosi, outing au pesa na hataki kuliwa. Dawa ni kumtafuna yeye na kuchukua namba Ya msindikizaji mbele yake ili siku nyingine asimlete.
  7. Me370

    Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

    We hujui wanaotukana ndio watamu basi. Kaza buti jipange urudi tena kivingine. Alafu unapotongoza ukitukanwa mbona haiumi kabisaaaa. Tatizo Lipo wapi?
  8. Me370

    Tangaza nia basi bado naweka mambo yangu sawa yapi hayo?

    Tatizo unakuta mwanamke hujamuoa alafu anajisahau KISA TU umemtambulisha kwa wazazi. mkigombana anavyopandisha sauti mpaka Mtu akipita hajui mwanaume Nani. In the end, Im with her just because im waiting for something better to come along.
  9. Me370

    Tumeishi miaka mi 3,kauli zake zimekuwa zakuniumiza sana

    Acha kujinyenyekeza KWAKE, heshma itarudi. Sio kila akikutukana unaanza kumbebeleza mke wangu usinifanyie hivyo............... Mi huwa na susa TU kila kitu chake akileta upuuzi. Yakizidi naacha hadi kuongea naye wala Kula chakula chake. Asubuhi kila mTU na njia yake. Unajua kila unavyomba...
  10. Me370

    Nakwenda kupima DNA niombeeni

    Just to add hakuna aliyekwisha oa au kuolewa Kati yeTU.
  11. Me370

    Nakwenda kupima DNA niombeeni

    Ipo hivi, Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia mimi sio mhusika. Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake. Tatizo ni kuwa...
  12. Me370

    House Girls

    Naombeni msaada w mawazo kidogo, Eti nini madhara ya kukaa na house girl mwenye mimba? Au ni busara kufanya kama wanavyofanya wengi kwa kumpa nauli aende kwao? Mfano wewe ukigundua House girl wenu ni mama kijacho miezi mitatu utachukua uamuzi gani haswa ukizingatia kaipatia mitaani huko?
  13. Me370

    Ushauri:Kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Peleka mtoto kwa bibi yake.
  14. Me370

    Wanaume naomba ushauri wenu make mume wangu simuelewi

    Akipiwa anapiga kwa house girl na wewe uwe unapiga kwa house boy wakat yeye yup home.
  15. Me370

    Siku ya kwanza mwanamke unaninywea pombe!

    Yaani hapo ndo kajificha, ukimzoea atafuta crate
  16. Me370

    Swali kwa wanawake tu

    Anayefaa ni yupi!
  17. Me370

    Swali kwa wanawake tu

    Mwite apite huku atupie jibu. Mkuu una mpango wa kujiliza nini?
  18. Me370

    Swali kwa wanawake tu

    Swali kwa Wanawake tu. Je Mwanaume yupi mwenye mapenzi ya dhati kati ya Hawa wa 2. Mwanaume ambaye yupo tayari kukuhonga kila kitu alichokuwa nacho na yeye kubaki fukara kabisa huku akikubembeleza usimuache Au Yule ambaye anatoa chozi lake juu yako na kukulilia kwa uchungu huku akikubembeleza...
  19. Me370

    Hadithi tamu - ahadi ya ndotoni

    24 SASA ENDELEA... Lakashina huruma ilimjaa moyoni jinsi baba zake wadogo walivyokuwa wakilalamika mateso waliokuwa wakipata kutoka kwa mumewe. Pamoja na kulazimishwa kuchukua mali zake bado aliona kuna umuhimu wa kusimama yeye kama yeye kuwatetea baba zake wadogo. Alikumbuka siku moja ndotoni...
  20. Me370

    Msaada wa haraka tafadhali!

    muache aendelee kumtunzia mumewe bikra yake.
Back
Top Bottom