Search results

  1. W

    Kwanini UDOM wamepandisha Direct Cost?

    Nani atarekebisha, na unaposema mtarekebisha unamaanisha tangazo lilikosewa au kitu gani unamaanisha
  2. W

    Kwanini UDOM wamepandisha Direct Cost?

    Nashindwa kuelewa kwa nini UDOM wameamua kupandisha gharama za direct cost kutoka 239000 hadi 410000 kwa wanafunzi wanaondelea except college of health science amnbao wenyewe wamepandishiwa hadi 4610000. Mwenye kujua sababu anijuze.
  3. W

    UDOM first year Engineering students angalia hapa.

    vinapatikana maeneo mengine especially dar, ila chuoni ni bei nafuu Tsh.150,000 badala ya Tsh.240,000 kwa dar . Kwa taarifa zaidi wasiliana nami kwa simu n 0765778664
  4. W

    UDOM first year Engineering students angalia hapa.

    vinapatikana maeneo mengine especially dar, ila chuoni ni bei nafuu Tsh.150,000 badala ya Tsh.240,000 kwa dar
  5. W

    pc inauzwa

    Uko wapi kaka/dada?
  6. W

    UDOM first year Engineering students angalia hapa.

    Kama umechaguliwa kozi mining, mineral processing au petroleum engineering utasoma kozi moja iitwayo ENGINEERING DRAWING katika muhula wa kwanza hivyo utatakiwa kununua vifaa vya kuchorea (drawing board) na vifaa vingine. Napenda kuwatarifu kuwa vifaa vitakuwa vinapatikana hapo chuo, kitivo cha...
  7. W

    SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    Tatizo ni imani za kurithishwa ikiwemo na ujinga kwa mtu mwenye, waafrica tunashindwa kufanya kazi hivyo inatubidi tukimbilie kwenye imani. Maendeleo katika nchi yoyote ile huletwa kwa kufanya kazi na siyo imani, leo hii watu wanashinda kwenye mikesha, sherehe na ibada mbalimbali wakiomba kupata...
  8. W

    Udom kuna nn?

    Ni kweli, hawa jamaa wametufanya wajinga sana. Ilikuwa Tsh. 100000 kwa ajili ya medical capitation kwa miaka yote ya masomo lakini sas wamefanya kwa kila mwaka wa masomo ni tsh. 100000 ambayo huku hakuna kilichoboreshwa kwenye hospital zao. Jamani hili ni tatizo kwa wale wa second year maana...
  9. W

    SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    Mimi naamini matendo yako ndiyo yatakufanya upendeze kwa watu na mungu wako, lakini na siyo kugoma kufanya mtihani kisa siku ya sabato labda uwe na sababu nyingine. Watu mnajifanya kumpenda mungu pale mnapokuwa na matatizo na pia hamna upendo kati. Hizo nyimbo mnazoimba kila siku kanisani eti...
  10. W

    Msaada wadau wa Elimu....hasa wenye huelewa na TCU!

    Mara nyingi huwa wanafanya hivyo kama kozi uli.zozichagua zote ziko priority na mkopo na hivyo kukupeleka kwenye non priority ili kuwe na sababu mbadala ya kukunyima mkopo kama heslb watathibitisha kuwa huna vigezo
  11. W

    Computer science and computer enginering

    Dogo njoo udom, computer science ni nzuri kwa hapa.
  12. W

    Wahaya wote inawahusu!!!

    Hili ndilo tatizo la kukurupuka kutoa hoja ikiwa hujui mada inazungumzi, kitendo cha kuona neno wahaya umekuwa na jaziba bila kujua mtoa mada alizungumzia nini kuhusu wahaya. We kilaza kweli!
  13. W

    Used dell and gateway laptop for sale

    Gate dell latitude D620 with the following specifications: RAM 2GB, Processor 2GHZ, HDD 80, DUO CORE, BLUETOOTH, but it has problem with hard disk otherwise it works perfectl. Also get GATEWAY LAPTOP. PRICE: TSH 300,000 contact : +255765778664
  14. W

    Wazo la biashara!

    Mimi nafanya biashara na nilianza na mtaji wa 700,000/= na kwa mwezi napata 300,000/= + kama uko tayari tuwasiliane nikupe maelezo ya hiyo biashara my ph.no 0765778664
  15. W

    HABARI NJEMA KWA AMBAO KUFAULU KIDATO CHA NNE NA SITA soma hapa.

    unafikiri kuwa watu wote ni wachawi kama wewe, we kwa vile uliambiwa kwamba nenda kasome na usifanye mambo mengine we ukariri.chunguza kwa umakini utagundua kuwa ajira zimepitwa na wakati hata hivyo ajira zenyewe ni za competition, kwa hiyo jaribu kufiri kufanya vitu vingine usibweteke.
  16. W

    MAFANIKIO YA HARAKA, soma hapa-

    we unatukana tu na kuchekacheka lakini kumbuka kuwa hata kama nyumbani kuna mali nyingi hujatafuta wewe, hivyo yakupasa ufikirie namna ya kupambana na maisha yako ya baadaye mwenyewe na siyo kutegemea mali ya baba yako na ukiambiwa kitu fikiria kwanza siyo kutukana ovyo kama mlevi
  17. W

    MAFANIKIO YA HARAKA, soma hapa-

    huwezi kufanikiwa kama una kiburi, nyie ndo mnajiita maskini jeuri hamtaki kupewa msaada, mimi huwa najitahidi kufanyia kazi kila ushauri ninaopewa na ndo maana napata mafanikio, usifiri kwamba kila mtu ni tapeli, ila jaribu kusikiliza unaambiwa nini na siyo ubishi usiyo na maana
  18. W

    HABARI NJEMA KWA AMBAO KUFAULU KIDATO CHA NNE NA SITA soma hapa.

    Kwa hilo mimi nitawasaidia kufanya biashara ya mtandao (network marketing) ambaya ndiyo biashara ya karne ya ishirini na moja na kamwe haiwezi kukuangusha kama wewe si mvivu. Nafikiri nimekupa utangulizi na unaweza kutambua nini namaanisha.
  19. W

    Tunawezaje kumsaidia kijana (vijana) kama huyu!!!!"

    kwa nini watu wengi hawafikirii cha kuwasaidia wenzao, eti awe chinga,
  20. W

    HABARI NJEMA KWA AMBAO KUFAULU KIDATO CHA NNE NA SITA soma hapa.

    nimeto mawasiliano zaidi waweza kunitafuta
Back
Top Bottom