Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi.
Vigezo
Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto mmoja, kazi yake ni Civil Engineer.
kuamini kauli za mwanaccm ni sawa na kuamini binadamu hawaitaji maji kwenye maisha yao!!! ungekua sio uadui msingekua mnaumiza upinzani, msingekua mnabambikia watu kesi msingekua mnawaua wapinzani bila kosa mbowe huyo mmempa kesi ya uongo yaani kama kuna mwanaccm na polisi ataingia mbinguni ujue...
Nimepitia maoni ya watu hapa wengi wanaona kama mwanaume anatatizo au kipato hana! Sio kweli income ya rafiki ya gu ipo vzr tu na huyo mtoto hakusoma hata shule moja ya kayumba amekua bording Hadi anamaliza form six. Likizo tu Ndio anaenda kwa sister wake na pamoja na hayo familia yake ipo vzr...
Rafiki yangu alinihadithia mgogoro kwenye ndoa yake japo chanzo nilipata kukijua miaka mingi iliyopita! Wakati rafiki yangu akiwa na miaka 19 alipata mtoto na msichana wa mtaani dogo enzi hizo alikubali lkn kumbe yule dada alikua na kadi mbili za clinic.
Baada ya raia kumtonya jamaa akasusa...
Naona unasubilia Meli AirPort!! Hivi wanaume au wavulana wengine hua Kweli mnauelewa kichwani! Hadi ukute mtu yupo kwenye sita kwa sita Ndio utaamini huyo ana mtu!? Wewe uliotoa hii post jipige kifua uambie moyo wako UACHE UFALA!
Sasa unakwenda kwao ili kuwaambia wewe Ndio kidume unamvua nguo mtoto wao au unaenda kupeleka kishika uchumba!? Au unaenda baada ya binti kupata mimba sielewi adhma yako nini
Mkataba wa miaka miwili uliisha na wasafi hawa kuongeza mungine tena akarudi alipokua maana angekua jobless zaidi ya kua balozi wa makampuni kupitia Instagram! Sio rahisi kumuajili mtu ambae hakai ofisini!
Ni mmoja wa watu wanaishi na Pumu aka Athma. Kama mnavojua ugonjwa huu hauambukizi, Mimi Nimekua nao maisha yote! Mama yangu anasema nilipokua mdogo ilikua inanisumbua sana lkn katika maisha yangu ya teenager hadi miaka ya 20-30+ ilikua inatokea marachache sana lkn kadiri umri ulivokua unasogea...
Nililipa kisasi kikubwa sana! Yule uncle mkewe alifariki Kama baada ya miaka 3 baadae akaoa mke mwingine binti tu kamzidi umri! Nilijiapiza kulipa kisasi ikibidi alee mtoto wangu!! Na Ndio ilivokua!
Nilipewa kesi ya kuvunja na kuiba sababu ya msichana, ilikua mwishoni mwa miaka ya tisini nipo form three kulikua na kidem flan hivi kichaga kinaitwa Rose!
Yule rose alikua anakaa kwa mjomba wake nikamuambia ha akakubali nikawa najisevia! Yule dada alikua home tu japo kua umri wake alitakiwa...
Ukweli nimeumizwa sana na matukio yanayofanyiwa viongozi wa CHADEMA. Ili anza kwa Lissu sasa Mbowe!! Nitawatafuta masheikh kutoka Tanga na Zanzibar wasome albadili kwa waliohusika kumbambikizia Kesi Mbowe! Na Kama muda watakaonipa masheikh kipata majibu ukipita bila kupata majibu basi naenda...
Kua mvumilivu lkn ulichofikilia ni kizuri kama kuna sehem unaweza kuwapeleka watoto wapeleke na nenda kapange toa kbs maeneo yatakayokufanya umkumbuke!! Sio kazi ndogo kuachana na man watoto lkn kumrudia mtu aliekusaliti hilo BIG NO! Move on bro! Ni maumivu lkn yatakwisha Mungu katuumba binadamu...
Siku moja wife aliniambia hubby hunikomeshi kua na mchepuko! Utajipa stress za bure yule mwanamke hana muda wa uvumilivu kutoka nkwako kama nilionao mimi.
Mkeo akitaka kitu lazima umpe usipompa anakwenda kwa mtu mwingine na hana mpango na wewe! Kwani wakati unaoa ulilazimishwa!? Maongezi haya...
Nakumbuka xwangu tuliachana alinitukana sana yaani mtaa mzima ilikua aibu! Kisa kapata mtu anavisent wakati huo Mie chanel chenga nyingi! Nakumbuka neno lake la mwisho aliniambia umefulia toilet paper! Sikuhitaji tena Aisee! Nilimwambia tafuta mtu mwenye Hela nyingi sababu utatamani kurudi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.