Search results

  1. M

    Watumishi wa umma mliokuwa na madai tupeni mrejesho mmelipwa madai yenu maana mshahara wa Feb, 2018 tayari umetoka

    Nilikuwepo katika zile Orodha za wanaodai, na kusema kweli Nimelipwa.
  2. M

    Kauli za rais wa Tanzania na mtetezi wa wanyonge Dkt. Magufuli leo mkoa wa Manyara

    Nia ya Magufuli in fact ni njema sana katika kulinda rasilimali za taifa.Sema tatizo ni kwamba amejiongezea mzigo mwingine kwa kukimbizana na Wapinzani wake kitendo ambacho kinamfanya aonekane kwa wengi wa watanzania kuwa anabinya Demokrasia ambayo hata Katiba ya nchi inatambua uhalali wa...
  3. M

    Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?

    Labda kwa sababu Serikali haijatimiza ila Ahadi ya kutoa Million 50 kila Kijiji.!!! Hata Hivyo Ubaya Unavuma kuliko Wema.
  4. M

    The Citizen: Doctors’ report awaited to airlift Tundu Lissu to the US

    Good news to all Lissu's Good wishers.
  5. M

    Mambo bado mazito majadiliano ya makinikia,Barrick yaongeza wajumbe kukabiliana na hoja za upande wa Tanzania

    UOTE="CHARMILTON, post: 23416387, member: 292576"]Linapokuja swala la kupigania rasilimali zetu huwa nasimama upande wa Rais Magufuli. Je inapokuja suala la Wakosoaji wa Serikali kuwindwa kwa Pistol na SMG Unasimamaga upañde UPI Bosi.!!
  6. M

    Mh Magufuli: I will deal with them; wala siwatishi

    Tunalo mwaka huu.!!
  7. M

    Msigwa: IGP wa ajabu ivi kumkamata Lissu kwa uchochezi huwa analipotia polisi, ila kusema anatishiwa maisha hawahusiki

    Polis Jana wamesema wanawafuta waliotekeleza shambulio la Mh Lissu, najiuliza Je wanafanya hivyo baada ya Lissu kuwataarifu kuwa ameshambuliwa au walisikia kutoka vyombo vya Habari au kutokana na minong'ono ya watu, au walipo msikia Lissu akilalamika kufuatiliwa na watu wasiojulikana walimtaka...
  8. M

    Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Kwa hiyo unarudiana naye au unampa mda wa kuisoma zaidi hii NAMBA tasa.!!!
  9. M

    Sauti imenijia na kuniambia nimuombee msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Atasamehewa tu Endapo atakiri Makosa yake, Vinginevyo acha tu wana DSM wakose hiyo Hamasa yake.
  10. M

    Mwigulu hata hili la uvamizi wa mkutano wa CUF nalo utanyamaza?

    Labda Mwigulu haikumbuki Historia ya JPM kipindi akiwa na nyazifa za Uwaziri, kuwa alikuwa ni MTU mwenye kusimamia alichokuwa anaamini ni sahihi No matter wakubwa wake wangenuna ama kufurahi.Misimamo hiyo ndo iliyowashawishi watanzania kumjaribu pia kakika nafasi ya Uraisi. Sasa jamaa yangu...
  11. M

    "Mimi huwa sipangiwi na ukinipangia sifanyi kabisa!" Je, bajeti anayopangiwa na Bunge ataiheshimu?

    Hugo ndo igweee wa Tanzania yetu ya Viwanda, kwa sisi wakulima tunaomba Mungu ashushe mvua mapema mwakani vingine tutakufa kweli maana igwe alishatamka hivyo na akisema kamaliza huwezi mbadilisha. Si unaona mgogoro wa walimu na madai yao kwa selikari alivyo uzima kwa hotuba yake toka Mtwara. Kwa...
  12. M

    Kwa kauli hii Gwajima kaonyesha uzalendo

    Naam, Hakika kanena vyema mtumishi huyu wa Yehova.
  13. M

    Njelu Kasaka: Hakuna aliye salama ndani na nje ya CCM

    Nasema chapeni kaziii.
  14. M

    Asilimia 88 za Lissu zimsaidie Magufuli kujitafakari

    Ushindi wa Lisu hakika ni wa kufurahisha sana hasa kwa watanzania wasio na itikadi Kali ya Mlengo wowote wa Kisiasa.Najuwa kwa watu wa chama chake furaha walionayo haina kifani. Hongera kwake raisi Mteule wa TLS.
  15. M

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Kula kabiji, ndizi mbivu, asali kwa wingi . lakini punguza unywaji pombe, kahawa, uvutaji wa sigara.
  16. M

    Mnaolaumu mawaziri wa Magufuli mjitafakari upya

    Mie naona labda weakness ya hao mawazi wetu ni kutochukua maamuzi ya hata KUJIHUDHURU nafasi zao kama ishara ya kutokubaliana na hii ONEMAN SHOW System inayotawala sasa.!!
  17. M

    Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Vyama vya UPINZANI andaeni mgombea anayekubalika 2020 ngazi ya Uraisi maana nahisi kutakuwa na Mteremko kuelekea Ushindi kwenu.!!
  18. M

    Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

    Tumwambie mzee wa majipu apunguze idadi ya Mizinga kama ishara ya kubana matumizi, maana naona hakuna lojiki ya maana sana kwa mizinga 21!
Back
Top Bottom