Search results

  1. F

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    watarudi tu. watanzania wengi wamekuwa waroho wa madaraka. hii inaonyesha ni namna gani walitegemea kupewa nafasi ili waweze kufisadi raslimali zetu
  2. F

    Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA

    watanzani tusiwe wakulalamika bila sababu za msingi, kwani japo sua hakuna.wanaopata first class ua upper second? Na kama wapo kwanini ulalamike?
  3. F

    Hatimaye mulugo ang'oka rasmi elimu

    Mi nadhani wapo mawaziri wengi ambao wangeweza kung'olewa akabaki Mlugo, kwa mfano sidhani kama waziri wa elimu anastahili kubaki katika nafasi yake.
  4. F

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    Hatuhitaji kutumia nguvu nyingi kama serikali ya ccm bali tutumie busara kubwa kwani wao wenyewe wamejiandaa kumalizana 2014 na kuondoka madarakani 2015 :yield:
  5. F

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    Asante mkuu kama kweli nawe una uchungu na nchi yako vua gamba vaa gwanda uwe kamanda wa ukweli
  6. F

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    Hatuhitaji kutumia nguvu nyingi kama serikali ya ccm bali tutumie busara kubwa kwani wao wenyewe wamejiandaa kumalizana 2014 na kuondoka madarakani 2015 :yield:
  7. F

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    :A S thumbs_down: kwa sasa hii ndo ishara yetu ccm
  8. F

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    Hatuhitaji kutumia nguvu nyingi kama serikali ya ccm bali tutumie busara kubwa kwani wao wenyewe wamejiandaa kumalizana 2014 na kuondoka madarakani 2015 :yield:
  9. F

    St. John hapafai

    Hii ni kweli kabisa kama TCU MNAFIKIRI NI UONGO NENDA MWANGALIE MATOKEO YA SEMESTER ILIYOPITA :rockon:
  10. F

    Sababu Ingine ya Kufeli Form 4 hii hapa.

    :llama::rain:we nani amekwambia hivo?:llama::rain:
  11. F

    Walimu tufanye ivi kukomesha dhalau

    :yo:Hata huo mwaka ni mreefu tuache hata kwa miezi mitano au tufundishe nje ya slabus tuone kama watabebelea bahasha kutafuta kazi.....................!
  12. F

    Elimu yetu:

    :yo:NDUGU watanzani hebu tukae tujiulize wapi tuendako. Wahengana walisema ukitaka kumtawala mtu vizuri usimpe vitu mhimu viwili ambavyo ni elimu na chakula, leo hii tunaona taifa linavyoandaa wajinga wengi, hali hii ilianza pale mh. mmoja alipoingia madarakani na kuondoa baadhi ya masomo kama...
  13. F

  14. F

    Tahossa

    HEBU NISAIDIENI KWANI HAWA WANAOJIITA TAHOSSA WAO SIO WAALIMU? Kwani wengi wao mashuleni hawafundishi, shuleni hufika wanapojisikia, naomba mnisaidie kama wao waliajiriwa kama walimu au kama wafanyakazi wa kukaa ofisini...
  15. F

    Majina haya marufuku JF

    Likumalangu:a s 465:
  16. F

    Wizara ya afya

    vip nyie tulieni yatatoka tu, mbona mnaharaka sana au nyie ndo mtakao choma sindano watu kichwani :A S 465:
  17. F

    List of Students Selected to Join undergraduate Programmes 2012-2013 UDOM

    Jamani wadau mnaojifanya kuwa nyie ndo tcu acheni hivo, watu wana mchecheto na kujua wamepangiwa wapi mnachokifanya sio sahihi
  18. F

    Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

    Ah kaka bongo ya leo bikra atoke wapi.Angalia usije ishia kuangalia uzuri wa kava la kitabu bila kuangalia yaliyomo,hata kama ni ubikra wa 0713 ulisha toka maana siku zingine hula vyakula vigumu na kutoa.................... :juggle:
Back
Top Bottom