Search results

  1. G

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    ni kweli kwamba kijiwe hiki cha jamboforum kinatumika na watu kurushiana mawe na madongo. hivi sasa akina rostamu na lowassa wanatumia nafasi hii kujaribu kuwatupia mchanga wa macho wananchi. naomba mjiulize data za akaunti ya chenge zilitolewa na nani? gazeti litapataje data nyeti hivi mpaka...
  2. G

    Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    ee kaka lunyungu, kama unaona nimekutusi kumradhi! mi mgeni hapa lakini sifa nilizopewa za jamboforums na yale niliyoyakuta yako tofauti. katika pitapita zangu nimeona na kusikia mengi nikajua ndipo mahala wanapokuja wale wenye data za kuaminika na kuzimwaga. sasa labda sijakuelewa vizuri...
  3. G

    Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    sasa mnataka kuleta ligi? haya leteni, lakini mjue mi niliingia kwenye huu mjadala najua labda mna data za maana, na niliingia kwa moyo mweupe nikijua kwamba naweza kuongeza na mi data zangu lakini mmebaki kuongea majungu. kaka lunyungu, nakuona ni mtu mzima sitaki kukuvunjia heshima kwa...
  4. G

    Dira ya Elimu Tanzania

    Mahesabu, mi naona kelele tu hapa. nimeuliza swali, dira na sera tofauti ni nini? maana kama ni sawa basi kuna haja ya kuwa na sera mpya. lakini baba agustine mosi ameongea vizuri, tushakuwa na sera nyingi lakini ukweli ni kwamba hatutaki kuacha sekta hii ikue tunaingiliaingilia tu na sera za...
  5. G

    Kashfa ya EPA: Mwanyika azidi kujichanganya

    jamani hao mafisai mnawajua hamwajui? Kama waandishi wanajua wawaandike. si waliwaandika na majina walipewa huko ikulu? sasa tatizo liko wapi? mnataka serikali iwataje ya nini? mnajua kwa nini hawatajwi kwa vile ni washikaji, sasa mnataka nini? kama mtu ana taarifa na uthibitisho basi wajitokeze...
  6. G

    Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    we dmussa! kutmwa, nikuulize we umetumwa na nani? Hakuna aliyetumwa hapa, mwanaume acha kunitafuta! mnataka kuchanganya mambo hapa. hii ripoti ya thisday imezungumzia suala la tangold, basi tuongee tangold. eti mnasema ye fisadi mpaka atakapopruv? si hivyo ndugu yangu ni vinginevyo, anayesema...
  7. G

    Dira ya Elimu Tanzania

    mchungaji nakupongeza! haya ndiyo mambo ninayotafuta kwa kuja hapa kijiweni kwa wasomi! naomba kuuliza maana kuuliza si ujinga. hivi sera ya elimu na dira ya elimu nivitu viwili tofauti? maana ninavyofahamu mimi sera ya elimu ipo na ilitolewa miaka ya 90. shukrani.
  8. G

    Kashfa ya EPA: Mwanyika azidi kujichanganya

    hili suala la EPA limewapa nafasi watoto wa kiume kuongeza umbea, kama mnataka data za uhakika hebu zifanyieni kazi. kwa taarifa yenu, baadhi ya wazungu walioko hapa bongo wana taarifa kibao lakini wanatuangalia kama vitoyi. mnafikiri IMF iliyotoa maagizo kwamba oditing ifanyike hawana data hii...
  9. G

    Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    hodihodi jamani, twaingia! nimejisomea ripoti na maoni yaliyotolewa naona hapa jamboforums wengi wazushi. kama nikisoma vizuri habari hii ya thisday imejaribu kumhusisha professor na tangold na imeshindikana. hii haikuwa dili lake wala hakuhusika, hebu chekini vizuri alichosema: alikuwa anafuata...
Back
Top Bottom