Search results

  1. TCRA

    Hii ni aibu, TBC1 yashika nafasi ya mwisho

    Jihadhari na taarifa hii sio ya kweli! TCRA haijafanya utafiti na sio moja ya kazi za Mamlaka! Tunachukua hatua stahiki kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya mtandao.
  2. TCRA

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    TCRA ni taasisi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria ya EPOCA 2010, Kanuni za Utangazaji pamoja na masharti ya leseni za Utangazaji. Upo utaratibu unaofuatwa katika kushughulikia ukiukwaji wa Kanuni au Masharti ya leseni ikiwa ni pamoja na kumtaka mwenye leseni kujibu tuhuma na kuitwa kwenye...
  3. TCRA

    TCRA Walikabidhi Kompyuta hewa? Mamlaka yafafanua...

    Tumepokea kwa masikitiko taarifa hii. Mkurugenzi Mkuu ameagiza taarifa itolewe kwa nini wao hawajapata hizo Kompyuta na Je kuna mawasiliano yametokewa? Pamoja na kwamba wahusika wana mawasiliano na TCRA na wangeweza kuuliza moja kwa moja, tunaheshimu njia waliyoamua kutumia! Taarifa rasmi...
  4. TCRA

    TCRA,NEC na Msajiri wa vyama ya siasa, radio Kasibante vipi?

    Tumepokea malamiko rasmi na Mamlaka inashughulikia hili na mengine kama haya.
  5. TCRA

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Mamlaka kwa muda mrefu imepokea malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa Kyela na hata vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na baadhi ya vyombo vya habari katika maeneo inakosikika kwa majaribio. Tunawasihi wadau wetu kufuata taratibu na kuacha kueneza habari zisizo na ukweli.
  6. TCRA

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Ripoti ya Ukaguzi wa kituo ni Siri yetu na mteja! Wala Ukaguzi ukifanyika mwenye kituo hapewi ripoti hadi imepelekwa menejiment pamoja na bodi ambayo kisheria humshauri Waziri wa Habari kuwa Redio Fulani imekamilisha masharti na Mamlaka inakusudia kumpa leseni. Waziri hudhiria au hukutaa lakini...
  7. TCRA

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Radio husika Kyela FM haijapewa leseni bado kwani hawajakamilisha mchakato wa kupatiwa leseni. Walipewa Construction Permit - kibali cha kujenga na kufanya majaribio kwa mwaka moja- ambapo mamlaka ingekagua masuala ya kiufundi na kiutendaji ili wapewe leseni. Hawakuweza kukamilisha matakwa ya...
  8. TCRA

    TCRA, tujuze kwanini Azam TV haiwekwi kwenye ving'amuzi kama Local channel

    TV zote local sio lazima kuonekana bure isipokuwa zile 5 za kitaifa za mfumo wa DTT. Zingine huonekana endapo uko eneo zinakorushwa na kama ni za bure.
  9. TCRA

    TCRA, tujuze kwanini Azam TV haiwekwi kwenye ving'amuzi kama Local channel

    AZAM TV ina leseni ya "satellite by Subscription" mfumo wa malipo kupitia satelait. Azam Ina kingamuzi chake. Iko mifumo minne ya utangazaji; 1. Satellite - Zuku, DSTV, Azam 2. Cable TV - utangazaji kupitia mfumo waya 3. Digital Terrestrial - Agape, Basic a Transmission - Continental na...
  10. TCRA

    Idadi ya Magazeti, Radio na TV zilizosajiliwa Tanzania 2015

    Redio zilizosajiliwa hadi sasa ni 105 na TV ni 28. Hizi zina leseni mbalimbali ikiwemo zenye leseni Kitaifa, Kimkoa na Kiwilaya. Sio kijografia bali Kitaifa ni nchi nzima, Kimkoa ni kuanzia mkoa mmoja hadi 10, Kiwilaya ni kuanzia mkoa mmoja hadi mitano. List ya Radio na TV zilizopo kwa sasa...
  11. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Juve TCRA Ni taasisi makini inayoheshimu sana mawazo na michango yenye kujenga matumizi mazuri ya mawasiliano. Nchi yetu bado watumiaji wa internet ni wachache sana just 11 milioni! Tunataka watumiaji angalao wafike 50% ya population ili wafaidike na huduma hizi!
  12. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Vyombo zaidi ya 16 zikiwemo TV, Radio na magazeti yalikuwepo! Bwana Mungy aliwasilisha mada kuhusu "Umuhimu wa Elimu Kwa Umma katika kuelimisha watumiaji wabaya wa mitandao ya kijamii! Wakati wa maswali na majibu ndani ya mkutano wa watumishi wa Mamlaka katika uzinduzi wa Siku ya Wateja...
  13. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Hakuna kitu Kama hicho Salary Slip! Hii Habari Ni kubwa ingekuwa kweli ungeona vyombo vyote vya habari vingetoa taarifa hii!
  14. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Asante kwa walioelewa! Ni vizuri kufahamu ukweli kwa kuutafuta kabla ya kusambaza habari husika inaweza kuleta mtafaruku katika jamii
  15. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Account ya TCRA ni verified na waendeshaji wa Jamii Forum wanaweza kuthibitisha hili! Inakuwa rahisi kuamini habari za uongo za gazeti moja (peke yake) lakini hatuamini Account ya TCRA ambayo imekuwa humu kipindi kirefu kama mshiriki wa mijadala mingi tu!
  16. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    TCRA haiwindi Jamii Forum wala hakuna sababu ya kufanya hivyo. Sisi wenyewe ni wanajamvi wa Jamii Forum na tumewatumia Jamii Forum kuelimisha Bloggers wa Tz, Moderators wa mitandao Na watumiaji wa mitandao ya kijamii katika warsha mbalimbali hata vipindi vya TV na Radio! Ndio maana hata sasa...
  17. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Moja ya mambo ambayo Mamlaka inashauri watumiaji wa mitandao ya Kijamii Ni pamoja na kutumia vizuri mawasiliano! Hakuna sababu ya kutukana, kukekeli wala kukashifu watu katika majadiliano kama baadhi wanavyofanya hapa. Ni wajibu wa watumiaji wenyewe kujiheshimu na kujadiliana kwa staha bila...
  18. TCRA

    TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    4Habari hii sio ya kweli ipuuzwe. Hakuna kitu kama hicho. Habari hii imetoka Nipashe tu! Mbona vyombo vingine havijatoa Habari hii? TCRA haina mpango huo na haikusudii kufanya hivyo na haina Mamlaka ya kufungia mtandao uliosajiliwa nje ya Tanzania. Tumejikita zaidi kutoa elimu kwa umma juu ya...
  19. TCRA

    Kumbe Star Times wanaihujumu ITV ! Hii Nchi hatari sana

    Tatizo limetatuliwa tangu wiki iliyopita hakuna channel YEYOTE yenye matatizo.
  20. TCRA

    Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY ISO 9001: 2008 CERTIFIED PUBLIC NOTICE ON THE ISSUE OF ITV AND EATV SIGNALS DISTRIBUTED BY STAR MEDIA AND SATELLITE DOWNLINK FREQUENCY (3.644 GHz) INTERFERENCE AT THE TRANSMITTER STATION IN MAKONGO JUU AREA A...
Back
Top Bottom