Search results

  1. R

    Ajira

    waliopangiwa ajira Oct 7,2015 kwa katibu mkuu wizara ya fedha kuriport Lin???? Vip barua za kureport ,utumishi wanatuma baada ya muda gani???? Update tafadhari
  2. R

    Msaada kuhusu kazi zilizotangazwa na TBS

    :A S check_03: Kwa mwenye taarifa kuhusu ajira za TBS zilizotangazwa mwenzi january 4,2015 kama wamesha sahili walioomba Tangazo pamoja na nafasi husika nimeattach hapo. Tusaidiane , Nawasilisha
  3. R

    Nawezaje kuedit cheti changu

    Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.
  4. R

    Naomba msaada jinsi ya kutuma email

    Najaribu kutuma email lakini cha kushangaza haziwi delivered kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada tafadhari
  5. R

    Naomba msaada wa kuondoa tatizo la touch kwenye samsung galax note 2

    simu yangu inanisumbua sijui tatizo maana nikitumia pen inafanya kazi vizur lkn nikijaribu kutumia hands haifanyi kazi kiboard. Msaada please maana hata msg siwez andika.
  6. R

    Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    walimu tumeshindwa kuungana kudai madai yetu ..tunaanza kutumika kwa wanasiasa..kama hao wanaojihta wanamtandao basi wasitake kuishusha taaluma ya ualimu...Ni kwel tunaitaj mabadiliko lkn sio tutumike binafsi siko tayar uzee au ujana sio hoja ..
  7. R

    Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

    Mugabe miaka 90 ,mbona mambo safi zaid ya kijana kabira kwake vita mwendo mdundo.so Dr.slaa bado ni kikwazo kwa Ccm na wanaojihta AcT.
  8. R

    Tanganyika imerudi

    A: irudi Tanganyika
  9. R

    Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

    jamaa wanalalamika et GPA kubwa vyuo vya private. Mbona watu walio serious gvt tunapiga GPA kubwa kishenzi tuacha mambo ya ajabu tatzo walioko vyuo vya gvt wanajarbu kuja na historia za 4m6 et div 1,2. ukwel ni kwamba wanajisahau na kula bata mm shaidi nipo ud tena COET lkn GPA kama 4,zipo...
  10. R

    Natafuta mahali pakusoma tuition kwa Mwanza

    wanajamvi mie naulizia mahali pa tuition center masomo ya physics, chemistry na hesabu kwa kidato cha tano ( kwa Mwanza) mwenye kujua vituo hivyo vilipo huko mwanza tusaidiane ili nimpeleke ndugu angu . Ntashukuru kwa msaada wakuu
  11. R

    Press conference ya ACT-Tanzania

    Teh! et uislamu jaman mnaoutumia uislam achen zenu CDM sio mchezo mtasema sn.kama hamna kazi semeni
  12. R

    CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    Hukana ACT coz hayo wote ni Magamba......poa tu Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu 2015 .pamoja Daima. ChaDeMa haina mniliki
  13. R

    Course gan ya VETA ni rahisi kupata kazi

    jaribu hizi mkuu: 1. brickworks & masonry (3yr) 2. motor vehicle mechanics (3yr)
  14. R

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Tatzo mtoa mada uwezo mdogo : tatzo ni up mbukeni mie nmesoma hvyo vyuo unavyodhani sio vya kama but kuna watu walichaguliwa name div 1 & 2 BT walionekana vilaza sn nikahis kumbe wanabahatisha tur
  15. R

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Walimu tumechoka na nyimbo zenu .tulieni fanyeni kazi mwache ulimbuken
  16. R

    Continuing students

    Hawa 2nd wanaudhi sana jaman et cont...,cjui bado wana mzuka na boom,kafieni huko 2na mambo mengi ya kufanya sie,ushaur nenda heslb ndio uliingia nao mkataba hil wagalmikie maxomo yako
  17. R

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ww unamatatzo post zote hzo,uwez kupata m2, mim nipo dom lkn ng'o upati m2 hapa
  18. R

    Nawakubali sana CHADEMA, lakini 2015 sitampigia kura Dr. Slaa

    Mkuu, Mpaka sasa CDM hatufanya mapendekezo nan ni nan na atagombea ktk ngaz zote ktk uchaguz mkuu! nan kakwambia DR. SLAA atagombea uras, CCM mtaweweseka sana mbona kuna wa2 wengi ndani ya CDM wenye kuinyima CCM usingiz! i.e JJ Mnyika, Lissu, Kabwe, 2015 mtasema sana na kubaki kuwa wapinzan kwa...
  19. R

    UDSM: NI vilio 2 baada ya supp"16/9/2013

    Karibu asilimia 30 ya wanachuo( udsm) walofanya mitihan yao ya supp/special wamejikuta wakidumbukia kwenye kiitwacho carry over,source; mmoja wa wadau wa mambo ya elimu
  20. R

    Heslb, continuing students hadi lini?

    Secand yr acheni zengwe,mbona mshajifungua mimba zenu!! kila kukicha heslb,punguzeni mikebe au ndo mnadhan mpo 1st yr! uctegemee bodi kila k2
Back
Top Bottom