Search results

  1. Sniper

    Hamas wazidi kusambaza polisi Gaza na kuanza kugawa mishahara.

    Haya hayatuhusu. Tusolve matatizo yetu kwanza tunayo mengi sana, umeme, sukari...
  2. Sniper

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Nenda kaokote. Ukiona bei kubwa ujue hiyo bidhaa haikuhusu. Wanunuzi wameishaanza kupiga simu.
  3. Sniper

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Kama umeshawah miliki kiwanja walau cha sqm 1000, nafkiri unawezajua sqm 4000 kilivo kikubwa. Chote kimezungushiwa ukuta [emoji4]
  4. Sniper

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Sqm 4000 kina hati, ukuta, maji, umeme

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo. Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
  5. Sniper

    Dkt. Mary Nagu akumbukwe teuzi

    Kijana kwanu Mama yako hakujipanga?
  6. Sniper

    Huyu ni mtumishi wa umma, alipaswa aondolewe na ubunge si kutenguliwa uwaziri tu

    Ngoja mwanao afanyiwe hivo vitendo nyuma kwakwe af uje urudie haya maneno.
  7. Sniper

    Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

    Hujui process za kupata I Professor ndugu bora ungekaa kimya tu. Hamna mtu anaweza kukubania uProfessor kama umeandika maandiko ya maana. Huuo Dr itakua alikua ana publish kwenye predatory journals
  8. Sniper

    Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

    Magari ya wavulana hayo. Wanaume tuko huku
  9. Sniper

    Benki ya CRDB yawapa punguzo la bei wateja simu za Samsung Galaxy Z

    Ukiona ivo ujue wewe sio mlengwa wa hili tangazo. Walengwa wameshaenda kuchukua hizo simu tena bila kulalamika lalamika.
  10. Sniper

    Kama hii ndio Bukoba International Bus Terminal, basi Kagera kuongoza kwa umasikini ni ukweli

    Wahaya stendi ya basi ya nini sisi? Sisi tunapandaga ndege bana ah
Back
Top Bottom