Search results

  1. F

    Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43

    Another pigo kwa magu na serikali yake. Not guilty
  2. F

    Rais Magufuli na Museveni watoa tamko kulaani mahakama ya ICC kuichunguza Burundi

    Wao wenyewe wanasubiri kushitakiwa kwa kuvunja haki za binadamu
  3. F

    Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

    Ujinga mwingine huu, sasa magogoni wanataka tujadili mimba ya nani?
  4. F

    Ripoti maalum: Kupotea kwa Ben Saanane

    Bashite, policcm na wale wamiliki wa shoppers wanajua
  5. F

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Kabla ya mwanachama wa ccm kufukuzwa uanachama, kuna vikao maalum, hii ofisi ya bunge pamoja na spika wake wote ni pombe
  6. F

    Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

    Walimu wa chuo kikuu wamekuwa makada wa ccm, wanajipanga kupokea rushwa ya vyeo toka kwa pombe. Namshukuru M/Mungu kwa kuninyima nafasi ya kwenda kupoteza muda kwenye vyuo hivi
  7. F

    Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    Nimesikiliza hotuba yote, lakini kile kipande cha human face kwa wananchi wa mwanza kinasumbua sana. Tena ameenda mbali sana kwa kuagiza mawaziri zaidi ya wa3, kufind njia mbadala. Kuna watu wana stop order, lakini serikali hii, doesnt care Ujinga kumtetea huyu mbaguzi, anatupeleka Rwanda
  8. F

    Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    Pombe amesahau kuwa Urais wake amepata kwa amani ambayo ilijengwa kwa muda mrefu. Anataka kujifananisha na Museveni, Kagame ambao walitokea msituni.
  9. F

    Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    alichosema huyu jamaa, naona haya kumwita Rais wa Tanzania. Laana ya ukanda utaipeleka tanzania kama Rwanda. Kabla hatujayafikia hayo, M/Mungu atamuangamiza yeye na ccm yake
  10. F

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Huyu jamaa ni mbaya sana, hafai kuwa Rais wa Jamhuri. Anawagawa watu kwa itikadi na ukanda. Kwani wale wengine wanaovunjiwa nyumba zao hawaitaji Human face? Kwani wale wanaoendelea kuvunjiwa, sio Raia wa Tanzania? Je hili pombe ni rais ya waliompigia kura tuu? Kama mwalimu angekuwa hai, baada ya...
  11. F

    Heri ya kuzaliwa Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli

    I wish his journey would end today
  12. F

    Msafara wa Rais wavamiwa, je kwa sheria za Tanzania ni adhabu gani mtu wa hivi anaweza pata?

    Kila kitu kina kiwango chake, huenda huko kwenu wamefanya kazi nzuri, Okay
  13. F

    Msafara wa Rais wavamiwa, je kwa sheria za Tanzania ni adhabu gani mtu wa hivi anaweza pata?

    Alitakiwa asiifike kabisa gari aliyopanda Rais, soon alivyojichomoza gari ya Rais ilibidi ipunguze mwendo na zile mbili ubavuni zilitakiwa kublock. Wakati huo huo, walinzi wengine wangekuwa wana evaluate lavel of danger. He was not allowed to touch gari ya Rais
Back
Top Bottom