Search results

  1. abdulrahim

    VODACOM mnatusumbua wateja wenu

    Rudi Nyumbani 073...Kumenogaaa
  2. abdulrahim

    BARUA YA WAZI KWA MKURUGENZI MANISPAA YA MOROGORO

    Ndg. Mkurugenzi, Yah: ZUIO LA KWA WAFANYABIASHARA KUENDESHA BIASHARA ZAO NYAKAZI ZA ASUBUHI KWA SIKU ZA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI. Kwanza kabisa naomba niwapongeze kwa kazi nzuri ya ujenzi wa stand ya kisasa na usimamizi mzuri. Moja ya chanzo kikuu cha mzunguko wa pesa katika mji wa...
  3. abdulrahim

    Vodacom huduma zimekuwa ghali

    Rudi nyumbani ndg, kumenoga saana TTCL Gharama ni kitambulisho chako tuu line ya 4G yenye kasi ya ajabu kwa bei ambayo utajikadiria wewe mwenyewe! Karibu saana
  4. abdulrahim

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mgumba yuko wapi?

    Wanaotafutwa na RC wao wanajulikana tuu!!
  5. abdulrahim

    Mh. Waziri tuharakishie hiyo miongozo ya mifuko ya jamii hasa PSSSF ili tujue hatma ya mafao (FAO LA MKOPO WA ELIMU)

    Mheshimiwa, Kila wakati ukienda kuulizia juu ya fao la mkopo wa elimu kwenye mfuko wa PSPF jibu unalopewa ni kwamba muongozo haujatoka. Ni mwezi wa pili sasa hata wafanyakazi nao hawajui majibu ya kutupa kama fao lipo ama halipo. Najua sheria inapopitishwa basi mambo mengine ya miongozo nayo...
  6. abdulrahim

    Sijawahi kukojoa tangu nianze kusex

    Ukifiki 25yrs utakojoa, Kwa sasa subiria kwanza
  7. abdulrahim

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Siku zote Adui yako huangalia udhaifu ulionao na kupita kwenye njia zako hasa zile nyeusi. Hili swala ni pana na sisi wananchi hatuna budi kuliacha kwa vyombo vya Intelijensia kufanya kazi yake kwa upana na kuja na majibu sahihi ili kumwokoa msichana mzuri na Kigori (Bongo) kutoka kwa mapapa...
  8. abdulrahim

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Wangefanya nini asa we unafikiria wakati watu wenyewe hawajulikani si wanaweza wakawa Malaiaka hao
  9. abdulrahim

    TTCL: Hakuna tena kifurushi cha chuo (Boom pack) ttcl!!

    Nyumbani kunazidi kunogaaa tuu!!!
  10. abdulrahim

    TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    ni majungu na fitina, ushirikiano ni kama vidole tu, vinashirikiana wakati wa kuvunja chawa tu!!!
  11. abdulrahim

    TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
  12. abdulrahim

    TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    Hakuna shida mzee we baki huko...Acha mi nifaidi cha nyumbani
  13. abdulrahim

    TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    Mzee huku kwangu mambo mswanaaaa!!! Kanda ya ziwaaa
  14. abdulrahim

    TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    Sawa ila huku kwangu kumenogaaa saanaaaaa!!!
  15. abdulrahim

    TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    Halichachi mzeee una carry forward muda ule ule mzeee!!!
Back
Top Bottom