Search results

  1. Z

    Kigezo cha kuoa mwanamke ambacho watu wengi hawakitilii maanani lakini ni muhimu sana

    Vipi kama dada na kaka zako muoaji ndio machangudoa na mateja? Yaani baba wakubwa/wadogo na mashangazi wa watoto wako ndio wana maisha ya hovyo? Maana yake usioe mpaka uhakikishe hao ndugu zako (siblings) hawana maisha ya hovyo.
  2. Z

    Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza kukagua ndege

    Nafikiri una hoja ya msingi hapa. Wale wanomsifia Rais kwa kwenda kukagua ndege inavyopigwa rangi wanashindwa kuelewa kwamba taasisi ya urais inadhalilishwa. Rais kukagua ndege kupigwa rangi si kitu cha kusifia (Kama anavyofanya Gerson Msigwa). Ni dalili ya udhaifu mkubwa wa taasisi zetu. Ni...
  3. Z

    Insha Maridadi 1: Farasi wa Magufuli Wamegoma Kunywa Maji...

    Ukitaka kumaliza mzizi wa fitna kuhusu rushwa, fanya TAKUKURU kuwa chombo huru, kisichowajibika kwa Rais, kisichosubiri maelekezo ya Rais, na kisichotegemea fadhila za Rais. Yaani kiwe chombo kinachoweza/chenye mamlaka ya kumchunguza na kumchukulia hatua mtu yoyote, akiwemo Rais mwenyewe na...
  4. Z

    Insha Maridadi 1: Farasi wa Magufuli Wamegoma Kunywa Maji...

    Unamtafutia visingizio tu. Magufuli ndie anayekataza farasi wake kunywa maji. Amegeuza watendaji wake kuwa farasi, badala ya watu wenye utashi, maarifa, na uhuru wa kufikiri na kutenda.
  5. Z

    Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

    Whose event is the LAW DAY?
  6. Z

    Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

    Je, wewe ni mwanachama wa TLS?
  7. Z

    Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

    What evidence do you expect to see? Unaijua TISS wewe? Kwamba unatarajia kuona TISS wakiitisha presser kusema wanafanya figisu Fatma (Rais wa TLS) asihudhurie LAW DAY? You are quite funny!
  8. Z

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania iwe kama Ulaya

    Ajabu sana. Anatamani kuwa kama mabeberu anaowakosoa kila kukicha. Insanity. Frantz Fanon akaandika katika kitabu chake The Wretched of the Earth: "Come, then, comrades, the European game has finally ended; we must find something different. We today can do everything, so long as we do not...
  9. Z

    Jionee Stesheni Kubwa ya SGR Morogoro itakavyokuwa baada ya ujenzi kuisha

    RailwaY Station ni kitu kinatakiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 1000. Hakuna haja ya madoido: ukuta mkubwa, zege na finishing inayostahimili vumbi na misukosuko ya abiria kila siku (mara watu wamwagie juice, grafitti etc). Kwa design uliyotuonesha hapa na kwa Wachina niliowaona kwenye video, kuna...
  10. Z

    Hasara nyingine kwa Tanzania maamuzi ya kukurupuka soko la dunia korosho ni 2600/= tumepata hasara ya 700/= kwa kila kilo moja ya korosho Zimbabwe

    Lakini kwa mujibu wa Financial Times (Subscribe to read | Financial Times ), Tanzania inaweza ku-influence bei ya korosho kwenye soko la dunia mpaka January/February (wakati nchi nyingine kama Nigeria, Cote d'Ivoire, Vietnam zitaanza kuvuna), all down to seasonality. So itategemea serikali...
  11. Z

    Waziri Tizeba iliagiza Jeshi la Polisi Singida kufanya upya uchunguzi wa ajali ya watumishi wa wizara ya kilimo

    Hata kama speed limit ni 50 km/hr, 89 km/hr ni mwendo mkali? Or what am I missing here? Hata mimi ningekuwa Waziri ningekataa hiyo ripoti (doppler, whatever you call it).
  12. Z

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Uko sahihi kabisa. Tatizo kubwa la kina jiwe ni ushamba (they are not streetwise). Hata kama wana nia njema, they are simply clueless.
  13. Z

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Uko sahihi kabisa. Tatizo kubwa la kina jiwe ni ushamba (they are not streetwise). Hata kama wana nia njema, they are simply clueless.
  14. Z

    Kwa ilipofikia, CHADEMA ni ya kuionea huruma na kuiombea

    Ukisema unaionea huruma CHADEMA, ni nani haswa unayemwonea huruma? Mhe. Mbowe? Mh. Lema? Mashinji? Wananchi ambao wananufaika na uwepo wa upinzani imara?Ni nani haswa unayemwonea huruma?
  15. Z

    Ili kutopotezwa na Upepo wa Magufuli: Wahadhiri UDSM waasa Upinzani kubadili Siasa zao za kuisuta Serikali na kushirikiana nayo kama Upinzani wa China

    Hizi ni fikra potofu. Kibali cha kukosoa jambo hakitokani na mkosoaji kuwa na alternative. Unaweza kukosoa kitu hata kama huna alternative. Kukosekana kwa alternative haina maana kuwa jambo au kitu kama kilivyo sasa hakina mapungufu. Jambo linaweza kuwa na mapungufu na likakosolewa kwa misingi...
  16. Z

    Ili kutopotezwa na Upepo wa Magufuli: Wahadhiri UDSM waasa Upinzani kubadili Siasa zao za kuisuta Serikali na kushirikiana nayo kama Upinzani wa China

    Hao wapinzani wa China wanaoshirikiana na serikali ni kina nani? Liu Xiaobo? Ai Weiwei?
  17. Z

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Kabla hujafanya hitimisho, tafuta mtu yeyote aliyefanya kazi kwa karibu na Kabudi na ufanye nae mahojiano. Kama ulivyosema, Kabudi atafanikiwa ku-impress wale wasiomjua kwa "uwezo wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala". Ni presentation tu na kuchonga, nothing else. Kama huniamini, tafuta mtu...
  18. Z

    Rais Magufuli apinga uzazi wa mpango, asema wananchi wanapotoshwa

    Haha. Kwa hiyo unachukulia kuzaliwa kwako kama zawadi uliyopewa na wazazi wako? Vipi, kama usingezaliwa ungejua kama hujazaliwa? Ni kama vile unaamini ulishakuwa lined up kuzaliwa na kama wazazi wako wangechagua kutokuwa na watoto, basi wangekuwa wamekubania. Strange thinking. Unajua hata maana...
  19. Z

    Bobi wine aeleza masaibu yaliyompata.Tanzania tunachakujifunza?

    "Angesepa street" ili wamshone risasi vizuri. Yaani, you have completely failed to visualise what actually happened that night. Si unajua waliua Yassin wakifikiri wamekula Bobi Wine? Na hayo majamaa yalikuwa yanaongea Kiswahili.
Back
Top Bottom