Search results

  1. R

    I would like to correct you mr president Kikwete

    Ushauri hauwezi fanyiwa kazi kwani tatizo ni mfumo.
  2. R

    Bravo wabunge wa CHADEMA on katiba!

    kwa kweli chadema wameonyesha njia. Magamba wamejipanga kuupotosha umma, lakini wakumbuke kwamba huwezi kudanganya watu kila siku.
  3. R

    We NEED a Way Foward ASAP!

    Ubabe ndo hivyo umeshafanyika. Je jukwaa la katiba limejipangaje kuutetea huu ubabe/
  4. R

    Pinda kuutema Uwaziri Mkuu?

    Kwa hakika inasikitisha kuona nchi au bunge linaongozwa kwa mtindo wa aina y ake toke huyu ndugu awe waziri mkuu. Hana uwezo wa kutoa hoja au kupinga hoja inayohusu maslahi ya taifa hasa akiwa kiongozi wa shughuli za serikali. Hana uwezo stahili na hili liwaume watu wengi ili waone sababu ya...
  5. R

    Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

    Kwa hakika kama hujajipanga mwenyewe juu ya umiliki wa hela hizo pamoja na matumizi yake, ni wazi hata tukikusaidia kupata kazi ya kufanyia hutaweza kwa kuwa wazo halijatoka kwako. Mchanganuo wa biashara ni muhimu. Omba msaada huo na siyo kuuliza swali ufanyie nini fedha
  6. R

    Usijidanganye!!

    Pdidy hakika nakusifu, umeamsha ndoa nyingi leo zilizolala usingizi. Nasi tunapokea kwa kujirekebisha pale tulipozembea.
  7. R

    Dodoma huwa wanafuata nini

    Hakika bunge hili la kuimi ni udhia mtupu. Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe. Kama unawawakilisha wananchi wako, lugha chafu na ya kejeli ya nini. Waheshimiwa wazima wanazomeana kama watoto wa std II. Inatia aibu.
  8. R

    Dodoma huwa wanafuata nini

    Hakika bunge hili la kumi ni udhia mtupu. Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe. Kama unawawakilisha wananchi wako, halafu wanakuona unavyotoa lugha ya matusi au kejeli haipendezi hata kidogo.
  9. R

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ninamshukuru sana mtoa mada hii. Tuendelee kumuunga mkono
  10. R

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kwa hakika Lowasa anastahili kuongoza nchi hii. Juhudi na bidii yake wenyewe mliona kwa kipindi kidogo sana alichokaa katika nafasi ya waziri mkuu. wale wote wanaobeza mfano wa hizo shule za kata hakika wanakosea kuwa ni za kifisadi. Angalia maandalizi hayo yanavyokuja kuwa sambamba na walimu...
  11. R

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Hongera Zitto. Wapenda haki na watetezi wa wanyonge wanakuombea kwa Mwenyenzi Mungu. Hivyo vita ni vikubwa na wanaoguswa wako samaki wakubwa, sasa je umejipanga kiasi cha kuwashinda kwa hoja kwani wao wana nguvu ya dola? Vile vile ndani ya chama chenu, je hakuna wasaliti? Jipe moyo mkuu...
  12. R

    Kufika Loliondo kwa babu jamani

    Pole sana kwa matatizo ya bibi. Usafiri uje hadi Arusha, ufike arusha airport Kisongo, kuna Helicopta utapewa gharama ya kama dola elfu moja hadi mia saba hivi ila sina hakika ya gharama kwani kila mara inabadilika. Mtafute Kapten Barasa. Hiyo inatua nje kwa babu hakuna gharama zaingine za...
  13. R

    HAMAD RASHID katika Njama za Kumng'oa Maalim Seif?

    Kwa hakika tunatoa pongezi kwa aliyeweka hii. safi sana. Sasa ni wakati wa kufungua macho na kujihadhari na watui wenye uchu wa madaraka. Alichokuwa akililia miaka yote akiwa kiongozi wa kambi ni serikali ya kitaifa. Sasa imekubalika ubinafsi unachukua nafasi. Sasa tuwaweke wapi hawa...
  14. R

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Tunamshukuru aliyeleta hii. Safi sana. Kwa pamoja tunaungana nao kuwa waelekeze fedha hizo kwenye "charity fund" kwani sio juhudi yao iliyorejesha fedha hizo. Hawakuona sababu ya kuzitafuta kwa kuwa wanajua fika kuwa mhusika mkuu aliyekula hilo jasho la Wanzania angejulikana. Tunawapongeza...
  15. R

    kwani nini mtu ujifanyie uumbaji mwenyewe

    Alichofanya ndicho sicho. Atajutia katika maisha yake. Mungu hadhihakiwi. Natoa mwito kwa wote wenye kupenda kuiga, hili walikimbie kama ukoma.
  16. R

    Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake

    Tunakushukuru sana kwa kuweka topic hii kwani itawafanya wajifikirie tena juu ya maangamizi hayo ya sodoma.
  17. R

    Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake

    Kwa hakika hilo ni kosa kubwa mbele ya Mwenyenzi Mungu. Ni vizuri aondoke, aweke wazi kile kilichomtoa katika nyumba yake bila kupenda, awashirikishe wazazi wa pande zote mbili awahi zake mapema. Hana dhamani yoyote hapo, ni bora ndoa hiyo ivunjwe kisheria ili aweze kuolewa na mwanaume...
  18. R

    The West Policy on Libya Vs Putin

    Hakika huo ni ubabe wa kutaka mafuta ya libya. Hata kama gadafi anatumia nguvu kuangamiza raia wa nchi yake, mbona raia kama hao huko ivory coast wamepoteza maisha lakini mmarekani hakuweza kumwondoa huyo rais aliyeng'ang'ania madarakani? Hapo ameona kuwa hakuna masilahi yake zaidi...
  19. R

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    kwa hakika 2015 ccm haitakuwa na excuse, cha maana kwao waje na mtu safi na asiye fisadi. Kinyume chake tutakuwa tumekipa ushindi wa kishindo wapinzani Cha msingi wajirekebishe kwa kutumia hoja za wapinzani wanazotoa pamoja na kero za wananchi wanazoibuliwa na chadema. Mfano sukari, umeme...
  20. R

    How do you know about Valentine's Day?

    Ninatoa mwito kwa wote kuwa sio siku hiyo pekee inayohitaji kujali na kupenda, bali ni kila siku. Watu wengine wameweka mtazamo wao kwenye masuala ya ngono zaidi kwa siku hiyo. Ni siku ya kudangayana sana hivyo muwe makini.
Back
Top Bottom