Search results

  1. Nokla

    TV4Sale Nauza TV flat ya chogo

    Evolution of TV nazikumbuka hizo, hao watoto wa juzi hawawezi kuzijua
  2. Nokla

    Phone4Sale Simu zinauzwa

    Hivi hayo marangi ya njano unaweza kuyasoma kweli?
  3. Nokla

    Jengo kwa matumizi ya hospitali linapangishwa Dodoma

    Maelezo murua kabisa. Umefanya vema. Ngoja waje
  4. Nokla

    Properties for Sale

    Unaweka biashara bila bei ni kusumbua watu tu.
  5. Nokla

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Djuma Shabani Soldat ya Bemba
  6. Nokla

    Simba walitaka kumsajii Pacome ila waliogopa Chama atanuna

    Lakini si walifanikiwa kumuiba Ngoma eapoti. Anawatosha
  7. Nokla

    Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Shida wakishakukamata hadi waje kutangaza wanakushikilia ni karibu wiki 1 au zaidi ya wiki. Hapo katikati unafanyiwa vitendo visivyo vya kibinadamu. Ukitoka hapo kesi umeshinda lakini utu wako umeshatwezwa unakuwa kama mdude vile. Sasa unapata faida gani au unaona sifa umetetewa na mawakili...
  8. Nokla

    Dalali wa vyumba Dar anisaidie

    Umeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate) We unadhani tanesco wanaweza kukuchia umeme 24hrs
  9. Nokla

    Car4Sale Car for sale

    Mil 35 pamoja na ushuru na usajili? Na je gari zipo tanzania? Hii ni ya petrol au diesel? Eleza kila kitu ili wateja wasiulze maswali mengi.
  10. Nokla

    Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

    We mwanamke unahangaika sana, kwani hawajakujaza mimba tu hadi leo dah
  11. Nokla

    Official and Confirmed: MVP Zouzoua Pacome is green and yellow

    Na malalamiko yametamalaki haswa sasa hivi wanasema tunanunua mechi ila na wao walikula 5
  12. Nokla

    Nani asiyejua kwamba Ihefu imechoka?

    Ikifungwa yako unasema hujma. Huo ni wivu ulitaka ufungwe pekeako tu hizo tamu
  13. Nokla

    Je, kuna madhara yoyote kwa kuchanganya pombe na energy?

    Utakunywaje damu ya mwanadamu mwenzio huo sio uzombi kweli ?
  14. Nokla

    Car4Sale Harrier 2006 model for sale

    Ni kweli chuma imetulia na haina kona kona. Karibuni saana
  15. Nokla

    Car4Sale Harrier 2006 model for sale

    Mawasiliano ni 0656299246 tuwasilane kwa biashara zaidi
  16. Nokla

    Car4Sale Harrier 2006 model for sale

    Nauza gari tajwa hapo juu. Gari bado ipo vizuri sana maana haijatumika muda mwingi ipo kama ilivyo ilivyotoka japani. Bei mil 24.8 maongezi kidogo yapo pia natoa laki5 kwa dalali atakayeleta mteja. Karibuni sana
  17. Nokla

    Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6

    Wapumbavu, wao wenyewe wanakitambulisho cha GSM akiwa mwanachama wa simba sports
  18. Nokla

    Jemedari Saidi aja juu suala la Manula kukaa benchi.

    Hii ipo kwa Simba zaidi. Yanga walifungwa na ihefu hukusikia hujuma zaidi ya utani wa wapinzani tu. Msimu uliopita yanga alifungwa goli 2 bila na simba wala hatukusikia sijui nani kahujumu au nani kauza mechi. Ila simba wanayo sana hii hasa miaka ya hivi karibuni. Wao wakifungwa tu kuanzia Mo...
  19. Nokla

    Bahasha fc: Tumalize mchezo mapema

    Watu wengine kama mafala
Back
Top Bottom