Search results

  1. T

    Kuna Uhusiano Kati ya Dr. Medard Kalemani ( Naibu Nishati) na Magufuli?

    Amekuwepo hapo wizarani ila aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa sheria kuanzia 10/10/2014. Kipindi cha nyuma alikuwa mtumishi wa kawaida. Kwahiyo mkuu kabla hujatoa hoja kuwa na full data. Jamaa yuko vizuri kwenye sheria za madini na gesi, atasaidia. Pia wale mnaosema alihusika kwenye mikataba ya...
  2. T

    Kwa wanasaut mwanza 2013---

    Kutokana na uhaba wa hostel za chuo kuwa chache wewe uliechaguliwa saut na wewe unaendelea na mwaka mwingine wa masomo kuna hostel za watu binafsi ila kutokana na almanac yetu na reporting day kwa first year nawengine,wajanja waisha anza kutafuta ni wapi wataishi kwa mwaka mpya wamasomo.So...
  3. T

    Uwezekano wakubadili faculty

    Sawa wakuu nimewaelewa swala ni la course ahsante kwa kunisahihisha that's y we're Great Thinkers bt hata mimi nimeamua kubadili kwakuwa nimetokea kuipenda BAGE
  4. T

    Uwezekano wakubadili faculty

    Ni kweli mkuu ahsante kwa ushauri
  5. T

    Uwezekano wakubadili faculty

    Wakuu naombeni ushauri juu ya hili, mimi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public relations and Advertising pale UDSM ila sasa baada ya muda nimeshauriwa na watu wa nyumbani ni badili nichukue Bachelor of Arts in Geography and Eenvironmental Studies hapo hapo UDSM pia so mawazo yenu kwa...
  6. T

    Hostel kujaa saut

    Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa mfano pale Nyamalango. Ila kwa upande wangu nishaafanya booking ya room hapo Nyamalango so kama kuna...
  7. T

    Hostel kujaa saut

    Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa mfano pale Nyamalango. Ila kwa upande wangu nishaafanya booking ya room hapo Nyamalango so kama kuna...
  8. T

    St,ugustine univesity

    Rum za nje kimtindo bado zipo kama vip nitafute kwa 0713777807/o754998927 nita kusaidia kupata rum za nje
  9. T

    Kwa wana saut wote

    Napenda kuwahabarisha wanachuo wote wa SAUT ie-:flypig:First Year,Second and Third year :flypig:yakwamba kwa wale watakao hitaji private hostel rooms zisizo za chuo kufanya mawasiliano na contact hapo chini ilitupate good accommodation for our university study duration kwa namba :A S...
Back
Top Bottom