Hivi unapogundua kuwa baba ako kaenda kuwachukua watu baki ili waje kula pilau iliyopikwa na wewe mwenyewe alafu wewe ukakosa ila kukiwa na mlenda anajifanya anakupenda!!!huo ni unafiki uliopitiliza!!!
Jamani hivi tunafahamu ya kuwa sisi wananchi ndio Serikali yenyewe?
Tatizo letu hatujifahamu ndio tunaburuzwa,walimu wakigoma inatakiwa nchi nzima tunagoma na kuhakikisha hakuna litakoloendelea mpaka jamii ya kimataifa iingilie kati.
Tuache kuwa watu wa maneno tu, vitendo ziro, hivi bila...
Swala la kuogopa mtu au kufa halipo kikubwa ambacho tunatakiwa watu wote tujue ni kwamba huu ni muda wa mabadiliko na kiongozi wa kweli ni yule ambae anatokana na misukosuko[crisis] na hii ni kwa maeneo yote.
Hivyo tuache unafiki bali watu wanaoonesha nia hiyo tunatakiwa kuwaunga mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.