Search results

  1. F

    Kuoga na mume au mke wako...

    Mwanamke anakosha nywele baada ya week loooooooo wajameni wapi tunakwenda na wapi tunatoka inavyotakiwa awe anakosha kila siku kwa waisilamu baada ya miti wakimaliza ni lazma kuoga mwili mzima na raha mnakoga pamoja inategemea nyumba kama nyumba za kushea vyoo itakuwa vigumu
  2. F

    Majambazi

    Jambazi linalouwa linapelekwa mahakamani anahukumiwa miezi mitatu kwanini isiwe hivi likisha hukumiwa polisi walipige risasi, wao wanaua na wao wauliwe anaetumia silaha apigwe na risasi anetumia panga apigwe na panga
Back
Top Bottom