Search results

  1. J

    Mkapa anaandaliwa kuwa rais

    Kutokana na rasimu ya katiba kuruhusu waliokuwa marais kugombea tena urais, nafikiri haya ni maandalizi ya ukweli ya Mzee wetu Mkapa kuishika hii nchi tena. Watumishi wa Umma wameonekana kulisubiria hili kwa hamu sana kwa kuwa kwa wakati wa uongozi wake aliwapa heshima na nchi ilikuwa na...
  2. J

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Nakuunga mguu scope,hata katika familia baba na mama wakiwa katika ugomvi mgeni ajapo ugomvi hutulia kwa muda na akiondoka ugomvi unaendelea. Mbowe angekataa kuhudhuria ingelikuwa ni udhaifu. Pia hatujui Obama angewaza nini kwani kwao (Marekani) hawasusiani mambo yahusuyo nchi . Mbowe ameonyesha...
  3. J

    TANZANIA: tujiandae sasa majirani zetu waanza kututenga

    Rais aliwaambia ukweli wewe,sasa unafikiri watapatanaje wasipokaa wakayaongea.
  4. J

    Dawa Ya Elimu kwa wa-Tanzania....

    Kuna mzungu mmoja alivyojua kuwa mimi ni mwalimu aliniheshimu sana na hasa baada ya kukataliwa na wanafunzi wa kidato cha tatau ilihali mimi nafundisha kidato cha nne. Lakini siku aliyojua mshahara wangu hakuamini mpaka nilipomletea salary slip na alienda kuidhibitisha kwa mwanasheria, kwa kuwa...
  5. J

    Msaada kuhusu kubadilisha ngazi ya utumishi serikalini

    Ukweli hata Wilaya yangu hawabadilishi muundo bila cheti. Wweza nyoosha mkono lakini wakituma data zako utumishi bila cheti zitatupwa kenye jalala la utumishi na tsd anaweza pata kweri ya kujibu. Kuwa mpole,vumilia cheti kitoke then watakubadilishia muundo. Labda hapa kuna haja ya kuashauri...
  6. J

    Cwt kukata mishahara ya walimt

    Tatizo cwt hawakusoma alama za nyakati na pia walishupaza shingo,wangeanza kwa kupunguza tozo ya 2% wanazowakata walimu kwani wameshajijenga vya kutosha. Umet watakata 0.2% ya mshahara,je unafikiri kuna mwalimu atakaekubali kuendelea kunyonywa na cwt? Hata hivyo kuliangalia vizuri hili swala ni...
  7. J

    Mishahara ya walimu juu

    Huu waraka umefutwa umetolewa mwingine.
  8. J

    Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

    Wangempa uwaziri wa fedha kama ingewezekana.
  9. J

    Lowasa atenda makubwa "walimu saccos"kilimanjaro.

    Ahsante kwa kunisemea,aliyekuja akaanzisha kilimo kwanza huku akisahau kuwa ilitakiwa elimu kwanza.
  10. J

    Lowasa atenda makubwa "walimu saccos"kilimanjaro.

    Nafikiri hafahamu hayo unayolalamika,ni vizuri ukamjuza.
  11. J

    Elimu ni kipaombele cha sita.

    Waziri wa fedha kasema elimu ni kipaombele cha sita,je elimu ikiendelea kushauka ni nani wa kulaumiwa? Nashauri wananchi wailaumu serikali na si walimu. Poleni watanzania.
  12. J

    Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

    Sio wote wasiofundisha,wengi wanafundisha tena masomo yao waliyosomea na sio civics.
  13. J

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Nafikiri kutakuwa na wabunge wengi,yaani kila jimbo liwe na wabunge wawili? Mh Nahitaji kusaidika ili nielewe.
  14. J

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    Sio wote wako unavyofikiri,fikiri upya na utafiti pia ufanye. Mfano kila mtu anafahamu kuwa wachaga ni wezi je? ni kweli na kama na kweli hakuna ambao sio wezi? Niko Singida kikazi ila sio kweli kwamba Wanyaturu wote ni washirikina,tena hao washirikina ni wa kuhesabu kama ilivyo kokote Tanzania.
  15. J

    Mfumo mbovu wa Ukaguzi ndo chanzo cha kushuka kwa Elimu nchini:JK.

    Tatizo sio kukaguliwa tatizo ni kukata tamaa kwa waalimu,hata wakiwakagua usiku kucha kama hawatawafanya walimu wawe na moyo wa kufundisha hakuna watakalofanya. Mfano walimu huwa wanafundisha mpaka mida ya jioni ila kwa miaka ya hivi karibuni hawafundishi tena je nalo hilo linahitaji wakaguzi?
  16. J

    Mgomo wa waalimu nafikiri uwe hivi.

    Kwa kuwa sina uhakika na uwezo wa cwt wa kuwalipa waalimu wakiwa katika mgomo,na kwa kuwa sheria za nchi zinasema kuwa ukifanya kazi kuanzia tarehe moja mpaka 15 unastahili kupewa mshahara,hivyo basi nashauri mgomo uanze kuanzia tarehe17 wa mwezi husika na ikifika tarehe 1 ya mwezi mwingine...
Back
Top Bottom