Search results

  1. B

    Wale wa UDOM: Sept 30 ni deadline ya Tuition Fees

    Sio lazima ulipe ada yote unaweza lipa nusu,na kama bodi wamekupa lak 5 na ada laki 7 we unatakiwa kulipa laki 2 ambapo unaweza kulipa nusu laki moja. Suala la dead line sina uhakika sana but cha msingi wakat unaenda fanya regestration uwe tayari umelipa diarest cost na fees hata nusu hapo ndo...
  2. B

    Je we ni mmoja wa watanzania mwenye ujinga huu??

    Akiuwa baba ako au mama ako kwa kupigwa risasi na police ndo utaamini kuwa kuna uvunjifu wa sheria,mana kwa wengine ni sawa tu,.
  3. B

    Mambo 11 usiyoyajua kuhusu msanii Diamond sukari ya warembo

    Hupendi? Hutaki? Huamini? Wacha vijana wanaojituma wale matunda yao Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. B

    Siipendi CHADEMA

    Kwaiyo maovu ya serikali yasifichuliwe?? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. B

    Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM ?

    We unaangalia majengo,kwanza ata kwa majengo kiu haingii kwa udom,afu usipendi kujaj vitu kwa kuangalia kwenye tv Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. B

    Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

    Unadhani wanakuja bure? Wanachota wanasepa zao we mwenyewe unaona diilii kumbe mshaliwa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  7. B

    Gharama za simu kupanda kuanzia Julai Mosi

    Iyo mitandao haipaswi kuongeza gharama wanapata sana faida wakati mwingine wanakata pexa ata pasipo sababu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. B

    Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

    Kwaiyo unataka sema wale polic ni chadema au? Huu umaxn utawapeleka pabaya najua ni njaa tu izo,ukipewa chochote unaropoka tu uku nafsi yako ikikusuta Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. B

    Mtikila: Tamko DPP juu ya bomu lililolipuliwa Arusha - CHADEMA wanatafuta Ushindi kwa kura za Huruma

    Anajifanya mchungaji kumbe njaa tu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. B

    Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

    Makubwa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  11. B

    Clouds fm what do you learn from this

    Iyo ya adam kupigwa haipo jipange tena kutafuta taarifa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  12. B

    HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    Kusoma sana haimaniishi ndo kufaulu,hatujui umetumia njia gan kupata izo max Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. B

    Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

    Privat anasoma kama kawaida Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. B

    Ajira polisi zatangazwa

    Cjajua utaratbu wasasa ila huwa wanaohitaj izo kaz huwa wanafanya maombi wakiwa shule Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. B

    kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

    Na walokosa wao wafanyaje,kweli maxin akipata ****** hulia mbwata
  16. B

    Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    Jaman naomba mniangalizie VALENTINO MYAMBA saut mwanza
  17. B

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Jitahidi kuwa bize na uwepuke kukaa peke yako
  18. B

    Bodi ya mikopo mwaka huu 2012/2013=msiba

    Hamna cha kufulia serikali inao uwezo mkubwa tu wakuwasomesha raia wake,pesa ngapi zinaliwa na mafisadi mabilion kwa matrilion izo pesa zingesomesha watoto wangapi? Tatzo watanzania tunakubaliana na kila kitu bila kuhoji kuna taarifa kuwa viongozi wa bodi ya mikopo wanalipwa hadi milion 12..kwa...
Back
Top Bottom