Search results

  1. C

    Wasio la loan udom.

    dogomkama haunaga cha kuongea jitahidi kunyamaza tuu, au hako kasim kako kamchina ndo kanakupa jeuri ya kutujazia thred humu.. pppuuummbbb.........fffffffffffffffffuuuuuuuuuuuuu
  2. C

    HESLB vs UDOM cont students

    ebana hio ishu ipo lakini co kwa UDOM cjui cc wa UDOM imekuaje kwa sababu mpaka sasa watu wa UD na MUM wameshapangiwa mikopo kwa watu wa continue xa cjui inakuaje hapa dom, nasikia kuna ishu ya kuandika majina kwa loan oficerkisha yaambatanishwe na matokeo yapelekwe bodi ndo tupangiwe, hio ishu...
  3. C

    msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?

    jaman hawa wana2zingua, ani cjui hata kama wata2pa hawa coz wapo kimyaa tuu hawa2p info yoyote.
  4. C

    Matokeo ya bodi ya mikopo kwa continuing students ambao hapo awali walikosa mikopo.

    pamoja xana wana jukwaa, lingine jipya lililo jiri leo ni kwamba leo hii management na body of directors wamekaa kikao mchana katika kuhaklikisha tunapata mkopo kwa wakati stahili xo inavyoonekana haitachukua muda mrefu swala hililitakuwa limepatiwa ufumbuzi. kwa hiyo wakuu tuwe na subira...
  5. C

    Matokeo ya bodi ya mikopo kwa continuing students ambao hapo awali walikosa mikopo.

    jamani ndugu zangu mnaoendelea na masomo poleni sana kwa hili ikiwemo na mimi mwenyewe coz ni miongoni mwao, wana ndugu mimi binafsi ijumaa iliyopita ya tar 21 nilikuwepo bodi ya mikopo ili kujua hatma yetu juu ya swala zima ya kupangiwa mikopo kwa sababu inavyoonekana wanafunzi woote...
  6. C

    News alert:another updates from heslb.

    je na wale wanoendelea na masomo ambao mwaka wa jana walikosa kabisa kwa maana ya NO LOAN xo wakaamua kuomba mwaka huu nao vip kutokana na dodosa dodosa yako nao watawa consider au ndo watachinjiwa baharini, majibu tafadhali mkuu
  7. C

    Zaidi ya wanafunzi 15,000 wakosa mikopo ya elimu ya juu!

    hizo program ni moja u kazi ya vigzo vya kupta mkoo, kuna vigezo vingine pia kama hali ya uchumi ya mombaji xo haimaanishi kua kama hujasoja priority corses bas haupati mkopo, swala hilo hakunahebu jaribuni kuwaelewa bodi
  8. C

    Wapendwa wa udom: Bima ya afya hapa!

    xomkuu kuna pesa ya matibabu takribani laki moja tunalipa aple chuo, xo hiyo ndo wata i compaset kwenyemfuko au tunatakiwa kulipa tena elfu hamsini nyingine ukiachana na ile laki moja?
  9. C

    B.com in finance udom

    maneno tu hayo
  10. C

    B.co ib at udom

    pia Ib ipo kampala Internationa university, ile ya gongolamboto ila ile co B.com ile ni bachelor degree in international business, xo cc tupo wide mno, masters yake inapatikana UDSM na IFM tu, ila ya IFM sio B.com ile ni MBA IN INTERNATIONAL BUSINESS yaani masters of Business Administration In...
  11. C

    B.co ib at udom

    raymond hapa
  12. C

    B.co ib at udom

    dogo tulia, hujapotea ni mashavu ya kutosha, u'r n right choie, hiyo coz ip dom tu, me naingia 2rd yr hapohapo, xo cool mwaka huu ndo product ya kwanza inaenda mtaani, dogo hiyo coz asije akakudanganya mtu iko vizuri mno
  13. C

    loan allocation kwa wanafunzi wa second selection

    ila bana mwka wa jana wote waliochaguliwa second round hawakupata hata mia!
  14. C

    Udom usajili..!!!!

    kama ndo hivyo basi kitu JAMUHURI, cc ndo mwaka wa jana tulisajiliwa, na mtapanga mistari humo ndani uwanjani kutokana na school na college zenu , xo mpango mzima unakua hivyo.
  15. C

    Udom usajili..!!!!

    kama ndo hivyo basi kitu JAMUHURI, cc ndo mwaka wa jana tulisajiliwa, na mtapanga mistari humo ndani uwanjani kutokana na school na college zenu , xo mpango mzima unakua hivyo.
  16. C

    Udom usajili..!!!!

    wote tulisajiliwa uwanja wa jamuhuri, labda mwaka huu utaratibu ubadilike, ila ts true USAJILI NI JAMUHURI
  17. C

    Udom usajili..!!!!

    nuie mbona co waelewa, hebu muulize mtu yeyote unayemfamamu wa 2year wa UDOM muulize mwaka jana yeye amesajiliwa wap?
  18. C

    Udom usajili..!!!!

    inawezekana coz hata cc 2yr mwaka jana tulifanya huo usajili hapo uwanja wa jamuhuri, xo inawezekana utaratibu ukawa hivyo na mwaka huu guyz
  19. C

    udom members

    second week of october,
Back
Top Bottom