Search results

  1. TEGETA KIBAONI

    Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

    Hakika dharura huweza fanya Jambo la haramu kuwa halali kwa kipindi Cha dharura husika, Corona Ni dharura hivyo maamuzi ya hao viongozi Ni mazuri tu.
  2. TEGETA KIBAONI

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Nadhani umeshajifunza kitu mpaka Sasa. Tofautisha Sheria za utumishi wa Uma na Sheria za makosa ya jinai, na hizi wakati mwingine husomwa kwa pamoja. Kwa Mfano Mh. Rais amemfuta kazi jamaa yako kwa kutumia Sheria ya utumishi wa Uma lakini masuala ya kijinai ameziachia mamlaka husika ziendelee...
  3. TEGETA KIBAONI

    Mrejesho: Haya ni matatizo mbalimbali tuliyoyagundua katika baadhi ya nyumba zenye tatizo la bili kubwa ya umeme

    Ndugu yetu ameandika mengi na ushauri ninampongeza Sana kwa Hilo, ninamwomba aendelee kutupatia mengi zaidi ya kheri, Ila ninaongezea kidogo tu kwamba tuangalie matumizi ya Sola jamani gharama Ni chini Sana, pia ikumbukwe kuwa kufikiria kuongeza kipato ili uenjoy life Ni Bora zaidi kuliko...
  4. TEGETA KIBAONI

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Jeshi la polisi Ni chombo kingine na Wizara anayoitumikia mtumishi Ina mamlaka yake dhidi ya Hiki alichofanya kwakuwa kimetia doa taswira ya watumishi kifupi imeshusha hadhi ya mtumishi wa Uma.
  5. TEGETA KIBAONI

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Kwani hata picha yake unamwona Yuko sawa? Kikubwa kilichonifurahisha Mimi Ni kuwa kwa waislamu kumpeleka katika mamlaka husika, hii Ni hatua nzuri Sana na ndio Msingi mmojawapo wa Imani hiyo, Kitendo Cha kukamatwa na kusimamishwa kazi kwake huyu jamaa Ni adhabu Tosha tu, Binafsi ninamwomba Allah...
  6. TEGETA KIBAONI

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Mtumishi wa Uma anatakiwa kuwa na haiba na Mfano Bora katika jamii Jambo ambapo litaleta umoja, upendo, amani na mshikamano katika jamii, ukitafakari kiasi kidogo tu, utaona amevunja "Code of ethics" bila Shaka amefanya kitendo hicho bila kutafakari hatma yake, kitu ambacho so sahihi kwa...
  7. TEGETA KIBAONI

    Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

    Ajiuzulu kwasababu ya kukataa Ushogaa? Mimi sijaona sababu ya yeye kujiuzulu hapo kwa sababu Ni Mila na desturi za Tanzania ndizo hazitaki huo Ushoga, na Mh. Makonda yeye amelisimamia Hilo kwenye mkoa wake.
  8. TEGETA KIBAONI

    Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

    Kwa Hilo walilosimamia la kutaka Ushoga utawala Dar na TZ kwa ujumla, bado nitaendelea kumpongeza Mh. Makonda na kuwaambia USA kwamba Kila taifa lina Mila zake sisi huku kwetu Mwanaume kuingiliwa si katika Mila zetu na wao kwakuwa wao kufanyiwa ubasha Ni Mila zao wasitake tuwaige kwenye ufedhuli...
  9. TEGETA KIBAONI

    Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

    Yah, Hii inawezekana tu pale ambapo mafuta kwako Ni Kama mtaji wa garilo, yaani ukishajaza full tank ukifanya Safari ya Km kadhaa unaongezea mafuta kwa kadiri ulivyotumia gari siku hiyo ili kutoathiri mtiririko wa mafuta na utanikumbuka juu ya hili na utaenjoy Sana.
  10. TEGETA KIBAONI

    Ukerewe yalalamikia bei kubwa ya umeme, wananchi wanalipa 2,500 kwa unit 1 ya umeme

    Elfu tano Unit 35? Wenzako elfu 10 twapata Unit 28; wewe shikilia hapohapo.
  11. TEGETA KIBAONI

    Tofauti ya mchumi na bahili

    Mada Ni nzuri Sana, Kama fukara na masikini tunavyochanganya.
  12. TEGETA KIBAONI

    Mara: Mwanafunzi agoma kwenda shule kisa hana akili

    Binafsi nampongeza kwa maamuzi aloyachukua,hii Ni kwasababu kusoma Ni utashi na wengine husema kusoma Sana Ni woga wa maisha, ikumbukwe kuwa nchi yetu inaamini Kuna elimu rasmi na isiyo rasmi, hivyo huyo dogo yupo sawa afundishwe Ufundi nguo Kisha ataanza kudizaini nguo za mitindo Kisha atapata...
  13. TEGETA KIBAONI

    Jangili sugu akamatwa kwa kumuua askari wa Hifadhi kwa kumchoma mkuki

    Umemtia hatiani? Kumbuka ana haki ya Kusikilizwa.
  14. TEGETA KIBAONI

    CAG afichua zilipo tril. 1.46/- mikopo wanafunzi

    Umeshakwenda kupata certificate ya kumaliza Deni lako?
  15. TEGETA KIBAONI

    Wauaji wa Jamal Khashoggi wahukumiwa miaka 5 jela

    Hii habari kwa kiswahili na Kiingereza havishabihiani.
  16. TEGETA KIBAONI

    Ushauri: JKT kwa Mujibu wa sheria ifutwe, badala yake vijana wapelekwe VETA miezi 3 au 6

    Mimi nashauri tujikite kwenye kanuni zilizoanzisha VETA na JKT vina malengo yanayofanana? Mimi nadhani vyote viwili viwepo kwani malengo yake ni tofauti, Pia kwa mujibu wa Sera ya elimu ya Tanzania Ni kwamba kijana amalizapo kidato Cha nne hupewa Uhuru wa kuchagua Kama anapenda kwenda Ufundi(...
Back
Top Bottom