Search results

  1. kimberlite

    Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    You are being too obvious. One just needs common sense to know you are one of them. If u know you know
  2. kimberlite

    Kumbukumbu: Night shift Bulyanhulu, siku niliyotamani kuuaga umasikini

    Mkuu hiyo ni vein ya Chalcopyrite sio ya dhahabu Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. kimberlite

    JamiiForums Usiku wa manane

    0204 Mwanza pick a struggle ni baridi ama joto
  4. kimberlite

    Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

    Kwahiyo tanesco wameona tunafaidi sana wakakata na umeme
  5. kimberlite

    Natafuta mdada wa kumuhudumia mama yangu kitandani..

    Pole sana mkuu. Mama apumzike mahali pema peponi
  6. kimberlite

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Narcos sijaicheck mkuu so I cannot comment. Nimeangalia Queen of South pia ni mambo ya cartel n all ila sijaipenda kivile
  7. kimberlite

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Kama umeipenda hiyo unaweza check pia Pretty little lies na Gossip Girl. Nazo ni za aina hiyo hiyo
  8. kimberlite

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Currently nimekua nikipendelea Mission, intelligence na military combat dramas. Naona kama 13 reason why imekaa ki teenage sana. No offense
  9. kimberlite

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Kali zipo kama Game of Thrones, Seal Team na The Brave (japo ni s1 tuu) ila inayofanana na Breaking bad kwamba Drug related story hakuna
  10. kimberlite

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Mimi nilizoangalia Prison Break Vikings Game of Thrones Tyrant Blindspot The Brave Seal Team The Six The Widow Deep state The Colony The Handmaid’s Tale The 100 The bodyguard Orange is the new black Breaking Bad New Amsterdam nk Nilizo anza zikanishinda 24 13 reasons why If loving you is wrong...
  11. kimberlite

    Idara ya maji Arusha muwe na adabu

    Mkuu speak for yourself, maji mimi nilipo hayajawahi kukatika hata siku moja sio kwa mwezi huu ama uliopita
  12. kimberlite

    Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Ndio ya kwanza ni Soweto
  13. kimberlite

    Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Picha ya mwisho ni Lushoto mkuu
  14. kimberlite

    Natafuta mdada wa kumuhudumia mama yangu kitandani..

    Pole sana mkuu kwa kuuguza ila nakushauri bora utafute nesi afadhali atakua proffessional kuliko watu baki. Take it from me mwenye experience ya kuuguza, kuna watu ni ndugu wa damu kabisa na hawezi ku take care ya mgonjwa aliepo kwenye namna hiyo, sembuse mtu baki. Tafuta nurse mkuu
  15. kimberlite

    Aina 11 ya JF members, wewe uko wapi?

    The lurker and proud abt it
  16. kimberlite

    Natafuta tiba ya Depression

    Mkuu Mwelewa nakubaliana na ww. A thing about depression ni kwamba huwezi ku depend on pills alone to work. Mabadaliko madogo madogo in lifestyle na daily routine ni namna moja wapo inayoweza kukusaidia kuondokana na hili tatizo kabisa. Vitu kama kufanya furaha yako isiwe dependant on people...
Back
Top Bottom