Search results

  1. K

    Whats app waongeza uhondo wa status

    Niliupdate picha zangu na video zilizokuwa ndani ya folder ya whatsapp ndani ya photo Gallery zikatoweka. Kuna kitu nilikosea wakati ninaupdate?
  2. K

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Asante kwa tetesi. CUF wamefanikiwa kuchukua jimbo lolote Unguja kweli?
  3. K

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Please niko serious. Ninaomba kujua any updates kwenye jimbo lake.
  4. K

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ndugu wanajamvi. Ninaomba kujua matokeo ya Kiongozi wangu Salim Mwalimu kule Zanzibar. Poleni kwa Uchovu
  5. K

    Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Mimi na Mke Wangu Tumeshakubaliana Kumwita Mtoto wetu ajaue aitwe Spence Kiwera Mikaeli. Kuenzi ITV na reporter wao
  6. K

    Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Ana TUSKER 6 zinamsubiri....kanipa raha sana.
  7. K

    VIDEO: Leo nimechagua kununua hili gazeti lililokuwa chini ya JamboLeo likachomolewa, je ni lipi?

    Kuku Dume nimekukubali kwa Ushahidi wa kuimaliza management ya TBC. Tumesikia na Tumeona. Hatua Kali kuchukuliwa baada ya Uchaguzi.
  8. K

    Baraza La Vijana CHADEMA (BAVICHA), Wazungumza na Wanahabari

    Tunasubiri Kilichojiri kwa hamu
  9. K

    Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    Kwa vyovyote Vile.. dhambi ya kuitwa msaliti wa mageuzi haitamtoka. Kwa bahati mbaya sana hiyo itamtafuna yeye na uzao wake wote...
  10. K

    Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

    Umenena Mkuu... sasa tufanyeje?
  11. K

    Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

    Wanaboard. Serikali ya Demark iliyoko madarakani ina wakati mgumu sana kwa walipa kodi wake na wananchi wote wa Demark kwa Ujumla. Walijifunga mkanda ili waweze kuwasaidia watanzania kuendesha serikali yao na misaada mengineyo ga maendeleo. Badala yake kodi zao zimetumika vinginevyo...
  12. K

    No comment

    Hii kali kwa kweli.
  13. K

    Huu Umeme Kunani?

    Hivi ni Kweli Umeme Umekatwa Tusijue maamuzi ya kushangaza ya Kamati Kuu ya CCM?
  14. K

    Kinachojiri kutoka Ikulu ya Tanzania Dar es Salaam

    Ha ha haaaaaaa.... naye SA ana kashfa za Rushwa kibao
  15. K

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mungu Baba wa Rehema zote. Asante kwa kuniwezesha kushughudia CCM ikishughulikiwa namna hii. Naomba waendelee kushughulikiwa. Uwape Nguvu zaidi ya wapigania Demecrasia ya dhati. Uwape moyo na ujasiri wateswao akina Lweketar n.k. Tunaomba hayo bwana wetu amen.
  16. K

    Mhe Mbowe Kumbuka Jimbo lako la Hai

    Machame hatumhitaji tena mbunge wa kutuletea maendeleo ndani ya jimbo. Tayari tumeshajiletea wenyewe miaka Mingi. Sasa tunataka mbunge atakayeweza kudelete vikwazo vya kuleta maendeleo kitaifa na kimataifa. Mleta uzi huu sio mtu wa kwetu ndio maana hajui mahitaji haswa ya Hai. Swala la...
  17. K

    Vincent Nyerere na Halima Mdee baada ya kuunguruma Musoma leo watakuwa Bunda

    Jamani wengine walioko CCM ni babu zetu. Naona mnataka kuniulia Babu Zangu!
Back
Top Bottom