Search results

  1. Henry Temu

    Msimamo wa Chadema; makinikia na rasilimali za nchi kwa ujumla

    Bado ile asilimia 80 ya waliopinga vyama vingi inatusumbua. Na kale kautafiti ka TWAWEZA kanaendelea kujdhihirisha kua CCM inapendwa na wazee, maskini, wasio na elimu na watu wa hali ya chini. Ndo maana hawataki kutafakari mambo. UKITAKA KUMFICHA MUAFRIKA WEKA UJUMBE KWENYE KITABU
  2. Henry Temu

    Kwanini sijikubeti tena maishani

    Mwaka 2012?? Naomba unijibu maswali haya niamini kama story hii ni ya ukweli!! Je ulifanya kazi zako hizo na mtaji wa betting muda gani? Je uliporudia ulirudia form ngapi? Na ukamaliza mwaka gani? Baada ya kufaulu ulisoma elimu ipi ya juu(diploma au degree)? Naomba uwaambie hawa GT kwa kipindi...
  3. Henry Temu

    Wapi nitapata maharagwe kwa bei ya jumla?

    Nipo Turiani. Huku bado mda wa kuanza kuvuna ila bei kwa gunia ni 220 mpaka 250
  4. Henry Temu

    Wapi nitapata maharagwe kwa bei ya jumla?

    Au type gani ya maharage unataka aisee.
  5. Henry Temu

    Wapi nitapata maharagwe kwa bei ya jumla?

    Ww jamaa unaumwa wewe. Yani kilo 1200? Au hujui adha za kilimo nn mzee?
  6. Henry Temu

    Wapi nitapata maharagwe kwa bei ya jumla?

    Kwa bei gani. Natarajia kuvuna karibuni.
  7. Henry Temu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeona hivi leo Monaco (win) Juve (win)
  8. Henry Temu

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Mkuu kuhusu kulima ni bora uchek sehemu unayolima maana kuna wengine wanalima kwa tractor wengine mkono. So bei zina vary kwahilo ungeuliza wenyeji sehemu unayolima 2. Msimu wa kulima ni mwezi wa 3 mwishoni mpaka wa nne mwanzoni na miezi ya 10 kipindi cha mvua za vuli.
  9. Henry Temu

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Debe 1 mpaka 1.5 usipande mengi sana hayata zaa vizuri
  10. Henry Temu

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Ungefanya market research kwa sehemu uliopo ndo ingekua poa. Ila kwa huku itarange 180-230 iv kutegemea na wingi wa mavuno
  11. Henry Temu

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Unaweza pata gunia 8 mpaka 12 kwa makadirio ya chini ya ekari 1
  12. Henry Temu

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Mimi nimelima msimu huu. Nimelima maharage ya njano. Kwa ekari moja nimetumia debe moja. Maharage yanachukua siku 80-90, kuhusu kupata mazao kiasi gani inategemea na ardhi na wadudu
  13. Henry Temu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Newcastel kaenda na pesa yangu kwa mara ya pili mfululizo mbuZi huyu. Namuombea asipande hata daraja bwege hili.
  14. Henry Temu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Cjawai ona timu mbovu kama newcastel
  15. Henry Temu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Newcastel reading na leeds wanasepa na wilaya leo aisee
Back
Top Bottom