Search results

  1. Nassib Sanga

    Msaada Iphone yangu inazingua speaker.

    Simu yangu ya Iphone6 leo ni siku ya tatu sasa nikipiga simu au nikipigiwa simsikii mtu anayenipigia au ninayempigia ila yeye ananisikia vizuri. Kinachonishangaza nikirudia tena kumpigia au nikikata akipiga tena namsikia vizuri. Hapo sijajua shida iko wapi ni network au speaker ya simu...
  2. Nassib Sanga

    Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    Dah nilikuwa sijui aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nassib Sanga

    Twiga kwenye forker

    Twiga wa juu ana matege [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nassib Sanga

    Kuna haja ya kuboresha kitabu cha 'wageni' gesti

    Kuna lodge moja nilienda maeneo ya Mbezi ya Kimara waliniomba namba ya simu ya mtu wa karibu [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nassib Sanga

    Walioiangusha Bongo Movies sasa wanaipigia debe Taifa stars...

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nassib Sanga

    Mshana Jr. umeshaharibu na wanao

    Teh teh teh Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Nassib Sanga

    Saint Augustine University of Tanzania(SAUT)Mwanza

    PR mwili mzima hapa class of 2012-2015 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nassib Sanga

    Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

    Nayeye Amina Ngaluma kashatangulia mbele za haki [emoji25] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nassib Sanga

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Mimi nimesoma o'level Pugu na advance nimesoma Ndanda Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nassib Sanga

    Nimeamua rasmi kumuuza paka wangu

    Sawasawa Kaka! Mzee wa GTA Vice City Sidhani Kama Bado Unakumbuka [emoji12]
  11. Nassib Sanga

    Nimeamua rasmi kumuuza paka wangu

    Daaah Nimekukumbuka Kaka [emoji2] [emoji2]
  12. Nassib Sanga

    Nimeamua rasmi kumuuza paka wangu

    Hahahaha JF Raha Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Nassib Sanga

    Wanaume wa Dar ni kina nani?

    We nenda bar ukiona wanaume wamejaza meza Serengeti Lite na Castle Lite hao ndio wanaume wa Dar[emoji23]
  14. Nassib Sanga

    Laptop yangu nikiiwasha inaleta ujumbe wa "no bootable devices found"

    Nashukuru nimeshafix mwenyewe tatizo. Niliingia kwenye bios kule boot priority nikaweka hdd. Halafu nikaiwasha ikawaka[emoji2]
  15. Nassib Sanga

    Laptop yangu nikiiwasha inaleta ujumbe wa "no bootable devices found"

    Inakuja hivo Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Nassib Sanga

    Laptop yangu nikiiwasha inaleta ujumbe wa "no bootable devices found"

    Hapana sisikii mlio wowote wa kugonga nikiwasha laptop Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom