Search results

  1. R

    No loan applicant

    yap ni ujinga kukaa kimya until now wakat mda unaenda...na wakumbuke sisi pia tulitumia gharama kuchukua hzo form,kukutana na mawakili kutuma kwa EMs...
  2. R

    sikubahati kupata mkopo lakin nataka kuomba tena kupitia HLSSF kama kuna mtu anaijua hii anipe msaad

    pia kuna utofauti katika ulipaji kwan wao wanaconsider mabadiliko ya thaman ya shilingi...kwahiyo unaweza lipa zaidi ya ulichopata
  3. R

    jina clion jaman nimeumia

    kaka inaitwa hlssf!!vipi unaijua vizur na mm unihakikishie niombe??
  4. R

    Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

    management hipo bana according to maelezo ya website yao...sema kama kuna mtu kawai kupata atuambie
  5. R

    Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

    Thanks mkuu mi jaman kiukweli nimekata tamaa na nchi yangu sijui nani hanishaur niipende tena nchi hii
  6. R

    Heslb mambo yameanza kupakuliwa

    Umejuaje kaka etu???source
  7. R

    Mbona HESLB haifunguki au kwangu tu jarb na ww uniambie

    sababu watu wengi sana wanafungua this time around..mi imefunguka nimekuta kuna watu ka 1000 hv wako online
  8. R

    Mbona HESLB haifunguki au kwangu tu jarb na ww uniambie

    hata mimi majameni itakuwa vitu vinaekwa eeh??
  9. R

    Wanfunzi 33,050 kupewa mikopo kati ya zaidi ya 49,000 walioomba

    sasa tatizo huo mwaka si tutakuwa tushamaliza
  10. R

    Tangazo la HELSB lililenga kupoza joto la applicants na umma mzima tu na halikuwa genuine?

    na mm naona ka walitudanganya kwani walisema waombaji waangalie website yao lakin takriban masaa 12 toka watangaze katika web hamna chochote
  11. R

    Jua status ya vyuo tanzania kuanzia july 2012

    its a freak yaan kairuki juu ya sua???
  12. R

    Misamiati itumikayo vyuoni

    nimeipenda LAMARD AU PASI NDEFU
  13. R

    Selection saut zimetoka

    Mbona ya education hamna????
  14. R

    Kuna pre-entry test UDSM?

    kwani kuna ubaya mtu kuchaguliwa dar??af mbona wao wanatudis waliomba??na walipokosa ndo wanasema maneno hayoo..
Back
Top Bottom