sawa sawa mama umesema vyema vijiwe, mabasi na maeneo yoote hata wala unga wanaongelea chadumu kweli wameteka na wamewapa kazi na ajira vijana chadumu.
nijuavyo mimi katika karne ya 13 Zanzibar iliwa ni Empire na ikiitwa Zenji Empire, hapajatokea empire nyingine yoyote ndani ya africa yote,,sasa wakati huo hata neno tangnyika hakuna, halikuwepo na wala hathubutu mtu kujinasibu kuwa ilikuwepo tanganyika,, tanganyika katika historia ilizaliwa...
sasa ni miaka 50 kama muungano una faida kenya na uganda wangeomba kujiunga,,,suluhisho la dhulma hii aloianzisha nyerere ni kila umbape kuchukua ubao wake.
Mungu alivyoumba nchi tofauti na hadi makabila tofauti hakuwa mpumbavu wala mwendawazimu alitaka watu wajuane kila mtu anakotoka na akae, ale, alime avune kilicho chake,,,muungano mwisho chumbe.:painkiller:
Yap, mimi bila kukwaruza maneno naunga mkono kipengele cha 7, na kupendekeza muungano uvunjwe hauna maana yoyote hasa kwa Zanzibar,,,kila mtu achukue kilichokuwa chake,,,miungano ya kijinga, kitapeli na kihuni yameshapitwa na wakati,,,,kila mtu akamate chake.
acheni kuleta mada za kitoto na kijinga. sababu muungano niw atanganyika ndio wanaoufagilia Zanzibar hawana haja na muungano na ndio maana miaka yooote shehere zinafanyika tanganyika zikienda kufanyika kule kwa kuwa watu wana akili na hawataki muungano wakutotokea watu wengi kusherekea upuuzi huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.