Search results

  1. M

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    nin hivi zito hahitajiki chadema kama jinsi yeye mwenyewe amekuwa akisema anatengwa kwa ajili ya dini yake. Ni wakati mwafaka sasa kwa zito kujiunga na chama cha dini yake badala ya kupoteza muda na chadema , very simple! Tunachoshangaa kwanini anasema ni chama cha kikabila na udini lkn bado...
  2. M

    Ushauri: viongozi wa Chadema wasiitishe Baraza kuu.

    ni heri chama kife kuliko kuendelea kufuga wasaliti! Hakuna kurudi nyuma kwa gharama yoyote ile! Kama huyo zito anawafuasi wengi ambao ataondoka nao, kwanini haondoki nao sasa mpaka asubiri baraza kuu limfukuze?
  3. M

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Kama mmeshagundua CHADEMA ni chama cha kikabila na kidini mbona hamjiungi na chama cha DINI yenu ambacho KINAFAHAMIKA? KInachowapeleka mahakamani ni nini? ILI MBAKI CHAMA CHA WACHAGA NA WAKRISTO AMBACHO NYINYI YOU DONT BELONG? kwanini msianzishe chenu basi? WAKATI WA PROPAGANDA ZA KITOTO...
  4. M

    Vita ya Propaganda itaposhindwa tegemeeni haya...

    wenye uelewa wamejua nilichomaanisha. Kuwaita watu shallow doesnt make them shallow brother unless u prove beyond doubt that are shallow. If u think im shallow then for sure u will be the shallowest thinker! What i explained is clear for those with clean mind, but for the puppet and cheap minded...
  5. M

    Kikwete kuongelea ufa wa udini ni geresha tu

    unamsema mwenzako mdini, then mwishoni u talk rubbish! hizi ni hadithi za kipuuzi tumechoka kuzisikia, ooh sisi ndio tukliopigania uhuru and blabla! mbona wakristo hawasemi kwamba kiongozi wakupigania uhuru , nyerere alikuwa mkristo? why alwas u guys are selfish ? Huna unayemtisha na vurugu...
  6. M

    Vita ya Propaganda itaposhindwa tegemeeni haya...

    Inawezekana in accordance to your definition, wenye akili ni wale wanaosapoti UTUMBO unaouamini! Haiihitajiki kuwa hata na certificate kujua weakness na failure ya hicho CHAMA CHAKO WEWE CHA WENYE AKILI, what surprise me you are the only one left the other side of the bridge. Hata watoto wadogo...
  7. M

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Kimsingi nakubaliana na wewe kwamba ndani ya BAVICHA kuna tatizo la umamluki pamoja na haraka zisizonatija za vijana kutaka madaraka makubwa kuliko uwezo wao! Hainiingi akili kwa wewe NDUGU Yangu kugombea URAIS wakati bado ni mchanga mno ndani ya siasa za TZ ,na hichi ndio kinachotia shaka kama...
  8. M

    Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    Kaka sheria zipi hizo unazotufahamisha? Na wale watendaji wa serikali ambao wanavaa nguo za ccm na kwenda kwenye mikutano sheria inawaruhusu? I mean wakuu wa wiliaya au mikoa ni watumishi wa chama cha mapinduzi kisheria?Magari ya serikali kutumika kwa shughuli za ccm sheria inasemaje...
  9. M

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    Kaka usisumbuke na watu hawa watakuumiza kichwa ndio walivyo! Wao ni wa dini YA KUONEWA NA KULALAMIKA. Kila watachoambiwa hata kama kuna hoja ya kujibu, bado watakuambia tunaonewa kwasababu sisi ni wa DINI YA HAKI. Mbona watu wengine wakisemwa huwa wanajibu hoja na si kukimbilia dini zao? Hakuna...
  10. M

    Nyakati: Mkataba wa waislamu na Odinga wamponza Magufuli

    Tatizo lenu nyinyi ndugu zetu mnadhani mnayoyawaza na kuyapanga huko kwenye vikao vyenu, ndio kila mtu ana akili hizohizo! Ukristo haujawahi wala hautawahi kutetewa na vikao vya vijiweni! Ukristo umejengwa juu ya jiwe KUU LA PEMBENI WALILOLISAHAU WAASHI (KRISTO)!Ndio maana hauteteleki, hauhitaji...
  11. M

    Nehemia K. Mchechu: My national hero!

    Napata shida sana na UELEWA WA WATANZANIA WEZANGU WENGINE! Mwalimu alianzisha hili shirika,lengo mama likiwa ni kusaidia makazi watu wa kawaida. Na ndio maana hizi nyumba za NHC zimelea mamilioni ya vijana wa mijini nyakati zile. Matajiri for sure wanauwezo wa kujenga nyumba zao . Lakini sera za...
  12. M

    Elimu yetu: Kuuza miili UDOM ni matokeo...

    MUSHI UDOM 08 Nakubaliana na wewe juu ya uzembe wa serikali kwenye kuwapa stahiki zao timely hawa wanafunzi, but i differ with you by not talking something about the behavior of students themselves.There is NO any justification to sell themselves for whatever reason it could be! The level of...
  13. M

    CCM kumekucha: Raila Odinga sasa amponza Magufuli!

    Tatizo mkuu hata kwenye mambo ya msingi kama hili unaleta uccm na uchadema! watanzania tufike mahali uwezo wetu wa kufikiri upite mahaba yetu kwa vyama vyetu. Nadgani mtoa mada ana hoja ya msingi tu mkubwa wangu. Ni kweli wao ni marafiki, but ukumbuke huyu pia ni waziri. kidiplomasia inaleta...
  14. M

    Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

    Hili ndio tatizo kubwa la "watumwa wa ccm", wanajiona werevu hata katikan vitu ambavyo ni obvious. Huna unayeweza mshawishi kuwa wewe ni mpenda mageuzi au chadema! Fahamu tu tunajua wewe ni miongoni mwa ambao wako kwenye payrol ya MWENEZI , kwahiyo ni lazima useme chochote ku justify mshiko toka...
  15. M

    Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

    MTAHANGAIKA SANA TU KWA KURUKIA KILA MTI , BUT AT THE END OF THE DAY HAMUWEZI KUPUNGUZA MAHABA YA WATANZANIA KUPATA MABADILKO. MLIANZA NA UKABILA NA UKANDA, MKAJA DINI, SASA AMEKUWA CCM! SITASHANGAA SIKU TUKISIKIA HUMU KWAMBA SLAA NI MJAHIDINA NA AMETUMWA NA REDIO IMANI!haaaahaaah! TATIZO CCM...
  16. M

    Hatimaye Dr. Slaa amjibu Nape, aingizwa 'King'?

    Kwani kama bado ana kadi ya ccm lakini anawalipua kila siku sisi inatuhusu nini? Na kama ni mwanachama wenu nyinyi CCM na huku mmemtuma sasa mbona mnatuambia tena? Nadhani CCM mnakoelekea sio kuzuri! Watanzania wa leo wanataka MABADILIKO SIO BLABLA na PROPAGANDA ZA MWAKA 47! You cannot convince...
  17. M

    Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

    sioni tatizo kama ni ccm, ni sisi wenyewe watanzania ambao kila uchaguzi ukija tunawachagua! Ccm hawatatoka madarakani kwa kulalamika bali kwa mikakati na ushiriki wa watanzania kwa vitendo kuing'oa: Legacy ya ccm ni kuhakikisha kwa gharama yoyote ccm inaishi milele hata kama itagharimu nchi...
  18. M

    Waziri Profesa Sospeter Muhongo: Punguzeni siasa wananchi wa Arusha nchi bado maskini

    Chanzo cha umaskini wa TZ Ni siasa za hovyo za CCM na unafiki wa wasomi na wanasiasa kutokemea UBOVU WA CCM! CCm imeshindwa kusimamia rasilimali za nchi kujiletea maendeleo sababu ya kukosa vision kwa viongozi pamoja na ufisadi. Ili mambo yako yaende vizuri hata kama wewe ni jambazi , basi...
  19. M

    CCM na Siasa za Misibani...!

    swala si kuhudhuria misiba, hoja ya msingi ni kutafuta njia ya kuzuia misiba! na hiki ndicho chama makini cha siasa kinajielekeza kufanya! Huo msiba ni matunda ya uzembe wa hao wahudhuriaji misiba ; kwani hawajawapa vitendea kazi madaktari, ila hela za kuhudhuria misiba na kuandaa mikutano ya...
Back
Top Bottom