Search results

  1. Mwanajamii

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    Chadema wanasema CCM ilishafutwa pengine ndio maana hakuweka
  2. Mwanajamii

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    TISS wanapimwa kwa mabaya tu hawana mazuri. Kama Mwandishi anajua mabaya yao TISS basi na mazuri yao anayajua angeweka yote jamvini kisha kazi ya kuhukumu angetuachia wasomaji wake.
  3. Mwanajamii

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Bora hata limefungiwa, linataka kulitumbukiza Taifa katika machafuko hili gazeti, mbona Magazeti mrngine hayafungiwi?
  4. Mwanajamii

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    walifungie maisha kwa muda usiojulikana hitoshi
  5. Mwanajamii

    Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Hawezi lolote huyo, mafisadi wote wameshabainika TANESCO.
  6. Mwanajamii

    TBC Habari saa mbili usiku Leo: Waalimu kote nchini wametii amri halali ya serikali!

    Saa mbili usiku wa lini leo au jana? Hebu toa uhakika wa jambo hili.
  7. Mwanajamii

    Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

    Lazima naye yumo. Si ulisikia hotuba yake ya msemaji wa kambi ya upinnzani, Wizara ya Nshati na madini.
  8. Mwanajamii

    Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

    Tunasubiri, MWANAHALISI litawataja maswahiba wake CDM waliokula mlungula.
  9. Mwanajamii

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Leo Pumba za Mapeeeema! ikishachomwa wewe ufaidikeje?
  10. Mwanajamii

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Hizi siyo zama ambazo ulisoma wewe, Mwanafunzi wa chekechea anaweza kupembua Mchele na Pumba, waacheni wawaburuze Walimu wao mahakamani kwani nao wanayohaki hiyo.
  11. Mwanajamii

    Dr. Slaa: Hakuna huruma kwa wabunge wala rushwa

    Hapo kwenye maandishi mekundu, naona kama SLAA amejikanyaga kanyaga vile. Kwa nini asitamke wazi kuwa watawafukuza uanachama? Anaogopa nini?
  12. Mwanajamii

    Ni J. Heche leo 29/07/2012 alinguruma IRA!

    E Emwenyezi Mungu usikilize kilio cha huyu STK ONE, anayelilia Ukimwi na aupate kabla ya mwaka kuisha, na wote tuseme Amina.
  13. Mwanajamii

    Kwanini KUTAJA ni ISSUE?

    Naanza mimi kuwataja: Waziri kivuli, Wizara ya Nishati Madini. Unaweza kuendeleza
  14. Mwanajamii

    Toka Singida: Dr. Kitila Mkumbo apandishwa mahakamani rasmi...

    Kwa vile ni Dr. Ndo maana , laiti angekuwa Prof. angalau angejua la kufanya , haoni wenzake akina Baregu na Safari wanavyotumiwa na CDM lakini, wanakua wajanja? wajinga ndiyo waliwao , acha apamabane na kesi na mwishoye yatamshinda na atasema ukweli alivyojidanganya kwa CDM.
  15. Mwanajamii

    Rushwa Bungeni: Mbatia sasa atishia kuwataja wakati wowote

    Huo sasa unafiki, Limetokeza wapi? kwa nini halijawataja? Inaoneakna wewe hata hausikilizi bunge, ungewasikiliza akina SELASINI usingeleta mapenzi yako hapa jamvini.
  16. Mwanajamii

    Richmond mpya wizara ya nishati

    Ninyi ndiyo wale wle mliohongwa ili kuwatetea akina MHANDO siyo?
  17. Mwanajamii

    Madaktari waliofukuzwa na Jakaya Kikwete Marekani hakuna wa kutosha!

    Hawa Madaktari kumbe hawajui Kiingereza?
  18. Mwanajamii

    Tusichangie Mafao ya wafanyakazi mpaka suruhu

    Tumeshindwa kuchangia thread yako kwa vile hujaeleweka. SURUHU?
  19. Mwanajamii

    Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

    Wapiga kelele wote bungeni wameshtukiwa, tangu jana SELASINI ndiye aliyeanza. ZITTI, MNYIKA na wengine wanaojifanya wapiga domo sana sasa wameshtukiwa kuwa midomo yao inawezeshwa kwa kiasi kikubwa.
Back
Top Bottom