Search results

  1. P

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    sasa hii inakuwaje mtu anaenda kwao halafu ana-dead. Sio 'SCUD' hii kweli?
  2. P

    Madudu mengine ya Mali Asili na Utalii haya hapa; Kagasheki kazi unayo!

    Jamani,hivi kwa uozo ulioonyeshwa na barua ya hawa wafanyakazi kiongozi wa hivyo anaweza kuomba kuongezewa mda? Sasa ni hivi,jamaa kumbe alishaomba kuongezewa mda tena. Imefahamika anatakiwa kustaafu mwezi mda wowote toka sasa. Hivi atakayehusika na hili jipya ni waziri au ofisi ya utumishi...
  3. P

    Madudu mengine ya Mali Asili na Utalii haya hapa; Kagasheki kazi unayo!

    Kumbe kiongozi wa taasisi inayolalamikiwa amekuwa pale tokea 1992 wakati taasisi ikiwa chini ya DANIDA. Ilipogeuzwa kuwa WAKALA 2001 na tokea hapo amekuwa CE. Katika uongozi wake inasemekana watu wamekuwa wakinyanyaswa utadhani kampuni binafsi. Hataki kukaa na watu vichwa anaona...
  4. P

    Madudu mengine ya Mali Asili na Utalii haya hapa; Kagasheki kazi unayo!

    In short inaoneka wizarani wanakula na uongozi. Mtoa taarifa ukitafakari maoni yake utangundua kitu..na tukisoma nakala utaona kuna matatizo pia. Kama kweli Waziri wao kaipata barua na kanyamaza basi labda nae anataka WAGOME maana siku hizi ndo umekuwa mtindo ukitaka haki. Hivi ofisi ikiwa...
  5. P

    Madudu mengine ya Mali Asili na Utalii haya hapa; Kagasheki kazi unayo!

    Nimepenyezewa document hii (check attachment) kutoka jengo la ''MPINGO HOUSE'' na mfanyakazi mmoja aliyejiita ''MWENYE HURUMA'' kwamba kunawafanyakazi wenzao wanaofanya kazi WAKALA iliyopo wizarani kumwandikia barua Waziri wa sasa KAGASHEKI mara baada ya kuteuliwa lakini matatizo yao yanawekwa...
Back
Top Bottom