Search results

  1. B

    Natafuta mwanamke mgumba

    Habari za humu ndani? Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta MKE MGUMBA Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 48 Nimejitokeza hapa kutafuta MWANAMKE MWENYE KUSHINDWA KUPATA MTOTO AU HASIEITAJI MTOTO Sina ubaguzi umri wowote! Dini yoyote Naomba Tuwasiliane kwa Email address...
  2. B

    Natafuta private high schools za ada nafuu za Dar

    Habari za hapa ndugu zangu? Naomba sana kwa yoyote yule ambae anazijua shule binafsi HIGH SCHOOLS zilizopo katika mkoa wa DAR ES SALAAM na ambazo zinatoza ADA nafuu kidogo naomba sana aniambie ndugu zangu nina mwanafunzi anahitajika ajiunge na FORM FIVE hapa Dar es Salaam zozote zile ziwe za...
  3. B

    Natafuta mume mwenye maambukizi ya HIV

    TUWASILIANE MM NINA MIAKA 48 KWA NAMBA 0714560515
  4. B

    Natafuta Mme Mtu Mzima

    NAOMBA TUWASILIANE KWA 0714560515 NINA MIAKA 48
  5. B

    Natafuta dada wa kazi

    Natafuta dada wa kufanya kazi ndogo ndogo nyumbani kwa chumba kimoja tuwasiliane kwa 0764118888
  6. B

    Kukashifu Elimu: Silas Mbise aombe radhi kwa kauli yake

    Mtangazaji wa radio Wapo Fm, ndugu Sila Mbise aombe radhi kwa kukashifu elimu kwa kutamka "Hakuna haja ya kusoma kwani kuna waliosoma mpaka chuo kikuu na wanauza matunda". Mbise alitamka maneno haya katika kipindi cha magazetini cha tarehe 16/07/2015 kinachotangazwa kila siku asubuhi na radio...
  7. B

    Natafuta Mtoto wa Hiari

    sina kipingamizi ktk umri!!
  8. B

    Natafuta Mtoto wa Hiari

    mwanangu wa hiari ni ile hali ya mtoto mwenyewe kwa akili zake timamu bila kulazimishwa na wala kushawishiwa na mtu au kitu anakubali niwe baba yake hapa Duniani
  9. B

    Natafuta Mtoto wa Hiari

    Sina kipingamizi ktk umri!
  10. B

    Natafuta Mtoto wa Hiari

    Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46 nina nia ya dhati na heshima kubwa natafuta mtoto mwanamke wa hiari awe mwanangu wa kweli hapa duniani,sina kipingamizi ktk umri!!naomba tuwasiliane kwa 0715 33 85 27 Karibu sana Binti yangu!!
  11. B

    Natafuta Mtoto wa Hiari

    Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27
  12. B

    Nimekata Tamaa ya kupata Mke hapa jamii

    Mimi mwanaume mwenye miaka 46,ni muda mrefu nipo hapa Jamii natafuta mke,kwakweli wanawake wote ninaowasaliana nao hapa maswali yao yapo ktk kipato na Nyumba,wote wana interest ya niwe na kipato cha kutosha na Nyumba!kwakweli Nimekata tamaa ya kupata mke hapa jamii wengi wa wanawake hapa malengo...
  13. B

    Mimi ni msichana nina miaka 23,natafuta kazi yoyote halali

    Ndugu marafiki zangu hapa jamii mimi ni msichana,nina miaka 23,kwasasa nipo DAR,nimejitokeza hapa, NATAFUTA KAZI,NIMEITIMU CERTIFICATE YA COMMUNITY DEVELOPMENT GENDER AND CHILDREN,kutokana na hali ngumu ya Ajira,Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,namba yangu ya simu ni 0755 08 47...
  14. B

    Natafuta mwanamke wa kuoa.

    Najitokeza tena,natafuta mwanamke wa kuoa,nina nia thabiti natafuta mke,nina miaka 45.
  15. B

    Natafuta mke

    Nina miaka 44,natafuta mwanamke ambae anaitaji MUME kikweli na sio mpimajoto,ni muda mrefu sana natafuta mke lkn wote ni wapimajoto hii ndio sababu mpaka umri huu naangaika kupata mwanamke anaeitaji mume,sina ubaguzi wa umri,dini,kabila,rangi,kwa ufupi sina ubaguzi wowote.
  16. B

    Msichana bella natafuta kazi

    Ahsante unavyofikiri,naomba unielewe kaka mm nina elimu ya form 6 na ndio nimetoka shule,sasa kuna kizuizi gani kinachonifanya nisitafute ajira,sio lazima eti nisubiri matokeo,kila mtu ana matatizo yake kaka.
  17. B

    Msichana bella natafuta kazi

    Mm ni matanzania kaka,naomba nifaamishe kuhusu hiyo google agency.
Back
Top Bottom