Search results

  1. N

    Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    Mpira umekwisha
  2. N

    Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    dakika ya 89 mbeya city 1 yanga 3
  3. N

    Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    Mbeya city 1 Yanga 3 mpira unaendelea
  4. N

    Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

    Wakubwa, hiyo taarifa ya ukaguzi uliofanywa na CAG na PCCB umeshawekwa hadharani? Usitushawishi kuandamana uchi kwa tetesi. Wajanja hatufanyi maamuzi magumu kwa tetesi za mitaani. Naomba utuwekee taarifa kama unayo
  5. N

    Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

    Tpaul Hivi taarifa imeshatoka? Mimi sijaiona, naomba kama unayo utuwekee hapa na sisi tuisome. Usitushawishi kuandamana wakati hatujui uchunguzi umebaini nini. Wajaja hawachukulii tetesi kufanyia maamuzi magumu
  6. N

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    :llama:Vana Lizombe, bombi nyumbi hi. Tusisahau Matimbula Bus Service. 1. Songea - Lituhi (150km) kuodoka Songea saa 11 alfajiri, kufika Ruanda saa 12:30 jioni Lituhi asubuhi. 2. Songea - Mbinga (95km) kuondoka songea saa 11 alfajiri, kufika mbinga saa 8 mchana. Songea - Dar 1. Supu ya mawe iga...
  7. N

    Dayosisi mpya ya Ruvuma kuzinduliwa Leo.

    Namshukuru Mungu kwa kuanzishwa kwa Dayosisi hii na kumchagua Mchungaji Mwenda kuwa Askofu wa kwanza wa RUDI (Ruvuma Diocese). Nimepita maeneo hayo na nilichojifunza ni kwamba Dayosisi hii imeanzishwa lakini ni Maskini. Haina kitegauchumi wala kituo chochote cha huduma za jamii. Kwa miaka mingi...
  8. N

    wahaya: mwaka mpya 2013

    Angambire stupid infront of my wife so nikaamua kupigana
  9. N

    Mzee Falijara: Rais Kikwete ni kama Mungu anamiliki Mbingu na Ardhi

    Mzee wetu aliteleza, hata mtangazaji wa Mwanza alimwombea msamaha. Mungu wetu ni mwenye rehema na anasamehe
  10. N

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Ok, Sheria imejali haki za binadamu wote. Vijana wetu watapata muda wa kupumzika na wenzi wao kwani doria za usiku kutakuwa hakuna. Vituo vyote vya porisi vitafunguliwa saa 12:30 asubhi juu ya alama na kufungwa saa 12:30 jioni.
  11. N

    Kujamba ni nini in english plz!

    Aaaa! najua kwa kibena ni Kuishuta hapana kizaramo au kipare
  12. N

    Kesi ya Lema: Lissu amkaanga Profesa Shivji

    Aah wapi. Mkondo wa sheria umekamilika sasa kila mwenye uwezo wa kufikiri anaruhusiwa kutoa mawazo yake. Kuwa mamuma sio utetezi:glasses-nerdy:
  13. N

    Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Rutashubanyuma umeandika maneno magumu ya kiingereza kwa sisi wadtanzania wengi, kama unataka kueleweka kwa nini usingeweka kwa kiswahili? Nimesoma mwanzo mwisho nimetoka kapa! (Kati ya Membe, Lowasa, Sita na Makamba Jn nani anafaa?. Mbona naona wengine wana makundi?
  14. N

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Aliichoma moto! acha mas hara. Ile ni kadi takatifu akiichoma moto tutamwangukia kama siafu
  15. N

    Miaka michache ijayo..............

    1. Umesahau neno lisemalo ule mwisho hautafika hadi wote wamehubiriwa habari njema?. Huoni inawezekana kutumia teknologia hiyo kufikisha habari kwa kundi linaloitumia technologia hii?. 2. Hujaona wahubiri wengi wakionyesha njia mbalimbali za kutoa mchango? au hiyo michango sio sadaka? kama sio...
  16. N

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    Uchambuzi wa maana. Lete na chambuzi nyingine mhandisi.
  17. N

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    Kaka unanikumbusha mbali ninadunduliza ili nijenge sasa kwa hali inavyokwenda sementi haiwezi kupnda tena? iiiiiiiii Asante kwa uchambuzi
  18. N

    Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

    Mtoa hoja mbona unakwepa kujibu jinsi ulivyojua idadi ya kura zilizokuwa kwenye box?. Ukishindwa kubaliana na wengi kwamba kundi lenu lililokuwa linampinga Mhe. Mwenyekiti limesambaratishwa na MAKAMBA na sasa umebaki wewe na mwingine asiyejulikana. KALAGABAHO
Back
Top Bottom