Search results

  1. K

    IS THE JESUS EXISTENCE A FRAUD?

    mimi ni muislamu na nina hakika Yesu yupo hai, yupo mbinguni.. hajawahi kufa wala hakusulubiwa ila Mungu alimchukua. na siku moja atarudi duniani ataishi na atakufa kama mitume wengine walivyokufa. na akija atakuwa na waislamu kwani yeye ni muislamu
  2. K

    Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    kwa maelezo ya aya tukufu za Qurani hapo juu, mayahudi walipofika huo mji ulikuwa unakaliwa na watu wengine, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa awaambie watu wake (Waisrael) waingie yaani wapigane na hao watu walio kwenye mji huo waliambiwa waingie, na wao waisrael wakahakikishiwa ushindi. Lakini...
  3. K

    Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Majibu yoote yapo katika Quran- hayo hapo.. Surat Almaida kuanzia aya ya 20-26 Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika...
  4. K

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    hongera Mwigulu fanya kazi yako kama waziri wa mambo ya ndani
  5. K

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Nape nakutabiria kuwa mtu mkubwa katika nchi hii... you are the great
  6. K

    Nape Moses Nnauye; Shujaa wa awamu kandamizi

    hopefully he is the next president of our country
  7. K

    Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    no sio kweli, waarabu wala walikuwa hawavai hijabu walikuwa kama wanawake wengine tu wasio waislamu. alipokuja mtume Muhammad ndio Allah akaamrisha wavae hijabu..
  8. K

    Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

    asante mleta mada tunashukuru kwa kutusifia, sisi ni wazuri si kwenye mavazi tu bali hata kwenye mapishi, na usafi. wanawake wa kiislamu wengi wanajua kupika vizuri kuliko wakristo, na pia katika usafi wa mwili na nyumbani. mkristo anaweza kukaa miezi 6 hajatia maji kichwani kwenye nywele lakini...
  9. K

    Wakatoliki wamchoka Papa Francis,atakiwa kujizulu

    we umeona mbali, karibu kwenye dini ya kweli. hii ndio dini ya Adam, Nuhu, Ibrahim, Musa, Yusuf, Yakobo, Isihaka, Yesu na Muhammad na mitume wengine wooote. Mungu ni Mmoja na dini ya kweli ni moja tu
  10. K

    Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    usijali kakangu nshapoa siku nyingi sasa ivi ni history tu
  11. K

    Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    na hii ilifanya baadhi ya wafanyakazi wenzie wanitongoze mana nao walikuwa wanatamani wangekuwa na wake wa staili hii(waliona namcare sanaaa)..na hapo kila mwezi nilikuwa natenga pesa kidogo km elf 50 namnunulia chochote kama shati, au viatu, underwear, etc. ilimradi kila mwezi nilikuwa...
  12. K

    Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    hapana tulishaachana, yaani nilimshindwa..nilifanya kila njia ya kumuonyesha mapenzi ya dhati lkn hakubadilika..nikaona basi ngoja niwaachie wengine labda wamenizidi maujuzi..
  13. K

    Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

    nyie wanaume bhana hata mfanyiwe nini hamriziki, sms kitu gani, mimi nilikuwa nampelekea mume wangu chakula kabisa ofisini kwake, nanunua chakula, matunda, maji, juisi/soda. naweka lunch box nzuri tu nampa dereva tax anampelekea hadi ofisini kwake kwa gharama zangu na nimefanya hivi for more...
  14. K

    Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Hayo ya makelele ni sawa, lakini suala la kusema Mungu na yeye amelala au amepumzika, sio sahihi. Mungu halali wala hasinzii na muwache kumkashifu. wakashifu hao wanopiga kelele lkn usimuingize Mungu kwa kumdhihaki kiasi hicho. huyo anayelala atakuwa sio Mungu
  15. K

    Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

    sasa huyo mchumba wako anahusika wapi hapo? tena ni babake mdogo na wakati huo ye alikuwa mdogo we samehe ila mueleeze kila kitu na waeleze familia yako uamuzi kabla hujamchumbia ili familia yako isije kukutenga.. lakini huyo aliyeua kama bado yupo kwa nini hamkumchukulia sheria? na huyo baba...
  16. K

    Niliapa kuyafuta machozi ya mke wangu mpaka naiaga dunia

    Dah, si ungekuwaga mume wangu tu jamani!!!!!!!!! wengine tulipata vimeo hivo we acha tu hongera sana kaka. usibadilke please safari ya ndoa inahitaji comitement na mume muelewa kama wewe.. big up sana kakangu
  17. K

    Nyodo za Masogange kwa Mwakyembe...

    vitu vingine usipende kuviulizauliza sana kakangu, usije ukajikuta na ww upo selo ... kwa sisi watu wazima tushaelewa maana ya "nyodo"
  18. K

    Michael Jackson ni mmoja ya watu wenye akili sana waliopata kuzaliwa Duniani

    mimi nilimuona ana akili pale tu alibadili dini na kuwa muislamu. aliacha anasa na kusali sala 5 na aliimba nyimbo za kumsifu Allah. alafu miezi michache tu akafariki. Allah amjaalie katika watu wa peponi.
  19. K

    Iran to dump the US dollar in response to Trump's travel ban

    Hiyo chuki yako uliyonayo dhidi ya dini ya kiislamu, chukua visa kamsaidie trump muone kama mtaweza kuifuta hii dini kwenye uso wa dunia.. kama nakuona vile sura kama umekula malimao 100.. kufa na uchungu wako shaytwaan...shwain kabisa
  20. K

    Msaada kuhusu UTI

    unapatikna wapi na mimi nahitaji hizo dawa
Back
Top Bottom