Search results

  1. K

    Vita kati ya Kambi ya Lowassa na Membe sasa si Siri tena

    sasa ni dhahiri kwamba Project Lowassa limechanganyikiwa na hii desperation ya kuzua tuhuma na kashfa dhidi ya Membe ni woga wa wazi na ni dhahiri kwamba jamaa hajajiandaa na hana numbers kama anavyotuaminisha. Hili halikuzungumzwa kwenye party caucus bali ni utunzi wa EL, PS, JM na Filikunjombe...
  2. K

    Kwa Lowassa, mwenye macho haambiwi tazama

    Acha kupotosha habari kwa tawkimu zako za kibwege. Membe hajawahi kuwa naibu wa Migiro hata siku moja. Wakati Migiro akiwa waziri, naibu wake alikuwa Cyril Chami na baada ya Migoro kuondoka Membe akachukua nafasi yake. hivi ushahidi wa rushwa unataka utolewe humu kwenye JF? Angalia mali zake...
  3. K

    Kwa Lowassa, mwenye macho haambiwi tazama

    Mkuu kula tano. Tunachohitaji hapa siyo kufoka foka bali ni uadilifu na uwezo wa kuuweka uzalendo na maslahi ya umma mbele. Huyu bwana hajawahi kufanya lolote lenye maslahi kwa taifa au umma, zaidi ya kuhonga nyumba za ibada na kuwachinjia ng'ombe wamasai huku wakizidi kupotelea kwenye kazi za...
  4. K

    Salma Kikwete anapomfanyia kampeni Rais ajaye

    Hivi na wewe elimu yako iko barabara kwa kizungu hiki jamani?
  5. K

    Wenyenyeviti wa mikoa 27 kesho MONDULI kusherekea mwaka mpya

    Watu sijui akili zao zikoje? Yeye badala ya kuita madaktari kutoka katika kila kona ili wampatie ufumbuzi wa afya yake ambayo imezorota sana na inazidi kumtupa mkono anaita watu ambao hawana mchango wowote katika kumfikisha 2015 akiwa mwenye siha inayoweza kuwashawishi watanzania kumsikiliza na...
  6. K

    Je haiwapasi Bernard Membe na Hussein Mwinyi kujiuzulu nyadhifa zao?

    Hivi kweli ndugu yangu umewahi kuona mlango wa darasa? Unavyoandika humu unaakisi ubovu wa elimu yako, kama unayo. Umemtaja Kingunge ambaye ni wakala wa mafisadi na mtu aliyepoteza heshima mbele ya jamii na hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kwenda kwake kwa mashauri ya hekima...
  7. K

    Je haiwapasi Bernard Membe na Hussein Mwinyi kujiuzulu nyadhifa zao?

    Brother inaelekea wewe ni mfuasi wa ushoga. Maana hasira ulizonazo kwa tamko la Membe kuhusu ushoga ni dhahiri kwamba hili linakuhusu kwa karibu na inawezekana ukawa ni mnufaika wa ule mpango kamambe wa Cameron. Ni aibu kwa mwanaume wa kiafrika kama wewe kujidhihirisha na kushabikia ushoga...
  8. K

    Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    You couldn't be right brother. This guy, whom we now know that guy who has camouflaged himself with pseudo names is one of the senior Government officials who is squaking to appease his master is full of meaningless bunch of words. We challenge him to come out clean and we will tell him what...
  9. K

    Jackson Mvangila Makwetta: Tofauti 10 Kati yake na Mafisadi

    Mzee kudos kwa kuchambua legacy ya mzee wetu Makweta ambaye binafsi namkumbuka alipotembelea shuleni kwetu mwaka 1983 na nakumbuka alivyoingia darasani, wakati ule akiwa waziri wa elimu na akiwa na naibu wake Nalaila Kiula na kutufundisha biology na baada ya hapo kupiga stori na sisi. Hakika...
  10. K

    Swali la Ugomvi: Kwanini Kikwete hajajaribu kukaa chini na Lowassa, Sitta, Mwakyembe na Membe?

    Tofauti kati ya Lowassa kwa upande mmoja na Membe, Sitta na Mwakyembe kwa upande mwingine ni tofauti za kimitizamo na kimaadili na kamwe huwezi kuwaweka pamoja watu wa namna hiyo. Huyu mmoja kachagua njia haramu za uendeshaji wa serikali au utumishi wa umma wakati hawa wengine wanakataa utumishi...
  11. K

    Anguko la Mahanga kwenye NEC ni ushahidi tosha

    Huyu brother likitajwa jina lake roho yangu inachafuka sana!
  12. K

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa (B.A. Theatre Arts) ni wamasiasa anayezungumzwa kuliko mwanasiasa yeyote hapa nchi kwa sasa. Anaaminika ana ushawishi na mvuto wa hali ya juu. Ukwasi wake, uwezo wake wa kujenga mtandao imara wa kisiasa na jinsi alivyojipanga katika chaguzi zilizopita vimemfanya...
  13. K

    Ushindi wa JK, Mangula na Membe ni Pigo takatifu kwa Lowassa

    It is true kwamba Lowassa anatajwa sana sasa hivi kuliko mwanasiasa yeyote na kuliko wakati mwingine wowote. Ni kama unavyosikia shetani akikemewa kwenye nyumba za ibada. Na hili ni dhihirisho kwamba watanzania kwa kauli moja wanajua kwamba nchi hii imeongezewa adui wa nne baada ya ujinga...
  14. K

    Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

    Pamoja na kwamba hatujui ukweli wa thread hii na alichommanisha Mwenyekiti lakini ukweli ni kwamba adui wa chama, serikali na umma ni ufisadi na wale wanaoufanya ufisadi huo. Hawa wanajulikana na kinara wao pia anafahamika hata na mtoto wa shule ya chekechea. Kwa kumuangalia Bashe hupati shida...
  15. K

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Juzi mwanasiasa chipukizi na machachari Hussein Bashe aliibua madai mazito dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje na aliyekuwa mgombea wa ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa. Miongoni mwa tuhuma hizo ni kwamba Membe ni mwanasiasa asiye na uwezo wa kisiasa na ambaye amekuwa akipanda ngazi za siasa kwa...
  16. K

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Sheba, You couldn't be right on this. Elimination haitampa sifa ya uongozi Lowassa kwani tayari alishafubaa na hasafishiki.
  17. K

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Ilisemwa humu siku nyingi na mimi naomba nirejee maneno hayo ambayo yalitamkwa na Mbopo: WE MAY NOT KNOW WHO OUR NEXT PRESIDENT WILL BE BUT WE KNOW WHO WILL NOT BE. IT IS EDWARD NGOYAI LOWASS ( B.A. Theatre Arts). Andiko hili linaendelea kudhihiri na very soon watu wake wataligundua hilo!
  18. K

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Kauli hiyo ni sahihi lakini inamuelezea mtu asiyehusika. Ushahidi wa mtu atakayeumiza watu uko wazi na huyu ni Lowassa kwani Kubenea na Mwakyembe wanaweza kuwa mashuhuda wazuri.
  19. K

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Game Theory I salute you Mkuu. You are a biblical Saul who turned Paul. You have stayed in that house and you that its roof is leaking. You have now seen the biggest dievergence that exists between these two camps and you can be excused for taking time to know or say all this. Kwa wale...
  20. K

    Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

    Indeed his days are numbered. He has lost his NEC post as alot of ****** wanted!
Back
Top Bottom