Search results

  1. Iron Lady

    Msaada: Mbinu zipi zitumike kumzuia nyoka kuingia ndani?

    Habari wadau, Je ni mbinu zipi nitumie zitakazowatisha au kuwafanya nyoka wasikaribie nyumba yangu na uzio kwa ujumla. Kwa wale wenzangu tuliojenga nje ya miji hili ni tatizo ambalo watakuwa washakumbana nalo. Nisaidieni tafadhali CC@Mshana Jr CC@Mzizi Mkavu
  2. Iron Lady

    Kinachoua bomu linapolipuka ni nini?

    Wadau naomba kuelimishwa bomu linapolipuka nini haswa kinachoua watu je ni moto ni moshi ni mstuko ni mrusho au ni nini maana sielewi. Nipeni elimu ili nijue na ikitokea nijue najikinga vp
  3. Iron Lady

    Msaada: Tofauti ya taasisi hizi za serikali

    Wanajamvi Naomba msaada juu ya tofauti ya taasisi hizi za serikali. Ukiacha serikali kuu, kuna taasisi nyingine za serikali ambazo huitwa mashirika ya umma lakini nayo yanatofautiana kuna FUNDS,INDEPENDENT DEPARTMENTS,AUTHORITIES,AGENCIES.BOARDS,COUNCILS,COMMISSIONS,COMPANIES AND CORPORATIONS...
  4. Iron Lady

    Maktaba kijijini kwetu

    Mimi naombeni msaada. Mimi na mume wangu tumejenga ktk kijiji fulani mkoa wa pwani. kila mmoja wetu anafanya kazi ktk mashirika ya umma. Katika kijiji chetu ni watu wachache sana (wameelimika) na hawa ni kama sisi tuliotokea kujenga huko.wazawa wanaonesha hawana mwamko wa kukosoma hivyo...
  5. Iron Lady

    Ina maana vijijini hakuna uchafu?

    Wanajamvi nimekuwa najiuliza maswali mengi bila kupata majibu. Watoto wachanga hadi kufikia umri miaka kama kumi hv wanavyolelewa mijini kiusafi na baadhi ya wazazi wamekuwa wanajitahidi watoto wao kuwa ktk hali ya usafi kuanzia mavazi ulaji na malazi lakini watoto wa mijini ndio wamekuwa...
  6. Iron Lady

    Baada ya kuona maandamano yanawakera waweamua kusema maandamano ni uchafuzi wa mazingira

    Alipokuwa anatoa majumuisho ya hoja za serikali msemaji wa serikali alisema, mabadiliko ya sheria ya mazingira yanaeleza kuwa maandamano sasa ni uchafuzi wa mazingira, akaongeza kuwa matusi bungeni ni uchafuzi wa mazingira, makelele ya aina yoyote ni uchafuzi wa mazingira. Sasa hili la...
  7. Iron Lady

    Kitendo cha TBC kukatiza matangazo ya bunge panapotokea vurugu si cha kiungwana hata kidogo

    ccm walianza kutotaka kabisa kuonesha bunge. sasa wamekuja na staili mpya ya kukata sauti na kukatiza kabisa matangazo haya ya moja kwa moja kutoka bungeni kila kukitokea jambo fulani la mabishano. ni haki yeti kujua kinachoendelea hata kama ni uozo, matusi uonevu nk. kwa kitendo cha jana...
  8. Iron Lady

    Naomba kueleweshwa juu ya ruhusa ya kutesa na hatua unazoweza kuchukua wewe mteswaji

    Habari wana jamvi, Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa polisi wakimkamata mtuhumiwa na kumuhoji huwa wakati mwingine wanamtesa ili atoe siri au habari fulanifulani. na hili limekuwa likifanywa pia na aina nyingine zana polisi au vyombo vingine vya usalama kama namna ya kuwataka...
  9. Iron Lady

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi...
  10. Iron Lady

    Baadhi ya polisi kukimbia makazi yao huko Mtwara na kwenda kuishi makambini

    Baadhi ya polisi huko Mtwara kutokana na sakata la gesi wamelazimika kuyaama makazi yao na kwenda kuishi katika makambi (yasiyotajwa yalipo) na baadhi yao kwenda kusikojulikana na kuziaacha familia zao. Hii imetokea baada ya wananchi kuungana na kuwatisha kwa kuwaambia kuwa watawadhuru wao na...
  11. Iron Lady

    hivi tuna sababu ya kuendelea kuliamini jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama??

    Askari walisadikika kuiba mil 150 kariakoo inasemekana wanaendela na kazi na kuwa wana vyeo vya sajenti, koplo askari hao wanaendelea na majukumu yao kama kawaida bila shida yoyote. source gazeti la nipashe la leo mwanajeshi amekutwa na meno ya tembo. sakata la utapeli la mfanya biashara...
  12. Iron Lady

    tangazo duka la mkinga

    nilipata hii msg nikachoka, kwenye duka la mkinga, pata sukari, mayai, baiskeli, vitenge, pilau, wali kuku, sambusa, matairi ya trekta,madaftari, bia aina zote, petroli matunda aina zote, nazi, vitumbua, mitunda grade 1, supu ya utumbo, mabati, vocha aina zote, mtego wa panya, pembejeo...
  13. Iron Lady

    je ni mwanamke au mwanaume?

    hivi ukiwa unawasiliana na mtu katika hali ambayo huwezi kumuona ama kumsikia nini kitakutambulisha kuwa huyu mtu unayewasiliana nae ni mwanamke au mwanaume. lugha- je ni maneno gani hupenda kutumiwa na mwanamke au mwanaume. ikiwa huwasiliani nae matendo gani yatakufanya ujue huyu ni mwanamke...
  14. Iron Lady

    Kufa ni kufanya nini?

    Naomba kuelimishwa juu ya hiki kitu kufa. Tukisema mtu kafa kinachokufa ni nini? Je, kutopumua ni kufa? Brain kutofanya kazi ni kufa? Mapigo ya moyo yakiacha kufanya kazi ndio kufa au roho kutoka ndio kufa? Napata shida mno nisaidieni maana naanza kuhisi watu wanaweza kuwa wanazikwa wazima.
  15. Iron Lady

    kimbisa asema lugha sio tatizo katika ajira EA watanzania wasiogope

    mbunge mwakilishi wa tanzania katika bunge la east africa leo asubuhi akiwa katika mahojiano na mtangazaji wa TBC1 amesema watanzania wasiogope kuchuana na wakenya na waganda kwani tatizo si ligha bali utendaji akieleza anasema wachina wanatisha duniani lakini hawajui lugha ya kingereza hivyo...
  16. Iron Lady

    Shyrose Bhanji ajinadi vizuri bungeni katika kinyanganyiro cha ubunge wa EA

    Akiwa mmoja wa wanawake kupitia tiketi ya ccm, shyrose bhanji ajinadi kwa kujiamini kwa lugha iliyosafi na kwa mbwembwe bungeni leo katika kinyanganyiro cha kugombea uwakilishi wa tanzania katika bunge la EA . swali je historia yake ya uwezo wa uongozi na uanaharakati unawiana na uzuri wa lugha...
  17. Iron Lady

    wanawake kuwanyima unyumba waume zao kama adhabu ni sahihi?

    wana jamvi, nimekuwa nikisikia kwa wanawake wenzangu kuwa mara wakorofishanapo na waume zao huwanyima unyumba kwa wiki nzima ama siku kadhaa kama kuwaadhibu, na kujitapa kuwa bila kufanya hivyo basi hawabadiliki na hawahisi kuwa wanaadhabu nyingine itakayowaumiza waume zao hao kama hiyo, ugomvi...
  18. Iron Lady

    The georgia guidestones and world's events

    wana JF, Katika tafutatafuta yangu maarifa katika mtaandao, nilikutana na hiki kitu nikaaona si vibaya kuwasilisha na kujadili. mengi yanayotokea duniani kwa sasa yanaweza kujadiliwa kwa kina kutokana na hii document. mambo kama human rights,democracy,world government t,vita,madawa ya kupanga...
  19. Iron Lady

    Nani anaiua CUF je ni CCM, viongozi wenyewe wa CUF au wananchi au muda wake umefika?

    CUF kilikuwa chama chenye nguvu sana nchini tanzania.watu walikikubali wengi walijiunga nacho na wale ambao hawakujiunga walikubali nguvu iliyokuwa nayo CUF tena kilikuwa chama chenye uongozi imara. damu nyingi imemwagika kukipigania chama hicho haswa zanzibar. 2011-1-2012 tumekuwa tukisikia...
  20. Iron Lady

    mahudhurio ya wabunge bungeni ni hiari au wajibu.

    nimekuwa sielewi kabisa ninapoona viti vipo tupu bungeni huwa najiuliza ni kwamba viti vimekuwa vingi sana? au wabunge hawahudhurii? kikao cha kwanza cha mkutano huwa wanajaa halafu ghafla hupungua hadi kufikia ndogo kiasi cha kuona viti vitupu, jioni ndio kabisa sasa huwa wanaamua tu...
Back
Top Bottom