Search results

  1. Gooogle

    Office space At Sokoine drive

    12 square meters + More than 50sq M Parking space., Bei ni 200,000/=
  2. Gooogle

    Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom

    Unataka umuuzie kale ka-post kako nini.
  3. Gooogle

    Office space At Sokoine drive

    One space for setting an office is available at sokoine drive near bandari road. My take; inawafaa sana watu wa clearing and forwarding corse ina parking space ya kutosha na intazamana na Bandari.
  4. Gooogle

    Je, unawajua CROWN AGENTS?

    The confessions of Economic Hit Man (EHM). Ni bonge la kitabu ambalo limewachana washkaji wazi wazi na global empire yao. siku moja nitakiweka hapa jamvini
  5. Gooogle

    Chadema kutokubali uchaguzi mdogo Arusha Mjini kunazua maswali!

    On redline, what do you attack?!.
  6. Gooogle

    Nani wa kulaumiwa mkanganyiko wa zoezi la sensa.

    Kwa hiyo Utanzania ni kuhesabiwa!??, Acha kudhalilisha taifa na Vinjaa vyako.
  7. Gooogle

    Hongera waalimu kwa kugoma kulipa fidia

    Mahakama ya LUMUMBA!?
  8. Gooogle

    EAC: How Tanzania is shooting herself in the foot

    Kama ingewezekana tungeifanya iwe poll kabisa. Basing on -Tribal conflicts -Income inequalilty -Inflow of Foreign based/owned companies - -
  9. Gooogle

    EAC: How Tanzania is shooting herself in the foot

    Truth Nothing but the truth. ..They don't love each other, what about us?.
  10. Gooogle

    Natafuta - All 10 DVDs of [Open Your Eyes]

    Wakuu na wadau wengine wa conspiracy theories especially za kiuchumi. ..Akina GT, Shy nk kama kuna mtu mwenye access na hizi DVD naombeni na mimi nifungue macho.
  11. Gooogle

    Natafuta - All 10 DVDs of [Open Your Eyes]

    Wakuu na wadau mbalimbali wa conspiracy theories especially za kiuchumi na kisiasa ..Akina (GT, Shy...etc) kama kuna mwenye nazo jamani nami nahitaji kufunuliwa.
  12. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    Dogo/Kubwa, Una muda hujaangalia Muvie za kusisimua (za kii-intelgencia) au kupata kusoma conspiracy stories, Ukaona jinsi ukweli unavyoweza kupindishwa kwa kutumia nguvu ya dola. Bahati nzuri huwa ni sinema na lazima ziwe na happy ending, but kuna conspiracy theories/stories ambazo ukweli...
  13. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    Ulimboka alituambia kilichotokea. Watu wengi siku hizi wanafanya kazi ikulu na usalama.. Kwani hata ukipita baa si utawasikia tu kwa tambo zao. any way alichokisema ulimboka kinaweza kikawa cha kweli kabisa.
  14. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    Rama ndio nani??!! ana exist wapi?!! Ikulu gani?!?!. Wanaharakati wako wapi wakamshtaki huyo bwana kama polisi wanasuasua
  15. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    Hao Moderators wako wenyewe ndio Dhaifu nambari moja au watakua wanakula na CCM. Nilishawahi kuandika thread 'Who is Ramadhani Ighondu'?. waulize waliipeleka wapi?!!. Kama ukweli wenyewe unamuhusu JINI (Mtu asiye-exist) unawezaje kusema huo ndio ukweli?!!.
  16. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    Ukweli unaojulikana Serikali imeukataa.
  17. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    the whole story can be compromised.
  18. Gooogle

    T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business

    Ukishapata Knowledge ni-PM, kama tunweza unganisha nguvu. mimi nitatoa eneo liko town
  19. Gooogle

    Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

    Kila kitu kina utamu na uchungu wake, umefikiria kwa kichwa chako na ukatumia akili zote ukaona mtu anaeweza kuhongwa ni mwanasiasa tu!. plus dunia nzima kitu kitamu ni Uwaziri tu!. kweli kazi ipo.
  20. Gooogle

Back
Top Bottom