Search results

  1. Sam GM

    Galaxy New Video - Top In My Heart

  2. Sam GM

    Galaxy New song - Top In My heart

  3. Sam GM

    Galaxy new official video - tam tam

    Galaxy New Video Galaxy Tam Tam Please share. http://www.youtube.com/watch?v=Yh_LZ6yu2QM http://www.vevo.com/watch/QMAXQ1500489
  4. Sam GM

    TAMTAM BY GALAXY Audio - New single

    Hii ni single ya msanii chipukizi Galaxy Pia unaweza ipata Mkito
  5. Sam GM

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Kwa haraka haraka kuna vitu viwili vya kuangalia katika vyuo vya elimu ya juu ya USA 1 Registration - registration ni rahisi na karibia kila chuo kina registration, hata mie nikianzisha chuo mda huu naweza pata hiyo registration. 2. Accreditation - Ngoma iko katika accreditation, hii lazima...
  6. Sam GM

    East African Federation (EAF) public Views

    Naona point yako hapa ni kuwa, Like a stream, the beginnings of all things are small', Nafikiri nimekupata! Thanks!
  7. Sam GM

    East African Federation (EAF) public Views

    point yangu ni kuwa hatuna kitu cha maana au pressing issues za jumuia hadi tupoteza mda mwingi eti tunatafuta wimbo wa jumuia? nafikiri wimbo au bila wimbo bado tungekuwa na identity. Angalia jumuia kama za ulaya, wimbo ni kitu cha mwisho wanafikiria, sina maana kuiga ila tuna issue nyingi...
  8. Sam GM

    East African Federation (EAF) public Views

    Unaimbwa kwa kiswahili, nenda bbcswahili.com - amka na bbc utausikia.
  9. Sam GM

    Mzumbe yasafisha PhD feki; Kamala na Nchimbi wajifua upya

    Mtu mwenye akili sawa hawezi kufoji PhD, sioni kama hata hawa walioenda kusoma kama wanaelewa kwa nini wanahitaji hiyo PhD.
  10. Sam GM

    East African Federation (EAF) public Views

    May be I am naive, or may be I am optimistic, but to simply tell us that kwa miaka 10 ya jumuiya ya Afrika Mashariki tunasherekea wimbo wa jumuia does not sit well with me. Sidhani kama tulihitaji wimbo, sioni wimbo ukisaidia kitu chochote, kama ni watu kuwa wazalendo zama za kuhamasihwa kwa...
  11. Sam GM

    Dr. Salim: The Conspiracy ..&.. Dataz!

    Mawazo yangu ni kuwa Salim is better off, asipoingilia siasa za Bara au Zanzibar, watamchafua chafua na kumwaga chini. He is much much better to stay off.
  12. Sam GM

    Geza Ulole

    Masatu, Shukrani mheshimiwa, sina uhakika hii ni lugha gani, ila baso sijakuwa na mwangaza wa kutosha walitakiwa kuiga nini au kutoka wapi. Thanks!
  13. Sam GM

    Geza Ulole

    Malila, shukrani sana kwa hiyo info.
  14. Sam GM

    Hitaji Kuu la Tanzania: Msukumo (Inspiration)!

    Katiba ni kitu cha kwanza ambacho kinapuuzwa hasa na viongozi, wanapovunja sheria kwa kuwa na uhakika kuwa hakuna kitakachotokea kwao. Hapa ndio pakuanzia kujua Tanzania tunahitaji nini. Swala hapa ni kuwaelewesha walio wengi haki zao kikatiba na kujua kuwa kwa kufuata katiba mabadiliko na...
  15. Sam GM

    Geza Ulole

    Geza Ulole Kuna baadhi yetu wakati tunakuwa (growing up) tulisikia sana neno Geza Ulole, hata wakati mwingine tuliweza kuimba mashuleni kuhusu Geza ulole, baadhi yetu hatukuelewa maana halisi ya geza ulole. Kulikuwa na bendi kadhaa za muziki ambazo ziliimba kuhusu watu wahame kwenda Geza...
  16. Sam GM

    Gaddafi (Qaddafi) yuko sahihi?

    point zake zingine zimetulia zingine ziko nje ya mstari ila kaonesha courage ya freedom of speech na kile anachoamini kuwa ni haki, viongozi wengi hasa wa africa ni waoga.
  17. Sam GM

    Gaddafi (Qaddafi) yuko sahihi?

    Nenda CNN.com live utamsikia Libyan leader Moammar Gadhafi addresses U.N. Watch Now: on CNN TV or Live on CNN.com »
  18. Sam GM

    Serikali na Hatima ya ATCL

    halafu angalia hapa if the hiring is as above then another richmond saga on the making a cool 40,000 usd a month on some peoples pockets. Ndivyo nchi inavyoliwa na wenye meno makali
  19. Sam GM

    JK apangua makatibu wakuu

    Thread yako haifunguki!!
Back
Top Bottom