Search results

  1. K

    Uganda japo wana maji wanataka kujenga mtambo wa nyuklia, sie tunaenda kwenye maji na tuna gesi na uranium

    Sisi ngoja kwanza tuwekeze pale Stiglers gorge tuwe tunavuna MW 2,100. Ni umeme mwingi sana huo. In year 3000 ndo tufikirie umeme wa nyuklia
  2. K

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Kwa kile kidemu kilicho mafichoni USA kinasemaje? Kila hakikosi kujua mzigo ulipo
  3. K

    Kanuni za Fedha

    First principle: Never lose money. Second principle: Don't forget principle number one
  4. K

    Rais wetu anazindua ukuta wa Mirerani, Kazi za mawaziri ni nini? Kwani kuzindua ni lazima?

    Mawaziri watazindua vyerehani. Acheni kumuonea wivu rais wetu mpendwa
  5. K

    Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU)

    Mbona wanacheleweshwa hao. Wanatakiwa wafanywe kitu mbaya hapo hapo EU ili liwe fundisho kwa wengine
  6. K

    Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

    Subiria mbulula wasiojua how money works watakuja. Wakamue hadi akili ziwakae sawa...!
  7. K

    Nahitaji mkopo wa milioni 100

    Siyo vizuri kumfanyia mwenzako ujambazi. Kwa masharti hayo dhamana yake inakwenda na maji na sumu itamhusu
  8. K

    Majuto ni mjukuu: Jokate anajuta kuifahamu CCM

    Wameishakala kote kote na hakana ladha tena. Kanajuta now
  9. K

    Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

    Acha kuota donto za Abunuasi. Kombe ni Brazil au Spain
  10. K

    Kuna lugha za kibantu ziko so romantic, so sexy, ya kwako je?

    Kisukuma cha Chato ndo funga kazi!! Muulizeni Angela Kairuki
  11. K

    Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Nipo hapa nina vigezo vyote ulivyotaja
  12. K

    Kaniacha ila kila mara ananitumia texts na kunipigia simu

    Kula papuchi with no future expectations, tena unakula hadI ule mtadao pendwa ili kumkomoa.
  13. K

    Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

    Kina Mwajuma ndala ndefu wamejazana Manzese kwa mfuga fisi mtoto wa Dangote katulizana Kempisk watameet saa ngapi!! At least tuvie kale ka Udom
  14. K

    Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

    Tatizo kapuku hawezi kumeet na mtoto wa Dangote. Wanakutana wapi kwa mfano?
  15. K

    Eneo lipi zuri kula raha na mpenzi wangu mpya Dar, niwapo likizo fupi?

    Njoo hapa Chato kuna sehemu kali kuliko
Back
Top Bottom