Search results

  1. Nyikanavome

    Naomba kuuliza nitaweza kupata wapi fuel [petrol] stabilizer hapa Dar es salaam?

    Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha. Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza...
  2. Nyikanavome

    Shirika la Posta jirekebisheni

    Nimeagiza mzigo wangu kutoka china kupitia aliexpress na nimeufuatilia kupitia traking number mpaka ukatua dar es salaam tarehe 19-07-2016 lakini mpaka leo sijaupata. Nimejaribu kufuatlia kwenye tawi langu hapa Dar lakini wananiambia haujafika kwao. Nimesubiri mpaka ikabibidi niombe kuongezewa...
  3. Nyikanavome

    Hivi mfumo wa kulipia road licence kwa simu haufanyi kazi?

    Tokea jana kuna gari nataka nilipie road licence, lakini kila nikitaka kuisajili kwa ajili ya kulipia sipati majibu yeyote. Nimetuma message kadhaa lakini kimya kwa mujibu wa TRA nikuwa unatakiwa utume neno SAJILI unaacha nafasi na kuandika namba ya gari na kutuma kwenda 15341.
  4. Nyikanavome

    Eti umeme wa kuwasha mapambo ya xmas marekani tz tutatumia mwaka mzima, bbc news

    Nilikuwa natazama BBC news leo kukawa na habari inayosema kuwa umeme utakaomika kuwashia mapambo ya kirimasi mwaka huu huko marakani ni zaidi ya umeme tunaotumia mwaka mzima hapa Tanzania. Nikaona wana chitchat inabidi hili tuliweke mezani na ikiwezekana tumfikishie prof Muho ngo alifanyie kazi
  5. Nyikanavome

    TRA kuja huku kuna tatizo

    Nilipia Road lisence kwa mpesa tokea jumapili (20/12/2015 saa 12:31 pm) na hela ikakatwa nikaambiwa, imethibitishwa kuwa hela yangu imetumwa TRA Motor Vehicle kwenye account waliyonituma kwa ajili ya malipo. Badala ya system yao kuniletea message ya kwenda kuchukua road licence yangu...
  6. Nyikanavome

    TANESCO Tegeta, umeme uko volt 100 huku Mbweni Baharini toka jana, tengenezeni jamani

    Jana tumewapigia simu juu ya low voltage mkasema mafundi wako kazini lakini mpaka sasa hivi hali ni ileile. Umeme hauwashi fridge, pump wala tv. Simu zenu za huduma kwa wateja mmezima, mnataka sisi tufsnyeje, au turipoti jipu kwa Prof. Muhongo? Fanyeni kazi bwana, acheni uzembe
  7. Nyikanavome

    Tv yangu lg model 42 lb 550a inapoteza picha ila sauti inabaki kama kawaida

    Nilinunua TV flat screen inch 42 ya LG, Model 42LB550A,takriban mwaka mmoja uliopita. Sasa imepata tatizo la kupoteza picha na kubaki na sauti peke yake. Ukiiwasha inaonyesha picha vizuri kwa muda mfupi halafu screen inazima na kubaki sauti tu. Ukiizima ikapuzika muda fulani ukiiwasha inaonyesha...
  8. Nyikanavome

    TANROAD zibeni shimo barabara ya Mwaikibaki karibu na Clouds FM, linasababisha foleni kali

    Barabara ya Mwaikibaki inakuwa na foleni sana kuanzia Juzi kwa mida ya asubuhi na jioni na chanzo kikubwa ni shimo lililo pembezoni ya bara bara hiyo karibu na ofisi za clouds fm. Pia eneo hilo lina mfereji wa maji machafu ambao umeziba kutakana na shimo hilo na kusababisha maji kusambaa...
  9. Nyikanavome

    Hivi kuweka Diesel engine oil kwenye Petrol engine kuna madhara yeyote?

    Juzi nilienda kituo kimoja cha mafuta kununua oil ya gari: zamani nilikuwa natumia multgrade oil SAE 20-50, nikataka nibadili initumie SAE 15-40 na wakaniuzia ORYX ENDUR0 600 nakuniambia inatumika kwenye gari za petrol na diesel. Kufika nyumbani nikapitia maelezo kwenye galoni yanasema ni kwa...
  10. Nyikanavome

    Msaada wa kuboot Samsung N50 netbook kupita usb flash disc

    Kuna kilaptop changu kidogo cha samsung nataka kukiwekea window 8.1 lakini nimejaribu kuboot kupitia usb flash disk hakikubali. Nikijaribu install direct inaniambia we could not update the system reserved partition Nimeribu kuseti booting priority nimeshindwa kwani menu inayokuja baada ya...
  11. Nyikanavome

    Tanesco njooni mtutengenezee umeme huku mbweni baharini unacheza kati ya volt 70 mpaka 270

    Tokea jana usiku hapa kwetu umeme unacheza kati ya volti 70 mpaka 270 na unahatarisha usalama wa vyombo vyetu. Yaani hapa nimezima kila kitu. Tatizo la umeme mdogo ni la siku nyingi hapa mbweni baharini karibu na chuo cha usalama wa taifa. Tatizo hili la kuyumba kwa umeme kila baada kama ya...
  12. Nyikanavome

    Waziri wa biashara Zanzibar: Mafuta ya OKI na VIKING Safi kwa matumizi

    Waziri wa biashara Zanzibar amesema mafuta ya OKI na VIKING yaliyopigwa marufuku ni safi kulingana na vipimo alivyopewa na wataalamu wake na Kuwa TBS ina njama za kuwadidimiza wafanyabiashara wa Zanzibar. SOURCE: Zanzibar LEO
  13. Nyikanavome

    Ka eateli 3.75 G Kangu hakafanyi kazi leo siku ya pili hapa Morogoro

    Ndugu wana JF wenzangu; nipo hapa morogoro kikazi na nilibeba vimoderm vyangu viwili; sasa kale ninakokategemea sana kuperuzi huku JF kamenigomea siku ya pili sasa- ka eateli 3.75G . Nimewasiliana na huduma kwa wateja nawauliza tatizo wananiletea longolongo. Vipi kuna mtu mwingine mwenye tatizo...
  14. Nyikanavome

    Kuna nguzo ya umeme imeanguka huku mbweni karibu na geti la chuo cha usalama wa taifa

    Nguzo hiyo ni ya umeme mkubwa ambao haujapita kupozwa kwenye transformer na iko katikati ya barabara na umeme upo. Kwa bahati mbaya gari ikiigonga itasababisha maafa. Tanesco mkoa wa kinondoni angalieni suala hilo( Ni eneo la Mbweni mbele ya geti kubwa la chuo cha usalama wa taifa) Nawasilisha
  15. Nyikanavome

    Changia Maoni Yako ya Katiba Hapa

    Kwa walio Tanzania wanaoishi Ndani ya nchi Kwa walio nje ya nchi Wanaoishi Nje ya nchi Tumia haki yako ya maoni vizuri,
  16. Nyikanavome

    Magwiji wa teknohama (ict) changamkieni hii: Dar es salaam teknohama incubator

    Nimeona kwenye gazeti la the gardian la leo kuwa google kwa kushirkiana na costech wameandaa ICT Innovation network itakayofanyika tarehe 14 September 2012 Kama wewe ni gwiji la teknohama jisajili mapema usije ukakosa kiti. Kiingilio ni bure Kwa maelezo zaidi waandikie...
  17. Nyikanavome

    Tanesco tuwekeeni orodha ya wakala watakaotoa keygen zenu kwenye tovuti yenu

    Tanesco wanasema wanatoa namba mbili za kuingiza kwenye luku kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa mwaka huu na kuwa wamebandika orodha ya wakala watakatoa namba hizo kwenye ofisi zao. Nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao lakini sijaona orodha hiyo. Nawashauri watuwekee orodha hiyo kwenye tovuti...
  18. Nyikanavome

    Naombeni kitabu hiki, Evaluating clinical and public health interventions, A practical guide

    Naomba msaada wa mwana JF yeyote ambaye ataweza kunipatia kitabu hiki muhimu kwa electronic form. kitabu chenyewe ni,Evaluating clinical and public health interventions, Apractical guide to study design and statistics, by Mitchell H. Katz, MD Natanguliza shukrani
  19. Nyikanavome

    Naomba PDF writer na key zake

    Nimejaribu kutafuta pdf writer lakini nimeshindwa kupata; Nilijaribu kwenda kwenye website yao kudownload trial version ili nianze kusaka key lakini ilinigomea kudownload. Naombeni mwenye nayo atuwekee hapa. Natanguliza shukrani.
  20. Nyikanavome

    Kwa wale mliosoma kwa mkopo wa Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu Tanzania, Angalieni Tangazo hili

    Loan Defaulters/Wadaiwa REMINDER NOTICE TO ALL LOAN BENEFICIARIES WHO HAVE NOT STARTED TO REPAY THEIR HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS The Higher Education Student' Loans Board (HESLB), hereby notifies all loan beneficiaries who are not servicing their loans and whose names appear on...
Back
Top Bottom