Search results

  1. Nyikanavome

    Azam amefuta other channels?

    Mbona kwangu other channels zipo. Jaribu kusearch upya channels
  2. Nyikanavome

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    pia nimepata picha nzima mtandaoni
  3. Nyikanavome

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Ahsante, Hivi kuagiza hiyo used inaweza kuwa shilingi ngapi maana nilimtuma fundi wangu anitafutie, kazunguka ilala, tandale mpaka temeke huko, kila aliyopata ilikuwa haionyeshi vizuri. Kaambiwa upatikanaji wa hizo ni mgumu mpaka wavizie magari yanayochinjwa. Fundi aliwahi kuifungua nikapiga...
  4. Nyikanavome

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Naweza kupata dashboard ya toyota spacio old model ile ya digital, Kama hiyo hapo kwenye picha?
  5. Nyikanavome

    Parking fee kamata kamata

    Ni kweli, unaweza kukuta umewekewa umepaki sehemu ambayo hujawahi hata kupaki. Mimi mwenyewe nimeangalia kunasehemu naangiziwa napaki kila siku na eneo lenyewe liko Mwanza wakati mimi nipo dar es salaam. Ukitaka uone ulipaki wapi, ingia kwenye website ya tarura(Termis)...
  6. Nyikanavome

    TARURA na Parking ya wizi

    Mimi mwenyewe nimebambikiwa sehemu ambayo sijawahi kupaki na karibu kila siku naingiziwa nimepaki Kamanga mwaza wakati niko dar es salaam. Bili imeshafika 11000 nabado inaongezeka. Nimeshindwa kuwasiliana na Tarura kwasababu system yao haina contact yeyote. Niliwasiliana na mkata tiketi akanipa...
  7. Nyikanavome

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Ni kweli Chief Nimeshapokea mizigo kadhaa na sijawahi kuulizwa kitambulisho
  8. Nyikanavome

    Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    Hiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wako
  9. Nyikanavome

    Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Pole sana; hiyo kitu inaitwa sleep paralysis: kama cha malkia kinapanda kule Google kuna shule za kutosha; sio vibwengo wala nini.
  10. Nyikanavome

    Mitaa ya Tegeta mabomba yanatoa Maji yenye matope, tatizo ni nini?

    Hata huku Mbweni hali ni hiyo hiyo, ni tope tupu
  11. Nyikanavome

    Bei ya Sabuni ya mche kutoka 2,000/= mpaka 4,000/=

    Nafikiri sabuni zimepanda sana bei kwa kiungo kikubwa cha kutengeza sabuni ni mafuta
  12. Nyikanavome

    Badili sentensi hii kuwa ya Kiingereza

    Relieve the burden of women carrying buckets of water through reliable water supply.
  13. Nyikanavome

    40mph 64km/h

    Hiyo ni Maili 40 kwa saa ambayo ni sawa na kilometa 64 kwa saa
  14. Nyikanavome

    Kwanini wanyama hawali matunda?

    Wanyama wengi wanauwezo wa kutengeneza vitamin C miilini mwao, kwa hiyo ulaji wa matunda sio muhimu sana kwao
  15. Nyikanavome

    Naomba kuuliza nitaweza kupata wapi fuel [petrol] stabilizer hapa Dar es salaam?

    Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha. Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza...
  16. Nyikanavome

    Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

    Hongera mkuu, tuko pamoja.
  17. Nyikanavome

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Asante chief, Ngoja tusubiri. Hilo punguzo lao likiisha naona kabei kanaweza kakachangamka!
Back
Top Bottom