Hahaha! Hao 2kana 2 mkuu.. Wana maneno matam afu matendo machungu.. Ni kund la matapel waliojazana Africa magharib sana sana Nigeria na Senegal.. Wapo kila sehem had FB na Twitter cyo Netlog peke yake na wanawashka ma cngle boy
Mi naona kwa yule anaetak mkopo achukue namba yao ya usajir kisha awasiliane na wizara ya elimu kujua kama kweli imesajiliwa kwa namba tajwa.. From thr atajua la kufanya
Niliwaona wana HELSB wanahojiwa TBC asbuh moja baada ya majina ktoka walisema mgawanyo huo 1st year wataukuta vyuoni sa we huo upotoshaj umeutoa wap? Kawaclishe kweny jukwaa la siasa cyo humu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.