Search results

  1. L

    Inawezekana kupata mawasiliano ya simu ya mtu?

    Wajameni naezaje kupata Mawasiliano ya msg kwenye simu ya mtu kwa miezi kama 6 kupitia kampuni za simu Inawezekana?
  2. L

    Inawezekana kupata mawasiliano ya sms ya mtu

    Wadau hebu nijuze, unaweza kupata access ya mawasiliano ya simu ie msg za mtu kwa kipindi fulani kwenye makampuni ya simu?
  3. L

    sunburns

    Nawezaje kuondoa weusi shingoni na usoni kutokana na kuunguzwa na jua(sunburns )
  4. L

    Side b of you

    Aisee sipendi kudanganywa,na nabadilika sana hasa ninapogundua hilo,
  5. L

    Mapenzi Jamani??

    Sizani kama ni lazima tuende mbali kote hivo jamani,mambo mengine yataishia kutuua,wanawake tujiamini na kama sio riziki basi sio wako huyo
  6. L

    "CRAZY Things We Do For Love"...

    jamani mweeee,,vituko
  7. L

    So much pain for denials...nimetendwa

    Pole wewe mda utakuponya
  8. L

    Reflection yako

    Habari pple,,,,,,, Watu hua wanakua na tabia tofauti tofauti kutokana na malezi,mazingira aliyokulia may be??but all in all mambo tunayofanya na tabia zetu hua zinakuja kutokea kwa watoto wetu ama kizazi kinachofuatia,,mnakubaliana na mimi,??sio watoto wote watachukua tabia zako hapana lakini...
  9. L

    Wapenzi wanapojeuka kua maadui

    i dont think ni lazma makubwa yote hayo yatokee ndo chuki iwepo,hata kukwaruzana kwa mambo ya kawaida ambayo sio ya kufikia hko kuuwana,,,bt kumbuka ni watu mlihaidiana mengi na kupendana kwa dhati,hufikirii kama upendo wa dhati hupaswa kuyashinda yote hayo insteady of having chuki?????Upendo wa...
  10. L

    Wapenzi wanapojeuka kua maadui

    Hili swala sijui kama limewakuta wengi,iweje wapenzi mliopendana na kushibana kwa kila jambo kwa mda mrefu wakati linapookea jambo la kuwatenganisha kuna kua na chuki kali kati ya watu hao,?nn hasa sbbu
  11. L

    Mchoraji wa picha

    picha yangu ya half, black n white
  12. L

    Mchoraji wa picha

    Natafuta mchoraji mzur wa picha plz,,picha ya half kubwa black n white hapa dsm.ushaur kwa yeyote mwenye kujua.
  13. L

    Bei Ya Alizeti Singida

    Nope,bado naulizia,upo singida?
  14. L

    Bei Ya Alizeti Singida

    Hbr pple, Naulizia msimu wa kuvuna alizeti Singida ni kipindi gani na bei hua kiasi gani na kwa kipimo kipi tafadhali....Kwa mwana Jf anaeishi Singida plz anitafute kwa msaada zaid.
  15. L

    Bei ya alizeti Singida

    Hbr pple, Naulizia msimu wa kuvuna alizeti Singida ni kipindi gani na bei hua kiasi gani na kwa kipimo kipi tafadhali....Kwa mwana Jf anaeishi Singida plz anitafute kwa msaada zaid.
  16. L

    Usiri kwenye mahusiano..

    Je ni vizuri kua na usiri katika mambo unayofanya kwa mwenza/mke/mume/mchumba?Mambo hayo yanaweza kua ya kifedha,kikazi,kimampenzi ama ni sawa kua wazi kwa kila jambo unalofanya ama unalofikiria?Manake kibongo bongo kudanganyana ndo mpango mzima,,,,Kwa mfano mimi napenda saaaaana...
  17. L

    Wewe je unafanya hv?

    ha ha pple,ungejua ,,anyway naona nliofkisha ujumbe haujafka vile nlivofikria haya endeleen kushusha vbomu vyenu naona kimewakuna sana
  18. L

    Wewe je unafanya hv?

    Hbr pple, vijana wengi siku izi tunatumia mda mwingi kuwaza ngono na mahusiano,hata kwenye suala la majadiliano kwenye mitandao ya kijamii wengi wetu tutashabikia mijadala inayohusu mapenzi zaid kuliko masuala mengineyo ya kutujenga,,nafikiri vjana tubadilike ,tuwe na discipline ktk mahusiano...
  19. L

    Je Mabikra wote mko Hivi

    Hi hali hutokea kwa wengi,,,,,,
Back
Top Bottom