Search results

  1. S

    Tundu Lissu kuitwa kwenye Kamati ya maadili ya madiwani Singida

    Who is sikonge??? Utakoma wewe, hapa ni hoja tu. Huwezi zuia maendeleo kwa kudai taarifa ya fedha huu ni ukihio! Narudia tena tundu lisu ni kihio! Umeshindwa nini kuweka mifumo ya kujua fedha iliyochangwa na iliyotumika katika jimbo lake tu kama mbunge halafu ajigambe anaweza ikosoa...
  2. S

    Tundu Lissu kuitwa kwenye Kamati ya maadili ya madiwani Singida

    Mwandishi wa habari hii ni kati ya vihiyo wanaopenda kudanganya Umma. Fedha za Halmashauri huwa hazirudi Serikali Kuu na BAKAA hutumiwa kuendeleza miradi inayoendelea. Tundu Lisu anashindwa kuelewa jambo dogo tu hivyo kutoonyesha huo mnaouona na kuuita USOMI wake. Fedha za Miradi ya Maendeleo...
  3. S

    Tanganyika inakuja, tutaifupishaje kwenye maandishi?

    KIFO CHA CCM KINATUHUSU NINI SISI WATANZANIA TUNAKATALIWA???:shock:
  4. S

    Vurugu kubwa mitandaoni ni sababu ya Januari Makamba na simu zake huko Zanzibar

    SIHASA! Kila upande kuna hali za sintofahamu wengi wanafanya mambo ama kuropoka vitu ilimradi kujifurahisha nafsi zao au nafsi za waliowahonga.....Vyeo na uchu wa madaraka na kufahamika imekuwa chanzo cha haya yote. Tanzania imepata janga kubwa kutokana na kuwekeza mamilioni ya fedha kulipa...
  5. S

    Know the greatest dictators of africa......all times best

    what makes a DICTATOR?? what might be the end results?? it has to be killings of innocent people?? Talking of Nyerere yes he was dictator with his authoritarian rule and style with the idea of fulfilling his best vision of avoiding more chaos to came due to long history of tribal issues...
  6. S

    Nini asili ya jina Tanganyika na Nani alilitunga jina hili?

    mm hapana elewa hili somo, ilikuaje mpaka kutokea nchi ya Tanganyika??
  7. S

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali

    this is ridicule and fascinating story, why it has to be like this?? when will these inhuman things last?? shame on you who so ever for sure you will pay this...
  8. S

    Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

    Jamani mwenyekiti UVCCM ana umri gani??????? katiba UVCCM inasemaje??? Mmh no comments!:shut-mouth:
  9. S

    wenzenu China wanajivua magamba, nyinyi CCM mwasubiri nini??

    Msemaji hajui siasa za china, na anayetajwa kuchukua urais ni mojawapo wa kiongozi wa sasa katika wadhifa mkubwa tu.... Sidhani kama ni kujivua magamba bali ni kubadili nguo tuu na kulipaka rangigamba.
  10. S

    Lowassa aendelea kunyanyasa CCM

    Uchaguzi UVCCM leo Rais Kikwete leo anatarajia kufungua Mkutano wa Nane wa UVCCM utakaofanyika katika Chuo cha Mipango, Dodoma huku vita kubwa ikitarajiwa katika uchaguzi kwa misingi ya kambi za urais kuelekea 2015. Vita kubwa katika uchaguzi huo ni katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti ambayo...
  11. S

    Sekretariete mpya CCM, yavuja!

    Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa; Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA) Katibu Mwenezi - Nape Nnauye Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo Hayo ni mawazo...
  12. S

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    Maskini Shy-rosehana bahati hata kwa mazuri anayofanya yanadharauliwa, swali lake lilikuwa la msingi na shangingi alitakiwa kujibu na kuonyesha umma kwamaba anafaa kuwa kiongozi ndani ya Chama chake na wa Serikali, kwa jibu alilolitoa anaonesha ni jinsi gani alivyo mbinafsi--- kwenye chama...
Back
Top Bottom