Search results

  1. M

    Wapi ntapata food supplements hapa Dar?

    Za kawaida 2 kwa ajili ya afya na kuongeza nutrients..
  2. M

    Wapi ntapata food supplements hapa Dar?

    shukrani mkuu ntakuchek kwa email
  3. M

    Wapi ntapata food supplements hapa Dar?

    Kwa hapa Dar ni wapi naweza pata izo kitu kwa hapa Dar? Kwa anaejua tafadhali..
  4. M

    Mathematicians msaada

    Nafahamu vitu vingi kwenye algebra especially matrices ila iyo concept tu hapo juu ndo sina, so nipe tu hayo maujanja ntakuelewa mkuu, shukrani.
  5. M

    Mathematicians msaada

    Am waiting 4 your answer
  6. M

    Mathematicians msaada

    Mkuu ungenisaidia tu ilo swali..
  7. M

    Mathematicians msaada

    Nisaidieni on how to find conditions za 3×3 matrix kua na unique solution, infinity many solutions or no solution. Ni hilo tu wadau.
  8. M

    MUHIMU: Mliosoma au mnaosoma MZUMBE SEC. tukutane hapa

    Mmenikumbusha mbali wakuu.. Enzi izo headmaster R.J Mwasha, 2nd master Bitwale(marehem), Njawa na wengineo., Lyf lilikua mzukaaa.. ukiongezea na matobozi faculty.. Daaah! Respect 2 wazumbe!
  9. M

    Kwa wataalamu wa umeme

    So clajago, iyo ni bora zaidi kuliko inverter?? sababu nlkua nshaanza kucheki invertors.
  10. M

    Kwa wataalamu wa umeme

    Atleast izo bei sio za mauaji. ntacheki, shukrani.
  11. M

    Kwa wataalamu wa umeme

    Bei za inverter zipoje?
  12. M

    Kwa wataalamu wa umeme

    N70 mkuu. Dah kwa sasa solar haitawezekana coz bado sijajipanga. Ila betry ndo ipo.
  13. M

    Kwa wataalamu wa umeme

    Nna bettry ya gari 12Volts, nahitaji kuitumia kuwashia taa kadhaa (energy savers) kama 5 tu ivi, coz maeneo niliopo umeme wa tanesco unasumbua balaa. Je kuna means yoyote ya kufanya amplification? au chochote? je ni safe kuconnect kwa ajili ya nyumba nzima?? (taa tu, kama 8 ivi) if possible...
  14. M

    Kiukweli hivi kazi gan za it zinalipa bongo?

    Dah kwa sasa sina knowledge kabsa kuhusu programming, but najua nini inahusu. so ni vizuri if u are willing ukanfafanulia kidogo ni sehem gani ya programming ni basic na muhimu. Naingia 1st year this september (engineering) but i wish ningeongezea huo ujuzi mkuu.
  15. M

    tcu mambo hazarani

    Hapo ndo utata sasa
  16. M

    Msaada games kudownload kwa pc

    Wakuu nlkua nadownload game hapa NFS thn nashindwa kuliinstall cz file lina .rar extension. nmekwama hapo. msaada mjuzi.
Back
Top Bottom