Search results

  1. C

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    hii ndio tanzania umaharufu utafutwa kwa mambo ya siyo kuwa na kichwa na miguu
  2. C

    Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

    junior k kumbe hata ww ujielewi ujui soma hajo kwanza. kama unaelewa sana waulize wezako wanao ngangania siasa awataki kufanya kazi. NIWAULIZE WOTE KAMA MNAJUA KILA MMOJA ANIPE MAJIBU SIASA NI NINI? hapo ndipo nitajua kama mnajua. anza sasa kutoa majibu
  3. C

    Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

    kimbori kumbuka maeneo ya biashara yametengwa.usipende kulalamika wakati machinga complex aina watu wakufanya biashara ww kama kijana asubuhi unakaa kijiweni unafanya nini? sasa utawezaje kuzungumzia siasa wakati kazi ufanyi au ndio nyinyi unabaki kusema serikali. fanya kazi usije mtoto...
  4. C

    Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

    hapo tu nimeamini watanzania tunapenda kulumbana.soma vizuri uelewe hoja yangu nasema sijakukatanza kujiusisha na siasa ila now vijan awengi wamekuwa hawa fanyi kazi wakizungumzia maswala ya siasa yani wakati wakazi utakuta wamekaa na kujadili maswala ya siasa. mm na wahusia vijana wafanye kazi...
  5. C

    Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

    kufukunzwa kwa wafanya biashara wanafukunzwa kwenye maeneo yasiyo rasmi ya kufanyia biashara ebu angalia eneo kama machinga complex karume ilala ni eneo zuri tu lakini akuna wafanya biashara. kama wafanya biashara wangekuwa wote pale unazani wanunuzi wasingekuwepo.ndio mana nasema vijana...
  6. C

    Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

    kama kijana wa kitanzania unayependa maendeleo na nchi yako niwakati wako sasa kutafuta maisha siyo kila siku unabaki kulumbana kuhusu siasa. kwa kipindi kirefu chaka bovu amefanya utafiti nakuona kuwa asilimia kubwa ya vijana wameacha kufanya maendeleo na kulumbana kuhusu siasa, siwakatazi...
  7. C

    Elimu yetu inakwenda wapi

    ujaju makeda wanataka msikanyage bungeni pamoja na ikulu.unavyozani una ambiwa ukitaka kupata kazi uwe nauzoefu wa miaka 3 unazani mchezo awataki kubanduka
  8. C

    Ukitaka kujua siasa ya Tanzania ni unafiki soma hii

    TATIZO MJAJUA pesa ukipewa mabilioni unadhani autanyamaza hii ndio tanzania ongea sana uende ikulu
  9. C

    Ukitaka kujua siasa ya Tanzania ni unafiki soma hii

    nitaongea sana mwisho wa siku nitanyamazishwa kwa kupandishwa cheo. nimegoma mwisho wa siku naomba radhi. HUU NDIO UKWELI
  10. C

    Elimu yetu inakwenda wapi

    nimekosea bwana wakati wa kuchapa
  11. C

    Elimu yetu inakwenda wapi

    Jamani hivi elimu ya tanzania inakwenda wapi? kama tunaweza sasa kuweka mtihani wa hisabati kuwa na majibu ya kuchangua sasa tunafanya wanafunzi kuwa wavivu sasa na kupoteza wasomi. kweli tutafika
  12. C

    Mtazamo

    sioni sababu ya chadema na ccm kulumbana kila siku. Malumbano yatakwenda mwisho wa siku kila mtu unyamaza.wanasiasa watanzania tatizo maneno mengi vitendo vichache. ila itafika kipindi watanzania wataelewa kinachoendele katika siasa yetu ambayo ya maneno mengi vitendo vichache. AMKA NA UITETEE...
  13. C

    Sensa 2012: Yanayojiri

    Tatizo elimu ni duni.mm na zani kama wangekuwa wameelimika nazani wasinge goma kwani niwaulize wezangu sensa ngapi zimepita na wamehesabiwa leo ndio wagome. Haaaaaaaa kuna kitu kimejificha tu
  14. C

    Dk. Slaa awaangukia walimu

    Katika watu wasio jua umuhimu wa sensa wa kwanza ww ulio tuma hii post? Nani amesema ukiesabiwa ni wana ccm acha izo angalia mbele
  15. C

    Hoja

    Uchumi wa tanzania unategemea sekta ipi hasa? 1. Madini 2. Utalii 3. Kilimo 4. Viwanda na biashara
Back
Top Bottom