Search results

  1. byembalilwa

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Hiyo imekaa vizuri waheshim tamadun za watu
  2. byembalilwa

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Nasikia bima za Afya zipo nyingi ,ni uhuru wako wa kuchagua ,achana na NHIF nenda strategy
  3. byembalilwa

    Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

    Kile chama cha ukoo hawezi kutoka madarani Watetezi wa Mbowe ,kwani bila yeye chama hakiwezi kwenda? Yule kawafanya misukule hakuna wa kumtoa
  4. byembalilwa

    Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Na bado hamjasema ninyi wezi wakubwa ,mnataka panad mlipwe 500 wakati mtaani ni 250?mnafanya biashara kwenye afya za watu ,kama hautaki si unaacha hakuna aliyekulazimisha ,tibu kwa cash
  5. byembalilwa

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Ni vigumu kutenganisha chadema na ukiristo angalia viongozi wote wa ngazi za juu
  6. byembalilwa

    Fatma Karume amjia juu Martin Masese juu ya kauli ya Hussein Bashe

    Anatumwa na chadema, ile ni Taasisi ya kanisa
  7. byembalilwa

    Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Tatizo la TEC ni kutoamini kwenye mawazo mbadala,kujiona wao ndo kila kitu hapa wamegonga mwamba ,mwarabu ni kama maji kwa zama hizi haiwezekani kwa namna yeyote.
  8. byembalilwa

    Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Tangu lini umerudi kwenye uislam,baada ya kubadilishwa dini na huyo mzungu mwanamke (angel) na kuwa mkatoliki leo ndo unakuja kuusema uislam.
  9. byembalilwa

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Mzigo mkubwa wakati hizo taasisi zinazojinasibu na dini zinatoza hela kubwa kwenye huduma zake?
  10. byembalilwa

    Swala la mkataba wa bandari na baraza la maaskofu naanza kuliona kwa jicho lingine tofauti

    Ni kama Maaskofu ambavyo hawaoni faida yeyote kwenye uwekezaji ,zaidi ya udini ,udini
  11. byembalilwa

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Upo sahihi mkuu,tena mkataba wenyewe hauna ukomo eti
  12. byembalilwa

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kodi zikawa kwa raia wote wanufaike wachache na mkataba usio na ukomo ,si sawa
  13. byembalilwa

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kinachofuata ni waislam kuandaa waraka wa kupinga MOU
  14. byembalilwa

    Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

    Tafuta clip youtube,yule ni wakubinya mpka aseme kundi lake ni akina nan
  15. byembalilwa

    Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe

    Wale wameshindwa kuzuia nia yao ovu wakaamua kutamka wazi ,acha wabinywe
Back
Top Bottom