Search results

  1. halfan30

    Mapenzi ya mahandsome

    Hata mm nimeona hilo imeandikwa kwa Jazba sanaa.
  2. halfan30

    Binamu wa mke wangu anaondoa amani nyumbani kwangu

    Ha ha ha hapo unaweza kuta mengine yanayotumika yamefichwa mbali sana na hayo yapo tu kama plasebo.
  3. halfan30

    Wadau mwendo gani mzuri safarini nisitumie mafuta mengi

    Hili nalo tatizo...maana tochi zinakaa very strategic areas. Unakuta umepita kibao cha 50 then huoni kinachofuta 50 sijui wameving'oa. Ghafla umepanda mpaka 70km/hr then unaona wenzako wanakupiga taa.
  4. halfan30

    Wadau mwendo gani mzuri safarini nisitumie mafuta mengi

    80-100km/hr ni reasonable speed. Ila mtu aliezoea kuendesha Mbezi-City center , safari ndefu si jambo jepesi. Inahitaji akili iliyotulia, road lazima uendeshe defensively na sio kutegemea wa mbele atafanya hivi au vile.
  5. halfan30

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    ha ha ha nina wa kwangu now ni 2.1 years na ni wa kike, ila tabia na vituko vyake unaweza sema ni wa kiume 1) Akinikuta nimekaa na mama yake karibu labda nimemshika/kumuwekea mkono ni mawili either aje aning'ate au achukue kitu chochote na kunipiga nacho, hajui kama yule ni mkewangu. 2) Simu...
  6. halfan30

    Wanaume tuambie hii ishawahi kukutokea, ilikuwaje na kwanini?

    mh! hii iko katika namna mbili, 1) kupigwa kelbu na girlfriend/mkeo, 2) kupigwa kelbu na girlfriend/mkeo hadharani....! Hiyo namba moja naweza ichukulia poa (japo kwa masharti sana) naweza kuwa nimekosea kwa namna moja au nyingine. Ila hiyo namba mbili hata kama nimekosea kunitwanga kelbu...
  7. halfan30

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Nguvu na resources (magari, mafuta) bora wangejenga vyoo tu vya shule...!
  8. halfan30

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Kwahiyo amekamatwa kwakua haaminiki au? Jaribu kubakia kwenye mada kuu...! hii tabia ya kuruka ruka ni ya maharage.
  9. halfan30

    Rais Magufuli apiga tena simu Clouds, amsifu Diamond na kusema atashughulikia kero za wasanii

    Nimeona Diamond ameamua kueleza hisia zake kuhusu serikali kutotilia mkazo kazi za wasanii. Ila hili la Mh. kuwapenda shilawadu sitii neno.
  10. halfan30

    ATCL kwa mapungufu haya hamtadumu

    ha ha ha siku yangu imekua murua sanaa kwenye red...!
  11. halfan30

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Rodrigo Durtete yeye anadili nao kimya kimya......!
  12. halfan30

    Ajali mbaya: Tahadhari ya picha! Inatisha

    Helmet??? Serious?
  13. halfan30

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Ninaweza kuwa si mwanasiasa mzuri , lakini kuna siku mtakuja kunikumbuka - Raisi John Joseph Pombe Magufuli.
  14. halfan30

    Wiki mbili zitanitosha kujua gari?

    Na tatizo lingine ni kuendesha magari matatu kwa pamoja....La mbele yako, la nyuma yako na la kwako.....!
  15. halfan30

    Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Ha ha ha ha Picha ndio limeanza. On the Phone from Tetemeko..."Naniii hebu edit ile barua ya Dr. NIMR weka hili jina huyu jamaa wa TANESCO........"
  16. halfan30

    Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    Sijui kama unaelewa concept hapa....! Tanesco walikuja na 18%, EWURA wakafanya tathmini wakaona ni bora iwe 8.5%. Sasa wewe badala ya kuuliza Tanesco unaanza na EWURA...!
Back
Top Bottom