Search results

  1. H

    Matumizi ya fedha za kigeni serikalini katika kufanya maamuzi

    Leo nimepata bahati kumsikia gavana wa benki akiongelea swala la mapato ya taifa. Nilishangaa kumsikia akiizungumzia hio habari kwa umma wa watanzania huku akitumoa fedha ya kimarekani yani dola. Nadhani yeye ni mtaalamu wa mambo ya fedha na uchumi na amepewa hio kazi kwa kuwa ana utashi wa...
  2. H

    Msaada

    Naomba msaada mwenzenu. Naipenda JF ila natamani kuwe na option ya kublock mtu yani post yake mimi tu nisiione. Wengine wenye kuenjoy style yake waendelee kufaidi. Inaweza kuwapo?
  3. H

    Mambo yasiyo ya muungano yasiamuliwe na serikali ya muungano

    bila kujali gharama idadi ya marais, majaji, mabunge, majina ya viongozi............... na mlolongo wa gharama za kujitakia Tunacholilia sisi ambao sasa tunaitwa 'WACHACHE' wakati ni wengi sana ni hiki: Tunataka mambo ambayo bado hayajaingizwa kwenye muungano kwa sababu mbalimbali, yatekelezwe...
  4. H

    Eti ni kweli?

    Katika kijiwe kimoja kinondoni marafiki walikuwa wanaongelea kuhusu utaratibu wa wanaume na wanawake kutakana kimapenzi, kuna waliosema kuwa wanafuata tu signal za wasichana na wasichana walibisha kuwa hawaonyeshi signa zozote wanafuatwa tu. Wasichana walitaka kujua signal zinazozungumziwa...
  5. H

    Familia ya baba mama na watoto

    Eti kwa kuwa wewe umekua na umeshajitambua, unadhani kuna faida muhimu ya kulelewa au kulea jamii katika familia ya kizamani baba mama watoto na jamaa? nikimaanisha kuacha kulea wazee wetu kuzaa na kulea watoto bila mke au mume? hapa nazungumzia kufanya hivyo kwa maamuzi ya hiari, na sio kwa...
  6. H

    msaada TIGO

    Tafadhali mwenye kufahamu jinsi ya kutumia online application ya REACH FOR CHANGE step ya kwanza tayari, step ya pili tunaendaje? na pia FAQ ziko wapi?
  7. H

    Prof lipumba is a genious!

    Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania. Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda. Au kuna kitu sikijui? Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida...
  8. H

    Msaada wa kielimu pls!!

    Naomba kujua, kama mimi nilimaliza form 6 miaka kadhaa iliopita na div 2 sikutaka kusoma nikaanza mambo ya pesa na familia, sasa ndo nimeomba chuo kupitia tcu, jina halijatoka, nataka masomo ya jioni, nifanyeje? Ina maana siwezi kusoma tena tanzania?
  9. H

    Makampuni yanayotaka kutuuzia mbegu

    Naomba kuunga mkono hoja za Zitto, hasa ya kupiga vita Genetically modified Mbegu. Napinga na kwa jina Kuu la Yesu zishindwe! Kama tunatazitaka kwa sana, basi tutengeneze kiwanda chetu. Ila tujue vyakula vyetu ndio basi tena tunaingia kwenye ukoloni mambo leo. Hivi waziri huyu amehusisha...
  10. H

    How to start a trust fund in Tz - msaada pls

    Habari zenu. Najua kuwa baadhi yenu mmeshajihusisha na Trust Funds za aina mbalimbali. Natamani kuanzisha ya kwangu, je nafuata steps gani.
  11. H

    Teknolojia ya kufukuza mvua arusha

    Ti ni kweli kitaalamu kuwa wakulima wa maua wanayo teknolojia ya kufanya mvua isinyeshe? Manake kila kona, wananchi wanalalamika huu ukosefu wa mvua wakatio karibu kila siku mawingu yanafunga.
  12. H

    Barabara za mawe Mwanza

    Nimebahatika kuona documentary ya kuhusu barabara za mawe Mwanza. Nimepata faraja kubwa sana kujua kuwa sio kila kitu Tanzania kinayumba, ila kuna wataalamu wanajitahidi kufanya mambo ya maana. Big up wahusika wote! Msiachie hapo, mkuu wa mkoa kama mwanasiasa mkuu wa mkoa tunategemea...
  13. H

    PAYE yangu na mie

    Eti nikishakatwa payee yangu, nina uwezo wa kuilini na mie kwa kutumia TIN number yangu, nataka kujumuisha kodi zangu nazolipa serikalini sehemu moja
  14. H

    Fundi milionea mtarajiwa au mfungwa mtarajiwa?

    Nimeona kwenye TV ya Tanzania (TBC) jana kuwa kuna fundi mmoja amekamatwa kwa kutengeneza mizani ambazo hazikidhi ubora. Tanzania tumezoea kuagiza mizani toka Kenya, lakini huyu baba, kwa kuona soko la mizani TZ ni la wachovu pia, wasioweza kumudu bei ya hizo originals, alitumia ujuzi wake na...
  15. H

    Capitalism =democracy??

    Kuna mtu nimemsikia akisema kuchagua capitalism an kutaka kusiwe na masikini wa kutupwa, ni sawa na kuchagua ukristu na kukataa kuwapo kwa 'motoni'. Nadhani kuna ukweli fulani, haya mambo ya free trade, mambo ya global economy, mambo ya stock markets, halafu unategemea masikini waondoke si...
  16. H

    Nyumba inapangishwa

    nyumba iko 1km off morogoro road, spacious kitchen+store spacious sitting room, dining room 4 bedrooms, 2 self contained bedrooms, well maintained flower gardens with a makuti kibanda, electric fence, servant quarters with fenced shamba about 1acre included 20000 lt water reserve, indicate...
  17. H

    Nimeipenda hii, please read

    I MAKE A DIFFERENCE..WHAT DO YOU MAKE? The dinner guests were sitting around the table discussing life. One man, a CEO, decided to explain the problem with education and few opportunities of making money in the teaching profession. He argued, "What's a kid going to learn from someone who...
  18. H

    sera mojawapo ya chama cha siasa

    Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji la vyuo na kitovu cha elimu cha nchi. Nilikuwa napitia sera za vyama nikakutana na hii. Mi...
  19. H

    matokeo darasa la saba

    Naomba maelekezo namna ninavyoweza kupata matokeo ya darasa la saba (online) kwa miaka mitatu iliopita, summary ya shule kwa shule, ili kujua shule zinazojitahidi katika mtihani wa darasa la saba
  20. H

    Kambi ya upinzani inafanyaje kazi

    Nimeona jinsi ambavyo CDM watu tumeshabikia kwa kukubaliana au kutofautiana na CDM kwa kugoma kushiriki mchakato huu. Hata mie nilikuwa moved wakati ule, lakini baadae nikawa najiuliza je hiki ni kitu gani? kinafanyaje kazi? kina nani hasa wanahusika? wanalipwa? au kuna baadhi wanajitolea...
Back
Top Bottom