Search results

  1. E

    CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

    Tunakuja Zenji hivi punde,usijali mkuu.Chama chetu ni mikakati na muda ukifika,chombo kitakuja huko tu. M4C is for the whole of Tanzania na kila sehemu itafikiwa kabla ya 2015 hivyo CCM na wapambe wao CUF hawana pa kujificha.
  2. E

    'CHADEMA wanahusika'

    Hata rais kikwete na waziri Pinda kutokujua kwanini wananci ni maskinini CHADEMA inahusika.Hata kwapo kwa nyoka wenye ndimi mbili ndani ya CCM ni CHADEMA inahusika.Hata rushwa kwenye chaguzi zao za ndani, CHADEMA inahusika.Hata rais kuwataka CCM wasitegemee polisi kuwatetea dhidi ya hoja za...
  3. E

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Ahaa! Sasa naanza kupata maana ya CCM ambayo imejificha.Watu wa inteligensia ya mwema na wale wa ssit watakubaliana nami kuwa CCM ni CHAMA CHA MADUDU aka CHAMA CHA MAOVU,muungano wa watu wenye uroho wa mali na kazi yake kubwa ni kuhujumu uchumi na kuongeza umaskini wa wengi lakini wamejiingiza...
  4. E

    Naomba unlocking code zamodem aina ya HUAWEI

    Asante super impressor,nimefaanikiwa na sasa natwanga kotekote.long live.
  5. E

    Makada wa CCM waliozomewa mpaka hivi sasa

    Lucas usiogope nginja nginja dhidi ya chama cha majoka kwani ninyi ni wenye ndimi mbili.Enyi kizazi cha nyoa, wana wa majoka,mtaifilisi nchi yetu hadi lini?Tukimaliza zomea zomea na nginja nginja itafuata gwila gwila.
  6. E

    Naomba unlocking code zamodem aina ya HUAWEI

    Naomba wana JF mnipe unloking code za modem ya HUAWEI , model 1550 IMEI yake ni 352 965 043 440 013.Asante sana.
  7. E

    Kauli tatu tata za mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) ktk kipindi kisichozidi miezi 3

    Mtasema sana,mtaweweseka sana,chadema itazidi kuwachana.Mbowe ni mwenyekiti wetu na anazungumza lugha yetu ambayo wageni msio wakwetu hataielewa.Siasa zetu si za kubishana,ukweli twaambiana na tofauti zetu twavumiliana kwani upinzani si kuchafuliana bali mchafu ni kwa uchafu wake tu.Kwa taarifa...
  8. E

    Rais Kikwete amuumbua John Tendwa

    Wewe kiranga umefanya kwotesheni gani kwenye lawama zako au nalo ni swali la kibongobongo tu? Wana jf jueni kuwa twendwa hakufanya vile bila ya kutendwa na si ajabu akakanusha kuwa hakutoa agizo hilo au amekaririwa vibaya. Cdm hawezi kuitenda kitu naye atabaki wa kutendwa tu na ccm.
  9. E

    Kikwete: Nginja nginja hadi 2015.

    Kwa mara nyingine tena, mheshimiwa Rais wetu ambaye anaweza kuingia kwenye vitabu vya jines kwa rekodi yake ya kushindwa kuwachukulia hatua wahalifu ambao anadai kuwajua wakati anayo mamlaka ya juu ya nchi, ameongeza msamiati mwingine kwenye kiswahili; 'nginjanginja'. Baada ya kulikosa kwenye...
  10. E

    Mwangosi's family to sue State

    Ni vema atafute haki lakini kwa mfumo wetu, nahisi itakuwa kama kesi ya jenerali Kombe, yaan kupewa fidia vihela vichache na kisha mheshimiwa atatumia mamlaka yake kuwaachia huru watu wake kwani walikuwa wanatekeleza majukumu ya invisible characters waliowatuma.Kamhanda anajua hili na ndio maana...
  11. E

    Mbunge Musa Azzan Zungu akamatwa kwa tuhuma za Rushwa; TAKUKURU yashindwa kukamata ushahidi

    Kama ulikuwa hujui,TAKUKURU ni TAasisi ya KUzuia KUpambana na RUshwa. Kazi yake kuu ni kuzuia mapambano dhidi ya rushwa na ndiyo maana iliisafisha richmond na ikamsafisha Chenge. Hiyo ni janja ya kuwapumbaza wananchi tu ili wenyenchi waendelee kuila na kuifilisi. kwa kifupi, TAasisi ya...
  12. E

    Mbowe kutumia gari la serikali kwenye kampeni ni sawa?

    We unashangaa ya Mbowe, mimi nimeona msafara wa ikulu ukiwa na mabango ya CCM na mmoja wa waliokuwemo alituambia kishabiki 'mtaisoma hiyo' pale mlimani city. Sijui kwa upeo wako hii nayo unaisemeaje kama si mnazi wa CCM.
  13. E

    Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

    CDM wanaonekana kuunga mkono vurugu na udini,ni mtazamo tu,si lazima iwe hivyo. CCM wanafanyavurugu hata kutoleana bastola na wanachochea udini hata kwa ilani yao ya uchaguzi,ni uhalisi tu,hivyo ndivyo ilivyo. Inahitaji hata kB 1 ya ufahamu kuona tofauti kati ya CDM na CCM. CHADEMA ni chama cha...
  14. E

    Jambo Leo: Zitto na Dr. Slaa wachuana urais 2015, Zitto kama Ngasa na Dr. Slaa kama Messi

    HIZI NI KAMPENI MFU ZA CCM NA VIKARAGOSI VYAKE.CHADEMA TU MAKINI NA HATUJAANZA MCHUANO HATA WA MWENYEKITI WA KITONGOJI. HATUNA MAKUNDI AU TIMU KAMA WAO NA SOTE NI JESHI MOJA LA KAMPENI YA USHINDI CHINI YA KAMANDA MKUU MBOWE NA TUTAPAMBANA NAO KATIKA UWANJA WA KIDEMOKRASIA NA SI VINGINEVYO. TUKO...
  15. E

    Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

    Wanajamvi naomba mtumie lugha nzuri kwani si waislamu wote wenye mawazo hayo na nina hakika hiyo alhamisi haitakuwa kwa wanafunzi wote,labda watoto wa huyo shehe tu. Kwa habari ya kuungwa mkono, sidhani kama mkuu wa nchi anahusika au anawaunga mkono kwa vyovyote vile kwani anajua alisoma na...
  16. E

    Wazee wa bagamoyo wafunguka!!!!!. -->-->--> chadema v

    Karibu kwetu chadema,Karibuni Bagamoyo, Pekeee ni chetu chama, kututuliza mioyo, Kwa wababa na wamama, vilema na vibogoyo, CCM ipate zama, dua yetu ndiyo hiyo. Karibuni magomeni, wananchi tuwashike, Awape nguvu manani, Chalinze yote mteke, Mkoa wote wa pwani, Ngome kuu ijengeke, Kuwa chama...
  17. E

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Mwalimu wa history na economics? Haiingii akilini mwalimu wa historia asijue historia hata ya nchi yake.Ni aibu zaidi kama 'mwalimu' anagundua ulimi uliteleza baada ya siku kadhaa.Nadhani tatizo ni gamba juu yake limekuwa gumu sana.Chama chake ni cha magamba hivyo si ajabu kuwa hivyo. Hivi hiyo...
  18. E

    The battalions of idiocy are on the march in Tanzania, old haven of global intellectuals

    'The way out hapa ni kuiondoa ccm madarakani ili tuwe na a fresh start, ccm ndio wameharibu kila kitu kwenye hii nch. WAMEDUMAZA ELIMU, HIVI UNADHANI KAMA NCHI TUNAWEZA KUFANYA NINI BILA ELIMU??? Nchi zilizoendelea zinathamini elimu na utaalamu, sisi ndo kwanza elimu imejaa mizengwe. wasomi...
  19. E

    ADC sasa wanaivuruga CDM na Wataivuruga CDM

    Cdm haina sera ya matusi hivyo wanachama wake jihadhalini na mtego huu wa chama cha matusi msiwe wafuasi wake pasipo kujua. Waelezeni wapinzani wetu sera zetu kwa hoja na baadae watagundua kuwa CDM si kama wadhanivyo kuwa ni wachaga na kanisa bali cha watu wote wapenda haki na maendeleo endelevu.
  20. E

    Inakuwa vp pale masharti ya dhamana ya kiongozi ya UAMSHO yanatekelezwa hivi?

    dhamana ni haki ya msingi ya mtuhumiwa kama hauna kitisho aliwapo nje.
Back
Top Bottom